Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu,nawasalimia kwa jina la nchi yetu pendwa Tanganyika.
Jana nilikua na jamaa yangu mmoja hivi bar ya mtaani kwetu tunapiga vyombo. Sasa bana kwenye ile bar kuna bar maid tumezoeana kiaina, so jioni ile wakati kagiza kameingia na safari lager zangu zikiwa zimenikolea, nikawa nimemuita yule barmaid akawa kanikalia hivi kama nimempakata yani.
Kumbe bana kwenye ile bar kulikua na CIA wa wife, sijui ilikuaje akabahatika kunipiga picha nikiwa nimekaliwa na yule manzi juu akaituma kwa wife.
Ebana moto wake umekua mkubwa, mpaka jana kaenda kulala chumba cha dada wa kazi anasema eti mimi ni mchafu wa tabia.
Nimejaribu kumbembeleza ila ngoma imekua ngumu.
Tusaidiane namna ya kusolve hili swala wakuu.
Tena amnywee mkuyati ili amsambaze vizuriTafuta huyo CIA wa my wife wako, piga mashine nae.
Kuwatania wanawake wa nje haimanaanishi tunawala bali kunasaidia kupandisha mzuka wa kushughulika nyumbani, ujue ukila ubwabwa kuku kila siku unakinaiUmeharibu ndiyo unakuja kutuomba ushauri, mbona ulivoita na kumpakata huyo maid hukutushirikisha? mume wa mtu unajiachia hivo hadi kupakatana na bar maids aargh uchafu huo. Tena waifu angekusindikiza na makonzi tu ukome
Yaani unamaanisha unamtania bar maid hadi unampakata? Mmh si kweli huo utani ni wa kulana kimasikhara kabisa.Kuwatania wanawake wa nje haimanaanishi tunawala bali kunasaidia kupandisha mzuka wa kushughulika nyumbani, ujue ukila ubwabwa kuku kila siku unakinai
Mkazie mwambie Sio wewe.Wakuu,nawasalimia kwa jina la nchi yetu pendwa Tanganyika.
Jana nilikua na jamaa yangu mmoja hivi bar ya mtaani kwetu tunapiga vyombo. Sasa bana kwenye ile bar kuna bar maid tumezoeana kiaina, so jioni ile wakati kagiza kameingia na safari lager zangu zikiwa zimenikolea, nikawa nimemuita yule barmaid akawa kanikalia hivi kama nimempakata yani.
Kumbe bana kwenye ile bar kulikua na CIA wa wife, sijui ilikuaje akabahatika kunipiga picha nikiwa nimekaliwa na yule manzi juu akaituma kwa wife.
Ebana moto wake umekua mkubwa, mpaka jana kaenda kulala chumba cha dada wa kazi anasema eti mimi ni mchafu wa tabia.
Nimejaribu kumbembeleza ila ngoma imekua ngumu.
Tusaidiane namna ya kusolve hili swala wakuu.
Muulize mkewe kama atataka jamaa akufe. Akisema akufe basi aamini ndoa yao ilishakufa mapema.Kufaaaa..
Watu kama wewe ndo mnafanya ndoa zidharaulike..
Pambana uhakikishe umempiga mbupu huyo barmaid aliekuzulia msalaWakuu,nawasalimia kwa jina la nchi yetu pendwa Tanganyika.
Jana nilikua na jamaa yangu mmoja hivi bar ya mtaani kwetu tunapiga vyombo. Sasa bana kwenye ile bar kuna bar maid tumezoeana kiaina, so jioni ile wakati kagiza kameingia na safari lager zangu zikiwa zimenikolea, nikawa nimemuita yule barmaid akawa kanikalia hivi kama nimempakata yani.
Kumbe bana kwenye ile bar kulikua na CIA wa wife, sijui ilikuaje akabahatika kunipiga picha nikiwa nimekaliwa na yule manzi juu akaituma kwa wife.
Ebana moto wake umekua mkubwa, mpaka jana kaenda kulala chumba cha dada wa kazi anasema eti mimi ni mchafu wa tabia.
Nimejaribu kumbembeleza ila ngoma imekua ngumu.
Tusaidiane namna ya kusolve hili swala wakuu.
