GE2025 Kesi iliyotoa zuio la CHADEMA kutofanya siasa yahairishwa hadi Julai 14

GE2025 Kesi iliyotoa zuio la CHADEMA kutofanya siasa yahairishwa hadi Julai 14

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Nani amesema Lissu ni maskini? Na uchawa sio lazima ufuate fedha. Wewe unaweza kuwa unamuona Mungu mtu hata kama hana pesa hivyo uko tayari kumuabudu. Lissu ana chawa wengi na wewe ni mmojawapo. Chadema ni btw.

Amandla...
Mimi niko kwa ajili ya chama wewe uko kwa jili ya Mbowe, huoni tofauti hapo?
 
Kuhusu kampeni chafu pande zote mbili zilishambuliana na lugha za kuudhi zilitumika kumbuka kauli za Ntobi na Yericko Nyerere dhidi ya Lissu, wewe umeamua kuchukua upande ndiyo maana unafumbia macho mapungufu yaliyokuwa kambi ya Mbowe.
Achana naye huyo, laiti angejua...bahati mbaya hajui lakini kajiaminisha kuwa anajua. Mh. Lissu anaogopwa na CCM na ni woga wao huo ndio maana hadi leo kesi ya wazi kabisa wanaing'ang'ania kihivyo. Mh. Lissu hanunuliki na ndiyo maana yuko Ukonga...alikataa kununuliwa..
 
Mimi niko kwa ajili ya chama wewe uko kwa jili ya Mbowe, huoni tofauti hapo?
Mbona unajitetea sana? Sio siri kuwa nimekuwa namtetea sana Mbowe. Kama kwa kufanya hivyo ni uchawa basi mimi ni chawa.
Mimi sioni tofauti kati ya kuwa chawa wa Chadema ya Lissu au chawa wa Lissu. Kwa vyovyote vile unabakia chawa tu. Hauna fikra independent bali unarudia rudia yanayosemwa na unaowaabudu. Huo ndio uchawa per se. Lissu akiwa Rais utagalagala barabarani.

Amandla...
 
Achana naye huyo, laiti angejua...bahati mbaya hajui lakini kajiaminisha kuwa anajua. Mh. Lissu anaogopwa na CCM na ni woga wao huo ndio maana hadi leo kesi ya wazi kabisa wanaing'ang'ania kihivyo. Mh. Lissu hanunuliki na ndiyo maana yuko Ukonga...alikataa kununuliwa..
Huyu ni msukule wa Mbowe naamua kumpuuza.
 
Back
Top Bottom