Akili ndogo sana,hapo unamjibu nani, kama sio upumbavu wako!Wewe kajamba nani huna hadhi ya ku quote comments zangu.
Yuko wapi Polepole na Dr Nchimbi?Heche hakupaswa kumtaja Polepole katika ushahidi wake, swala la Polepole kutekwa ni controversial, mpaka sasa ushahidi usio na shaka ni kwamba Polepole alikuwa nje ya nchi na hakuwa nchini wakati nasemekana alipotekwa. Ingawa , kuna dalili kuwa aliingia nchini kwa njia za panya, akiingia kutokea Malawi or Zambia, hakupita immigration offices ili kukwepa kuonyesha passport na kugundulika.
Swala la Polepole lazima Mawakili wa Serikali walikimalie kwenye cross examination
Lipige ignore tu. linaonekana ni lilevi na livuta bangi tu. Akili zeroAkili ndogo sana,hapo unamjibu nani, kama sio upumbavu wako!
Asante heche kwa kufumua huu mchono.TUNDU LISSU ANAMHOJI SHAIDI WAKE JOHN HECHE MAHAKAMANI
SEHEMU YA 15.
Lissu: Shahidi, waeleze Waheshimiwa Majaji kwenye mikutano hiyo na Wadau nilisema nini kuhusu Mawakala wa Wagombea na Mawakala wao.
Heche: Waheshimiwa Majaji, Mheshimiwa Tundu Lissu alieleza jinsi ambavyo Mawakala wa Wagombea wanavyozuiliwa nje katika zoezi la upigaji kura huku mchakato wa Uchaguzi unaendelea.
Alisema utaratibu wa Mawakala ni mbovu, unalenga kuzuia CHADEMA kuwa na Mawakala.
Lissu: Nilisema nini juu ya jinsi inavyofanyika siku ya kupiga kura?
Heche: Waheshimiwa Majaji, alieleza kwa undani namna ambavyo zoezi la kupiga kura linavyovurugwa na Wasimamizi kuharibu Uchaguzi, kura feki kuingizwa kwenye vituo vya kupiga kura, Wagombea ambao siyo halali kutangazwa wameshinda na hawakushinda.
Lissu: Waeleze Waheshimiwa Majaji nilisema nini kwa Wadau kuhusu utaratibu wa kupinga matokeo Mahakamani?
Heche: Waheshimiwa Majaji, alieleza namna ambavyo ni vigumu kupinga matokeo Mahakamani.
Kwanza, kama umeenguliwa huwezi kwenda Mahakamani kama wamekuengua.
Unatakiwa urudi kwa hiyo hiyo Tume ya Uchaguzi, na wakitoa maamuzi yao hayapingwi.
Kwa hiyo, kama umeenguliwa hata kimakosa, unakuwa umepoteza haki yako, huwezi kuidai.
Vilevile, kama ulikuwa Mgombea unahitaji kukata rufaa, huruhusiwi kwenda Mahakamani.
Lakini pia, kama huna kiasi cha fedha kama bond, huruhusiwi kufungua kesi bila kiasi hicho cha fedha.
Lissu: Waeleze Waheshimiwa Majaji nilisema nini juu ya kupinga matokeo ya Urais Mahakamani?
Heche: Waheshimiwa Majaji, Mheshimiwa Tundu Lissu alieleza kwamba huwezi kupinga matokeo ya Urais, hata kama hajachaguliwa.
Lissu: Waeleze Waheshimiwa Majaji nilisema nini juu ya Wananchi ambao siyo wanachama wa Vyama kugombea uongozi?
Heche: Waheshimiwa Majaji, alieleza kuwa mtu au Mgombea huru hana nafasi ya kugombea.
Kama unataka uongozi, lazima upitie kwenye chama cha siasa.
WEKA EMOJI KAMA UNASOMA
SHARE ZAIDI UJUMBE UFIKE MBALI.
Kama Mwenyekiti wa CHADEMATATHIMINI MPAKA HAPA
1. Heche anakubali kulikuwa na “mpango wa utekelezaji”
2. Heche anakubali viongozi walitakiwa kuhamasisha watu na taasisi kuunga mkono msimamo
3. Heche anakubali Lissu alikuwa msemaji mkuu wa ujumbe
4. Heche anakubali Lissu alihusika kwenye campaign ya kuipeleka “No Reforms, No Election” kwa wadau
5. Heche anakubali Lissu alikuwa akizungumza kuhusu matatizo ya mfumo wa uchaguzi na Katiba
6. Heche anakubali “No Reforms, No Election” ilikuwa msimamo rasmi wa CHADEMA
7. Heche anakubali Lissu alikuwa sehemu ya leadership iliyotakiwa kutekeleza resolution
“Mpango wa utekelezaji” 🔴🔴🔴
Mobilisation ya wanachama/wananchi 🔴🔴
Kukutana na viongozi, NGOs, diplomats etc. 🔴🔴
Lissu alikuwa msemaji mkuu 🔴🔴🔴
Lissu alikuwa sehemu ya leadership ya implementation 🔴🔴
Lissu alikuwa active kwenye advocacy 🔴🔴
No Reform No Election ilikuwa official resolution 🔴🔴
So kwa "hekima" yako wote tufate maoni yenu. Tukienda tofauti tu ni upumbavu.Vaa koti la HEKIMA,vua upumbavu!
