Kesi ya Lissu Septemba 10, 2026: IGP Wambura, DCI Kingai na CDF Mkunda waitwa kutoa ushahidi

Watu wanasoma kinachoendelea mahakamani wewe unapoteza umakini wa watu, unajisikiaje ? Acha upumbavu wako. Hukumu inatolewa na Mahakama wewe kinachokuwasha nini mpuuzi mkubwa wewe. 🖕
Kwa hiyo wewe ndo pekee mwenye haki ya kuposti na sie tukufatilie wewe tu!?
Ukiona hupendi yetu tuachie na wewe endelea kuripoti ya Mahakamani
 
MAHAKAMA IMEREJEA KUTOKA MAPUMZIKO TUNDU LISSU ANAMHOJI SHAIDI WAKE JOHN HECHE.

SEHEMU YA 13.

MAHAKAMA IMEREJEA

Jaji Ndunguru Upande wa mashitaka

Ajuaye: Mheshimiwa Kolamu, ipo kama awali. Tupo tayari. Shauri limekuja kwa ajili ya Utetezi.

Tupo tayari kuwasikiliza Upande wa utetezi.

Jaji Ndunguru Mshtakiwa

Lissu: Nipo tayari Mheshimiwa.

Lissu: Naomba nikumbushwe tuliishia wapi.

Jaji Ndunguru: (Anasoma)

Lissu: Tuanze pale tulipoishia kwamba Kiongozi wa msafara nilikuwa mimi na mimi ndiyo nilikuwa Mzungumzaji Mkuu.

Nataka huo ujumbe wetu, nataka tuufafanue kinaga ubaga.

Swali la kwanza:

Katika kote huko tulipoenda kwa Wadau wote tuliokutana nao.

Waeleze Waheshimiwa Majaji mazungumzo yangu kuhusu Tume ya Uchaguzi kutawaliwa na Rais.

Heche: Waheshimiwa Majaji, kote tulikopita, kwa maana kwamba tulipozungumza na Wahariri na Viongozi Wastaafu kama Mzee Warioba, Askofu Pisa na wengine wote tuliowataja.

Ujumbe wetu uliongozwa na Mwenyekiti Tundu Lissu.

Alieleza kwa kina namna ambavyo Tume ya Taifa ya Uchaguzi inayoteuliwa na Rais, ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM, inavyovuruga Uchaguzi, kuwaonea wapinzani, hasa CHADEMA.

Kufanya upendeleo wa wazi kwa Wagombea wa CCM.

Kuvunja sheria, hata hizi zilizopo, kwa uwazi.

Lissu: Nashukuru, inatosha.

Kuhusiana na hiyo hiyo Tume kuwa ya namna hiyo.

Waeleze Waheshimiwa Majaji iwapo kulikuwa na mazungumzo hayo kwamba hatutoshiriki Uchaguzi wa namna hiyo.

Job Mrema: Waheshimiwa Majaji, tunaona bado utaratibu wa kuuliza maswali haupo sawa.

Lissu: Naomba kurudia swali, tusipotezeana muda.

Lissu: Naomba ueleze tulichowaeleza Wadau kuhusu ushiriki wetu katika chaguzi hizo.

Heche: Waheshimiwa Majaji, kote tulipopita, Mwenyekiti Tundu Lissu aliweka wazi msimamo wa chama.

Kwamba hatupo tayari kushiriki Chaguzi za namna hii, ambayo matokeo yake ni mauaji na kuwaengua Wagombea.

WEKA EMOJI KAMA UNASOMA

SHARE ZAIDI UJUMBE UFIKE MBALI.
 
🔴 CHAIN YA PROSECUTION KUTOKA KWA HECHE

1. CHADEMA iliona uchaguzi uliopita una matatizo
↓
2. CHADEMA ikaweka rasmi msimamo wa “No Reforms, No Election”
↓
3. Msimamo huo ukapitishwa na vyombo vya juu vya chama

Kamati Kuu
Baraza Kuu
Mkutano Mkuu
↓
4. Mkutano Mkuu ukaamua kuwe na “mpango wa utekelezaji”
↓
5. Viongozi wa chama wakapewa jukumu la kutekeleza msimamo huo
Mwenyekiti
Makamu Mwenyekiti
Katibu Mkuu
Manaibu
Wenyeviti wa kanda
↓
6. Mpango huo ulihusisha mobilisation
↓
7. Viongozi wakaenda kwa wadau mbalimbali kutafuta support
Waandishi/Wahariri
viongozi wa dini
mabalozi
NGOs
wazee maarufu
viongozi wastaafu
↓
8. Tundu Lissu alikuwa kiongozi wa ujumbe
↓
9. Lissu alikuwa msemaji mkuu wa ujumbe
↓
10. Lissu mwenyewe aliwaeleza wadau malalamiko kuhusu mfumo wa uchaguzi
↓
11. Lissu aliwaeleza kwamba mfumo wa aina hiyo CHADEMA haitashiriki
↓
12. Campaign hiyo iliendelea hadi Aprili 3, 2025
↓
13. Aprili 3 Lissu akatoa hotuba yenye maneno yaliyoko kwenye charge sheet
 
Leta update wewe malaya wacha kupigia mstari update za Manyanza
 
Kuna maswali Heche kayakaribisha na lazima wakili wa Serikali watakazia hapo hapo hasa alivyosema Tundu Lissu pamoja na viongozi wengine walipita sehemu tofauti tofauti kuwajulisha kuhusiana na No reforms no election so wakili wa Serikali hasa Katuga atambana Heche ili itengeneze mazingira ya kwamba Tundu alipanga njama ku mobilize hao waliotembelea kufanya uhaini so u smart wa Heche ndio utaamua kutoka kwenye huo mtego au akazamisha meli majini.
 
Back
Top Bottom