cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mueleweshe tu kuwa huyu muhudumu alikua analilia chenchi yote ndiyo ukawa unam'bembeleza anyamaze.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mueleweshe tu kuwa huyu muhudumu alikua analilia chenchi yote ndiyo ukawa unam'bembeleza anyamaze.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usolve nini sasa
Endelea kupakatia
Mume wa mtu unaanzaje kupakata pakata wanawake bar?
Hamheshimu ndoa zenu basi heshimu hata mkeo!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umeharibu ndiyo unakuja kutuomba ushauri, mbona ulivoita na kumpakata huyo maid hukutushirikisha? mume wa mtu unajiachia hivo hadi kupakatana na bar maids aargh uchafu huo. Tena waifu angekusindikiza na makonzi tu ukome
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Muulize mkewe kama atataka jamaa akufe. Akisema akufe basi aamini ndoa yao ilishakufa mapema.
Ajabu iliyoje. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi mtu ukishaoa unapata wapi ujasiri wa kufanya ujinga mbele ya kadamnasi ya watu?