kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
Wakuu,nawasalimia kwa jina la nchi yetu pendwa Tanganyika.
Jana nilikua na jamaa yangu mmoja hivi bar ya mtaani kwetu tunapiga vyombo. Sasa bana kwenye ile bar kuna bar maid tumezoeana kiaina, so jioni ile wakati kagiza kameingia na safari lager zangu zikiwa zimenikolea, nikawa nimemuita yule barmaid akawa kanikalia hivi kama nimempakata yani.
Kumbe bana kwenye ile bar kulikua na CIA wa wife, sijui ilikuaje akabahatika kunipiga picha nikiwa nimekaliwa na yule manzi juu akaituma kwa wife.
Ebana moto wake umekua mkubwa, mpaka jana kaenda kulala chumba cha dada wa kazi anasema eti mimi ni mchafu wa tabia.
Nimejaribu kumbembeleza ila ngoma imekua ngumu.
Tusaidiane namna ya kusolve hili swala wakuu.