Kesi ya Lissu Septemba 10, 2026: IGP Wambura, DCI Kingai na CDF Mkunda waitwa kutoa ushahidi

Usijitungie hoja ambayo sijaongea hapa. Nemesema Website yako hiyo uchwara haina jipya Rasmi ya Warioba na ile ya Bunge zote zipo kwenye public documents za seriakali.


Unaishi Ulaya but bado mshamba wa kutupwa
 
Ubaya wa kufanya vitu kwa maelekezo ndio huu Sasa
 
Kwa hiyo mkuu... Unafikiri Polepole hakutumia immigration?

Alipita Immigration..akiwa bado ni Balozi,na hakukuwa na shida

Alijiuzulu akiwa ndani ya nchi...
 
Mkuu,nakuomba usiwe unatumia neno BARA,badala yake tumia TANGANYIKA.
 
Naomba kuuliza Mkurugenzi wa usalama wa taifa, na CDF nani mkubwa ki cheo na mamlaka? Maana CDF summons anayo afu huyo Mombo hana, inakuaje hapo??
Mkuu wa Majeshi ni mkubwa kuliko Mkuu wa Usalama wa Taifa
Mkuu wa Polisi ni Mkubwa kuliko Mkuu wa Usalama wa Taifa
Ila Mkuu wa Usalama wa Taifa ana wa monitor wote wawili hapo juu.
Zaidi Mkuu wa Usalama wa Taifa anakua na siri nyingi kuliko hata Rais wa nchi ,CDF NA IGP.
Mtu nyeti majaji wameona wasimguse wasije akawamangula
 
Huyo wa usalama ndo mkubwa basi.
 
Huyo wa usalama ndo mkubwa basi.
Awapi kaka mkubwa ni mkuu wa majeshi na akaja huyo IGP.....huyo mwingine ni stori za kumkuza tu ndio maana kama sijachanganya mkuu wa (wambea)usalama wa taifa aliwahi kuteuliwa polisi....Roho ya nchi kiulinzi na usalama ni jeshi tu ndio maana unaona hawa maccm wanajidai kisa wanajivunia jeshi tu na sio hao wambea ( usalama wa taifa,)
 
Sasa IGP & CDF watapata muda wa kumtambua au kumjua kwamba Lissu ni mwanasheria au ni Mwanaharakati
Ila Jeshi linakwenda kuaibika 100%
 
Tunatakiwa tuwe na nchi moja yenye Serikali moja au tatu.Hayo mabaraza hayana faida yoyote kwa Watanzania wote bali ni maslahi ya watu wachache.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…