Kesi mbalimbali za kampuni ya DP World inayotaka kuendesha bandari ya Dar es Salaam

Ndio maana nimeukliza nyie mliopo huko mana DP wanazodolewa. Je, ni kampuni gani au kutoka nchi gani ilipaswa ipewe hiyo kazi baada ya TICS?

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Sijajibu sababu Niko popote ila kama kazi ya TICS ya siku nzima inafanywa na bandari ya Dubai kwa lisaa limoja unadhani wanapaswa kuongezewa mkataba? Wale Wala hela tu hamna kazi pale.
 
1) Katika hizo kesi 20 ulizoweka ngapi wanashtaki na ngapi wanashtakiwa?

2) kampuni ipi yenye ukubwa unaofanana na DP duniani isiyokuwa na kesi?
 
1) Katika hizo kesi 20 ulizoweka ngapi wanashtaki na ngapi wanashtakiwa?

2) kampuni ipi yenye ukubwa unaofanana na DP duniani isiyokuwa na kesi?
Faiza,
Kwani kila anayeitwa Masudi lazima awe jambazi?
Masudi wa Luhanga akiwa jambazi ina husiana nini na Masudi wa Tanga kuwa jambazi?
Inshu Masudi wote wasiwe majambazi, wawe raia wema.
 
Tutarajie na DP WORLD VS TANZANIA[emoji1787][emoji1787]
 
Source?
 
Ndiyo maana wanatuandikia mikataba ya kitapeli! Huyo mwizi mwenzao aliyewatafuta wote wapelekwe "mantanyanda"
 
1. Ukiangalia hizo Nchi ni wale wale tu, mfano Mzuri hao Djibout walikua hohehahe ni Dp world ndio wamewatoa kwenye Umasikini wa Kutupa, ila baadae wakatoa Robo ya Bandari wakampa Mchina, ingekua wewe ndo Dp world ungefanyaje? Djibout ni katika bandari kubwa sasa hivi Duniani.

2. Dp world anahusika na Bandari zaidi ya 80 Duniani, Je huko kulikobakia amefanya vizuri ama vibaya?

Sehemu kama Senegal DP world wameifanya Bandari kuwa kubwa kushinda Zote West Africa.
 
Hao jamaa wanawekeza sababu hela wanayo. Imagine mtu umpe Bandari aingize Mamia ya Bilioni ama Trilioni halafu umzingue unategemea nini?

Mfano hao Djibout walikua masikini Hohehahe DP kaja kawajengea Bandari ya kisasa, jamaa wameinuka Kiuchumi, Viongozi wamekula Rushwa Wakampa Bandari Mchina sababu walikua wanadaiwa na China, Ingekua wewe Dp ungekaa tu kimya na Kuacha uwekezaji wako uende na Maji? Lazima Uende Mahakamani.
 
Hang on just a second, hang on. Kama bandari zote kunde ziko mahakamani, wanafanya kazi gani sasa? Mjumbe tukuombe ufuatilie ili tujue pa kujihami. Na kama kunde kesi zote ziko mahakama hiyo hiyo, kwani hawafuati doctrine ya precendence? Professor Mbarawa mie nina imani naye, if he says it's for the Nation, it must be.
 
Kuna mkataba wowote ulishawekwa wazi ambao unaujua? Usihamini maneno ya bettina eti ataweka wazi huo mkataba
Umeambiwa ukiwa na swali milango ipo wazi. Huu ushambenga wa kutunga habari humu JF ili mradi tu uwepo uchonganishi ndio unaokuja baadae kutuingiza matatizoni.
 
Wiki hii nina hasira na MTU natamani hata kulipua anapoishi sasa uzeni na chuo cha bandari pambafu sana
 
Nasemaje pah pah
 
But according to your post the cases were dismissed. In the end you say the cases are ongoing. So what's the real status of the case?
 
Dg tpa anaulizwa mmetumia single source kumpata do world anabaki kujiuma-uma!! Kagame kawasukuma wampokee dp world wasijidai wamemfuatilia wao.
Mkataba mwingine wa aibu huu tutajajua baadaeee tukushaliwaaaa
 
Hawa jamaa DP world ni matapeli kabisa hii style ya upigaji inafanana kama ya msoga hivi yani wameshitaki dunia nzima. Tulinde bandari ya dar es salaam aisee
 
Kumbe ni wao wanashitaki. Mimi nilidhani ni Nchi husika zinashitaki na kutaka fidia. Hapo cha msingi ni kuhakikisha mikataba inakua vizuri na isiwe ya muda mrefu na kuhakikisha inazingatiwa kwa umakini. na wakifanikiwa tunawapa vyoo vya Halamashauri zote nchini wasimamie.
 
Well Said Babake Mwa Jay!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…