Kesi mbalimbali za kampuni ya DP World inayotaka kuendesha bandari ya Dar es Salaam

Dowans na symbion walewale, mwarabu..wenye arabphobia islamophobia wenzio walipojua dowans ya sheikh general,wakapiga kelele,ilipokuja symbion wakatulia kisa mbele alitangulia mmarekani
Masuala ya symbion walitulia? Kila Leo watu wanapiga kelele makampuni ya kinyonyaji ya kizungu.

Huwa waislamu mnajiweka special group, kila jambo mnahisi mnashambuliwa kuhusu Imani yenu.
 
Mwenyekiti anaongelea mkataba mimi naongelea ufanisi wa DPworld na ajira sokoni.
Mkataba si ndio benchmark ya ufanisi na ajira. Kweye masharti ya mkataba hawaruhusiwi kuingiliwa kwenye maamuzi yao yoyote. Wakiamua kudeclare hasara hakuna kuwauliza, wakiamua kuajiri wafilipino hakuna kuwauliza.

Hiko ndio alichokuwa anaongelewa mbowe.
 
Wapo wanasiasa aina ya Mbowe wanakuja na mawazo ya kipuuzi kabisa ya kuangalia asili za viongozi wa sasa wakati haya ni maamuzi yanayougusa uchumi wetu kwa miaka mingi ijayo.

Tunataka kuingia uchumi wa kati wa juu, hakuna uwezekano wa huu ufanisi duni wa bandari yetu wa sasa kuweza kwenda sambamba na kasi ya ongezeko la mzigo wa miaka michache ijayo baada ya SGR kuwa imeshaingia kazini.
 
Dp wanaendesha bandari marekani na ulaya we ng'ombe...arabphobia(islamophobia) inawasumbua Sana,angekua mzungu hapo vikundu mngevibana
Unajilinganisha na Marekani na Uingereza?

1.Dollar, Sterling pound za kwao
2. International law wameitengeneza wao
3. Wana Nuclear weapons, submarine, Missiles za kufa mtu, hata wakiamua kugomea mkataba anytime wanajua huna cha kuwafanya, huwezi kuwawekea vikwazo, huwezi kukamata ndege zao, huwezi kufanya lolote!

Sasa jichanganye wewe pangu pakavu tia mchuzi kuwageza hao uone kama nchi haijapigwa mnada kufidia deni ukijaribu kujichomoa kwenye mkataba wa kimangungo!
 
Huyu mama SSH sijui alitokea wapi? Elimu yake ikoje (background yake?) Au ndo izo elimu za kuungaunga? Huyu mama inabidi aligiwe kura ya kumuondoa madarakani kabla hajaleta madhara zaidi! Amezunguka na kundi la wahuni, wahujumu uchumi na vibaraka wa mabeberu! Kwa vile kichwani hazimo anapelekeshwa tu!
 

Bado hii ni miaka 2 tu. Sijui mambo yatakuwa vipi kile kipindi ya mitano ya lala salama?
 
Watoto wa kichaga naona mmeshikwa pabaya maana uchumi wenu wa kaskazini unategemea sana hapo bandarini....wacha kombe liende uarabuni sie timu Magu kiroho safi hatuna cha kupoteza.
Sio uzalendo huo mkuu, hii nchi ni ya Watanzania wote, kwa maana ya kuwa huu mchakato utaathiri taifa zima.

Fikiri kwa mapana.
 






DP World is ultimately owned by Dubai's ruling royal family. The chairman and group chief executive is Sultan Ahmed bin Sulayem, who has long been near the heart of government; he chairs a government department that includes the Dubai customs workforce, and leads the Jebel Ali free zone authority. Hapo ndio kelele za ishabiki wa akina Mbarawa na Musukuma utazielewa, tulianza na mbuga zetu, sasa bandari zetu, visiwa vyetu kwa mara ya kwanza nimeanza kuuchukia muungano, haya mambo yakafanyike huko kwa waarabu Zanzibar.
 
Urais je?
 
Sio uzalendo huo mkuu, hii nchi ni ya Watanzania wote, kwa maana ya kuwa huu mchakato utaathiri taifa zima.

Fikiri kwa mapana.
Wewe ndio ufikiri kwa mapana mkuu....hapa ni vita ya maslahi binafsi kwa watakaopata na watakaokosa.
 
Hapo kwenye potential risk ndo sehemu kubwa ya kuangaliwa
 
Tuwape na polisi walete IGP wao kabisa
 
Ndio maana Mwenyekiti anaongelea mkataba mimi kunajamaa zangu wanafanya kazi DpWorld Southhampton na mimi nimeshaapply.

I don't care kelele za Mitaani.
 
Halafu karibu zote ni dismissed
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…