PostGE2025 Kesi ya Lissu: Hiki ndicho Kizimba cha mashahidi wa kificho, kilichosababisha Kesi kuahirishwa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Wanyama waporini wana akili kuliko WATANGANYIKA kwasababu mara zote huchagua mmoja kati Yao mwenye akili kuliko wote kuwa kiongozi wao!! The reverse is true kwa hawa wabara !!!
Huu ni ukweli mchungu sana. πŸ™†
 
Kuna mtu kasema sisi Jamhuri ndio tumepeleka shaidi wa leo atuwakilishe. Kwa namna hiyo hiyo, sisi ndio tumemjengea hicho kizimba kumlinda.
 
We ungekua jaji ungefanya nini? ikiwa ni kesi za maelekezo?
Dah!

'Lax' tena?

Kule nilifikiri ni bahati mbaya; kutetea maridhiano na watu waovu; kumbe ndiyo kawaida hii?
 
Kusema ni jambo rahisi sana
"Kusema ni jambo rahisi sana"... kuliko kutumiwa kama kikaratasi cha kuchembea chooni au siyo mkuu 'Lax'?

Bado unatetea usahihi wa kushiriki haramu na watu waovu? Sina shaka nawe ni mtu mwovu!
 
muhaini hatoboi ndungu zango
Ikiwa mlimkosa pale Area D dodoma, huyo muhaini bado yupo sana na tutakuwa nae nje mapema sana.

Kinachofanyika hapo ni kumnyanyasa na kumpotezea muda tu ili yule mama yenu akae bila kupigwa SPANNER
 
"Kusema ni jambo rahisi sana"... kuliko kutumiwa kama kikaratasi cha kuchembea chooni au siyo mkuu 'Lax'?

Bado unatetea usahihi wa kushiriki haramu na watu waovu? Sina shaka nawe ni mtu mwovu!
Dah!

'Lax' tena?

Kule nilifikiri ni bahati mbaya; kutetea maridhiano na watu waovu; kumbe ndiyo kawaida hii?

Mkuu kalamu , haya mambo ni suala la mtazamo , na mimi kwenye haki nipo sana tu.

Ila nikiona plan inafeli lazima nibadili mawazo chap, mkuu nchi hii mambo ya utawala bora na sheria yameshajifia kwa kiwango kikubwa.

Pre-election kulikua na mijadsla mingi sana humu watu wakilaumu walimu na polisi kusaidia chama tawala kuendeleza legacy yao kwa miaka mingi, binafsi hua nauliza swali moja tu --- hawa watuhumiwa wamewekwa katika mazingira gani yanayofanya washindwe kukataa? , natumai ushawahi lifikilia hilo jambo kwanini kazi ya uchaguzi wale key players kwa chaguzi za karibuni ni watumishi wa serikali tu? Kuna bahati mbaya hapo? jibu ni hapana wanafanya hivyo ili wawaweze kuwacontrol,

Ni kama ukisikia mtu amechukuliwa mateka, hivi mateka hiwa wanaleta ubishi? si huwa wanatii mtekaji ili waongeze chance za kutoka salama

Mtizamo wangu mimi ndo huo, ukifika katiza nafasi ya kupokea kimemo na ukawa kiburi kupokea kimemo. --- kama kweli tunasema serikali ni dhalimu basi bila shaka tunafahamu nini kitafata kwa mkataa kimemo



Na kule kwenye maridhiano bado nashika msimamo wangu watu wasamehe tuangalie tunaweza pata mustakabali gani, pre-election hata wewe nilikwambia hawa waandamanaji kama kweli wanataka kupambania vitu kadha wa kadha muda mzuri ni post election kwa maana ya kwamba mtawala atakua kashapata muhula wake wa pili na wa mwisho.

Risk inakua ndogo katika nyakati hiyo, tofauti na kufanya siku ya uchaguzi kwa sababu kama kweli watafanya walichosema " it has to be bloody" --- sasa mambo yakifeli wakati kilichoenda kutokea kilikua kinajulikana, hapa ni kukubali matokeo na kujipanga upya

Kama kweli tunakubali serikali ilichukulia poa wananchi basi hata sisi wananchi tulichukulia poa serikali.

Na la mwisho la msisitizo ccm ni matatizo sana, ila kupitia chaguzi hiibya 2025 ndo nimejithibitishia kua chadema ndo majanga zaidi --- na kwenye madhila haya ya 2025 lawama namba moja kwa serikali , lawama namba mbili kwa chadema (wakipewa backup na wanaharakati uchwara)

Maoni yangu haya, nimeyafanyia tathmini ya kina, naweza nisiwe sahihi ila kwasasa bado naona yapo sahihinkwa asilimia nyingi sana
 
Ndio maana wameshindwa uchumi,ajira hakuna ,miradi yote inafeli ,hizi akili zinazoharibu mafanikio ya watanzania,yaani ulafi wa Madara unawafanya waonyesha huwezi wao halisi
 
Yaani nacheka kama mazuri hata hao wakolono walio tuachia Nchi wanapo Ona madudu kama haya nadhani wana vunjika mbavu huko walipo Kwa vicheko
 
Aibu nzito sana Kwa kweli πŸ˜„
 
Yaani nacheka kama mazuri hata hao wakolono walio tuachia Nchi wanapo Ona madudu kama haya nadhani wana vunjika mbavu huko walipo Kwa vicheko
Moyoni Wakoloni wa zamani wanasema; "Tulijua tu, hawa Nyani (Waafrika) hawawezi kujitawala wenyewe bila kuumizana". πŸ™†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…