SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,104
- 75,552
Mimi niko kwa ajili ya chama wewe uko kwa jili ya Mbowe, huoni tofauti hapo?Nani amesema Lissu ni maskini? Na uchawa sio lazima ufuate fedha. Wewe unaweza kuwa unamuona Mungu mtu hata kama hana pesa hivyo uko tayari kumuabudu. Lissu ana chawa wengi na wewe ni mmojawapo. Chadema ni btw.
Amandla...
Mimi ni mfia chama wewe ni mfia Mbowe.Maandiko yako yanaonyesha kuwa wewe ni chawa. Hauna tofauti na chawa wengine. Na ukweli unauma.
Amandla...
Achana naye huyo, laiti angejua...bahati mbaya hajui lakini kajiaminisha kuwa anajua. Mh. Lissu anaogopwa na CCM na ni woga wao huo ndio maana hadi leo kesi ya wazi kabisa wanaing'ang'ania kihivyo. Mh. Lissu hanunuliki na ndiyo maana yuko Ukonga...alikataa kununuliwa..Kuhusu kampeni chafu pande zote mbili zilishambuliana na lugha za kuudhi zilitumika kumbuka kauli za Ntobi na Yericko Nyerere dhidi ya Lissu, wewe umeamua kuchukua upande ndiyo maana unafumbia macho mapungufu yaliyokuwa kambi ya Mbowe.
Mbona unajitetea sana? Sio siri kuwa nimekuwa namtetea sana Mbowe. Kama kwa kufanya hivyo ni uchawa basi mimi ni chawa.Mimi niko kwa ajili ya chama wewe uko kwa jili ya Mbowe, huoni tofauti hapo?
Haijalishi. Bado ni chawa.Mimi ni mfia chama wewe ni mfia Mbowe.
Huyu ni msukule wa Mbowe naamua kumpuuza.Achana naye huyo, laiti angejua...bahati mbaya hajui lakini kajiaminisha kuwa anajua. Mh. Lissu anaogopwa na CCM na ni woga wao huo ndio maana hadi leo kesi ya wazi kabisa wanaing'ang'ania kihivyo. Mh. Lissu hanunuliki na ndiyo maana yuko Ukonga...alikataa kununuliwa..
Ni heri ufanye hivyo.Huyu ni msukule wa Mbowe naamua kumpuuza.