Kesi namba 456: Jamhuri dhidi ya JamiiForums - Oilcom na Uchakachuaji/Ukwepaji kodi bandarini Dar

Ipo siku hawa askari polisi wakiskia kesi flani Lissu atakuepo wataghairi kwenda mahakamani.
Lissu anawasumbua sana polisi alafu kwa bahati mbaya polisi wanajua commanding tu sheria hawajui
Nashauri ukaguzi wa vyeti uwapitie hawa jamaa.
 

Duh, hatari! Huyu hafahamu chochote ndiye mwenyewe cheo kikubwa huko Polisi ya wadanganyika.
 
Kwa mara ya kwanza namuona mheshimiwa Rais anampongeza TL kwa uzalendo anaounyesha.

Classified information kama hii aliyoitoa FUHRER ni wazi mheshimiwa Rais kama aliiona ni lazima aliifanyia kazi na aliipenda.

Ni wazi kuwa Tundu Lissu anatetea masilahi ya Taifa katika hili na kama Mh Rais anaifatilia hii kesi, namuomba awachuze hawa wapelelezi wanaodai kuiwakilisha jamhuri kumbe wanawatetea wezi wa kodi.

Tundu Lissu kwa hili unalolifanya nakuhakikishia Mh Rais ni lazima amekukubali kwa hili japo kuna mengine huwa unaropokaropoka tu wala hayana faida yeyote.
 
Mashahidi ni mabashite wanajua kusoma na kuandika sasa msawali technical ya Lisu watayaweza kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…