Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 13,075
- 11,682
Unakataa kufuata maelekezo. Ndio maana hamna utaratibu wa kumvua mtu ujaji umefanywa kuwa mgumu sana. Kwa kufupi, Rais na Jaji Mkuu hawana Mamlaka ya kumfukuza kazi Jaji akiwakwaza.We ungekua jaji ungefanya nini? ikiwa ni kesi za maelekezo?
tuliza kipago mamluki wa kibaraka lofaKwa mwandiko huu lazima utakuwa Mnyamlenge.
Kama furaha ni kumnyonga, mbona wanachelewa, wamnyonge hata leo,Hivi haendi hata chooni au amewekewa debe ndani, lkn dah lengo ni Lissu anyongwe ila huyu mama.
Yes akabebee bamia zakeKesi ikiisha Yericko akabidhiwe kizimba chake.
Zaidi mtawala meusi!Bora useme wewe maana akisema Trump watasema ni mbaguzi wa rangi, yaani ni upuuzi mtupu.
F^©k 🤣🤣🤣🤣Wakuu
Hiki ndicho Kizimba cha mashahidi wa kificho Kesi ya uhaini Kesi Na. 19605/2025 inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu ambacho Mahakama iliagiza Kizimba hicho cha Mashahidi wa siri kirekebishwe Majaji wawaone
Fuatilia mwenendo wa kesi hapa > Kesi ya Lissu: Inaendelea leo Feb 12, 2026 Mahakama Kuu baada ya uamuzi wa mapingamizi
Mahakama iliridhia kizimba maalumu cha kulinda utambulisho wa mashahidi wa kiraia hakikidhi vigezo vya kisheria hivyo kifanyiwe marekebisho ili kuendana na matakwa ya kisheria .
Na mimi nilikua najiuliza, maana sauti ni distinct biometric identifier, sawa tu na sura ama alama za vidole, hata mitandao baadhi ya simu hivi sasa wanatumia sauti kukutambua..Vipi kuhusu sauti?
You Stupid cuntmuhaini hatoboi ndungu zango
relax the chief mercenary of the puppet in courtYou Stupid cunt
Hiyo ni kwenye maandishi, ila kwenye uhalisia ni kitu tofauti sana mkuuUnakataa kufuata maelekezo. Ndio maana hamna utaratibu wa kumvua mtu ujaji umefanywa kuwa mgumu sana. Kwa kufupi, Rais na Jaji Mkuu hawana Mamlaka ya kumfukuza kazi Jaji akiwakwaza.
Amandla...
labda wataweka mfumo wa robotNa mimi nilikua najiuliza, maana sauti ni distinct biometric identifier, sawa tu na sura ama alama za vidole, hata mitandao baadhi ya simu hivi sasa wanatumia sauti kukutambua..
Na Lembrus Mchome kimada wa msajiliccm.Kizimba cha akina yeriko na mbowe
Hapo utakuta majizi yameidhinisha hata milioni 10 kutengeneza huo uchafu.Kina quality mbaya sana. Hata Fundi Maiko angetengeneza kizuri zaidi.
Amandla...