Mwambie kutokana na teknolojia hiyo picha imetengenezwa.Baada ya hapo na wewe chukua picha yake nenda kwa watalam wa kuedit picha waiediti aonekane Yuko kanisani anabatizwa au anakula kitimoto (kama ni mwisilamu)Wakuu,nawasalimia kwa jina la nchi yetu pendwa Tanganyika.
Jana nilikua na jamaa yangu mmoja hivi bar ya mtaani kwetu tunapiga vyombo. Sasa bana kwenye ile bar kuna bar maid tumezoeana kiaina, so jioni ile wakati kagiza kameingia na safari lager zangu zikiwa zimenikolea, nikawa nimemuita yule barmaid akawa kanikalia hivi kama nimempakata yani.
Kumbe bana kwenye ile bar kulikua na CIA wa wife, sijui ilikuaje akabahatika kunipiga picha nikiwa nimekaliwa na yule manzi juu akaituma kwa wife.
Ebana moto wake umekua mkubwa, mpaka jana kaenda kulala chumba cha dada wa kazi anasema eti mimi ni mchafu wa tabia.
Nimejaribu kumbembeleza ila ngoma imekua ngumu.
Tusaidiane namna ya kusolve hili swala wakuu.
"Eti anasema Mimi ni mchàfu was tabia"Wakuu,nawasalimia kwa jina la nchi yetu pendwa Tanganyika.
Jana nilikua na jamaa yangu mmoja hivi bar ya mtaani kwetu tunapiga vyombo. Sasa bana kwenye ile bar kuna bar maid tumezoeana kiaina, so jioni ile wakati kagiza kameingia na safari lager zangu zikiwa zimenikolea, nikawa nimemuita yule barmaid akawa kanikalia hivi kama nimempakata yani.
Kumbe bana kwenye ile bar kulikua na CIA wa wife, sijui ilikuaje akabahatika kunipiga picha nikiwa nimekaliwa na yule manzi juu akaituma kwa wife.
Ebana moto wake umekua mkubwa, mpaka jana kaenda kulala chumba cha dada wa kazi anasema eti mimi ni mchafu wa tabia.
Nimejaribu kumbembeleza ila ngoma imekua ngumu.
Tusaidian
Kesi ndogo sana hiyo muine kirokaWakuu,nawasalimia kwa jina la nchi yetu pendwa Tanganyika.
Jana nilikua na jamaa yangu mmoja hivi bar ya mtaani kwetu tunapiga vyombo. Sasa bana kwenye ile bar kuna bar maid tumezoeana kiaina, so jioni ile wakati kagiza kameingia na safari lager zangu zikiwa zimenikolea, nikawa nimemuita yule barmaid akawa kanikalia hivi kama nimempakata yani.
Kumbe bana kwenye ile bar kulikua na CIA wa wife, sijui ilikuaje akabahatika kunipiga picha nikiwa nimekaliwa na yule manzi juu akaituma kwa wife.
Ebana moto wake umekua mkubwa, mpaka jana kaenda kulala chumba cha dada wa kazi anasema eti mimi ni mchafu wa tabia.
Nimejaribu kumbembeleza ila ngoma imekua ngumu.
Tusaidiane namna ya kusolve hili swala wakuu.
Na amrekodi akiwa anampiga machine then atamwonesha wife na kumwambia huyu huwa ananitaka toka zamani na mimi nilikuwa simtaki.Sasa hasira ndo akawa anataka kuvunja ndoa yetu kwa ile picha ambayo kiukweli ni mimi lakini sijafanya kitu chochote na yule dada wa watu,ni just mazoea tu tumezoeana.Na nitakoma hayo mazoea.Tafuta huyo CIA wa my wife wako, piga mashine nae.
Swali zuri sana.PAMBANA NA HALI YAKO.
Ukishakua mme wa mtu inabidi ujiheshimu kama kunywa nenda mbali sana na home achana na baa za nyumbani nywea mbali na home.
Angekua mke wako kamkalia jamaaa ungemwelewa???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe endelea na life lako...
Rudi baa sasa hivi uwe unakaliwa na zaidi ya mmoja...huyo CIA awe anapiga mapicha tu atakavyo!