Kwa sababu ni Mwenyekiti wa CHADEMA🔴 CHAIN YA PROSECUTION KUTOKA KWA HECHE
1. CHADEMA iliona uchaguzi uliopita una matatizo
↓
2. CHADEMA ikaweka rasmi msimamo wa “No Reforms, No Election”
↓
3. Msimamo huo ukapitishwa na vyombo vya juu vya chama
Kamati Kuu
Baraza Kuu
Mkutano Mkuu
↓
4. Mkutano Mkuu ukaamua kuwe na “mpango wa utekelezaji”
↓
5. Viongozi wa chama wakapewa jukumu la kutekeleza msimamo huo
Mwenyekiti
Makamu Mwenyekiti
Katibu Mkuu
Manaibu
Wenyeviti wa kanda
↓
6. Mpango huo ulihusisha mobilisation
↓
7. Viongozi wakaenda kwa wadau mbalimbali kutafuta support
Waandishi/Wahariri
viongozi wa dini
mabalozi
NGOs
wazee maarufu
viongozi wastaafu
↓
8. Tundu Lissu alikuwa kiongozi wa ujumbe
↓
9. Lissu alikuwa msemaji mkuu wa ujumbe
↓
10. Lissu mwenyewe aliwaeleza wadau malalamiko kuhusu mfumo wa uchaguzi
↓
11. Lissu aliwaeleza kwamba mfumo wa aina hiyo CHADEMA haitashiriki
↓
12. Campaign hiyo iliendelea hadi Aprili 3, 2025
↓
13. Aprili 3 Lissu akatoa hotuba yenye maneno yaliyoko kwenye charge sheet
Embu pombe na ganja uzipe heshima zake tafadhali sisi wala ganda na maji tutakuvaaLipige ignore tu. linaonekana ni lilevi na livuta bangi tu. Akili zero
HAKIKAUmeshatuambia kwamba ananyongwa hiyo ndo tathmini yako basi tumekubaliana na wewe. Basi tuache tuendelee kufuatilia kesi. Kila wakati unapost kanyongwa kanyongwa. Basi tumeshakusikia. Kaa pembeni
Haujaleta Scientific Analysis yoyote hapa zaidi ya kuegemea upande mmoja, lakini pia nimekukumbusha kile kilichowai kuongelewa mahakamani hapo hapo, kwenye kesi hiyo hiyo lakini unajifanya Kama hakina maana.Utafiti unapingwa kwa utafiti. Nakuletea Scientific Analysis wewe unaleta propaganda.
Kumbe kuna lingine hapa lijizi na lipenda rushwa. Ngoja niliweke kwenye ignoreSo kwa "hekima" yako wote tufate maoni yenu. Tukienda tofauti tu ni upumbavu.
No wonder ht Makamu Mwenyekiti wenu anataka kutupangia namna ya kushangilia Yanga na Simba na burudani zingine
Kwahiyo unataka kulia? Leta Analysis yako, sisi wasomi tuichunguzeHaujaleta Scientific Analysis yoyote hapa zaidi ya kuegemea upande mmoja, lakini pia nimekukumbusha kile kilichowai kuongelewa mahakamani hapo hapo, kwenye kesi hiyo hiyo lakini unajifanya Kama hakina maana.
Binafsi nimeanza kukutafasiri kama mpinzani wa kisisasa zaidi ya kufanya tathmini ya kweli ya shauri lililopo mahakamani. Kauli zako zinaonesha kwa uwazi muelekeo wako wa kisiasa tofauti na swala lilivyo na hapa ndipo hoja ya lissu kwamba "Kesi hii ni ya kisiasa", inapata nguvu ya kweli.
Lissu alivuta bangi akiwa under 18.JAJI ANASOMA UAMUZI KUSU MASHAHIDI WA TUNDU LISSU SAMIA SULUHU HASSAN NA WENZAKE
Sehemu ya 2.
Na katika orodha yake, wa kwanza:
1. Samia Hassan Suluhu
2. Philip Isidory Mpango
3. Kassim Majaliwa Majaliwa
4. Camilius Wambura – IGP
5. Jacob Nkunda – CDF
6. Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa
7. DCI Kingai
8. John Mnyika
9. Amani Sam Golugwa
10. John Heche
11. Brenda Rupia
Na hicho basi, Mshtakiwa baada ya kutoa orodha hiyo, akiomba Mahakama kutoa wito wa kuwaita mashahidi hao.
Upande wa Mashitaka, wakiongozwa na Wakili wa Serikali Mkuu, wakitoa pingamizi kwa mujibu wa vifungu vya 218(1) na 314(2) vya Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai.
Hi nitaweka fupifupi msikie uhindo.
Weka emoji
Share zaidi.
Hamtaki maoni kinzani halafu mnadai DemokrasiaKumbe kuna lingine hapa lijizi na lipenda rushwa. Ngoja niliweke kwenye ignore