President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Utafiti unapingwa kwa utafiti. Nakuletea Scientific Analysis wewe unaleta propaganda.Chain yako imeruka baadhi ya process, kumbuka mnyika alieleza mbele ya mahakama kwamba walipeleka mapendekezo yao ya mabadiriko ya sheria ya uchaguzi mbelw ya kamati ya kudumu ya bunge ya utawala, katiba na sheria.
Then wakafungua kesi mwisho mahakama ikasema maswala ya kisiasa yaamuliwe kwa njia za demokrasia ya kisiasa.
Chadema ikatangaza "No Reform, No Election", ikiwa ndio miongoni mwa njia za kidemokrasia ya kisiasa, Then hapo sasa ndipo Chain of Prosecution inaweza kuendelea kinyume na hapo.
Tathmini yako ni yenye kuegemea upande mmoja kiasi kuathili ukweli wa mambo.
Hawa ni mashahidi wanaosema ukweli. Wale wengine ni wa hila ndio maana umeona yale madhaifu yote.Mpaka muda huu (kwa mtazamo wangu hivyo sihitaji kushambuliwa na mtu yeyote yule), waliojitahidi kutoa ushahidi wao kwa utulivu na mpangilio mzuri ni:-
1. John Mnyika
2. John Heche (pamoja na kwamba hajamaliza)
3. Brenda Rupia
4. Amani Golugwa.
Ni kweli Lissu ananyongwa. Hongera kwa scientific analysis. Huko vizuri sana aisee. Thumb upUtafiti unapingwa kwa utafiti. Nakuletea Scientific Analysis wewe unaleta propaganda.
Sampa he 😂Sampa he!! Kabisaa unaacha kufuatilia kesi au kujadili na waelewa umeamua ujigaragaze chini kwenye matope?
Ataitwa kaka yake polepole!Heche hakupaswa kumtaja Polepole katika ushahidi wake, swala la Polepole kutekwa ni controversial, mpaka sasa ushahidi usio na shaka ni kwamba Polepole alikuwa nje ya nchi na hakuwa nchini wakati nasemekana alipotekwa. Ingawa , kuna dalili kuwa aliingia nchini kwa njia za panya, akiingia kutokea Malawi or Zambia, hakupita immigration offices ili kukwepa kuonyesha passport na kugundulika.
Swala la Polepole lazima Mawakili wa Serikali walikimalie kwenye cross examination
Elimu yangu sasa umeanza kuielewa. Hongera wewe ni mwanafunzi mwemaNi kweli Lissu ananyongwa. Hongera kwa scientific analysis. Huko vizuri sana aisee. Thumb up
Una comment uharo!Dogo acha kujipendekeza kila comment yangu.
Tayari mimi nimeshalipiga ignore. Wewe lipige ignore tu. Linaonekana nilijinga fulani hiviUna comment uharo!
Utakuwa mwisho wa siasa za kipuuzi zinazochangia mijadala ya aina hii.Eti nyie ndio chama cha Demokrasia. Hali hii mko nje je mkipata madaraka!
Hii hoja ya chama kimoja CCM wanatakiwa waijibie bila hasira......KATIBA MPYA haikwepi hapa....TUNDU LISSU ANAMHOJI SHAIDI WAKE JOHN HECHE MAHAKAMANI.
SEHEMU YA 16.
Lissu: Sasa Shahidi, waeleze Waheshimiwa Majaji nilisema nini na Wadau juu ya harakati mbalimbali za kubadili mfumo huu wa Uchaguzi.
Heche: Waheshimiwa Majaji, alieleza kwamba harakati za kubadili mfumo huu wa Uchaguzi.
Harakati za Tume ya Jaji Nyarali mwaka 1991.
Tume ya Jaji Kisanga.
Tume ya Jaji Bomani.
Tume ya Jaji Joseph Sinde Warioba ya hivi karibuni.
Ambazo zote zina mapendekezo ya kubadili mfumo wa Uchaguzi.
Kuruhusu mfumo wa Kidemokrasia, uweze kufanya kuondoa huu mfumo wa chama kimoja.
Kuwapa nguvu Wananchi kuchagua nani awe Kiongozi wao.
Lissu: Naomba ufafanue hapo ukisema kuondoa mfumo wa Chama Kimoja una maana gani?
Heche: Waheshimiwa Majaji, mfumo uliopo sasa ni mfumo ambao umehodhiwa na Chama cha Mapinduzi.
Ambapo Mgombea wa CCM, ambaye yeye ndiye anaamua nani awe Mwenyekiti wa Tume, nani awe Mkurugenzi wa Tume, nani awe Mjumbe wa Tume.
Nani awe Commissioner wa Tume.
Na hata ngazi za Wilaya ni Wateule wake au wanafanya kazi chini ya Wateule wake.
Ambapo ni extension ya Urais.
Na wengi wao ni Wanachama wa Chama cha Mapinduzi.
Mfano ni Wilson Mahera, ambaye alikuwa Mkurugenzi wa Tume mwaka 2020, ila kwa sasa ni Mbunge wa CCM Jimbo la Butiama mwaka 2025.
Waheshimiwa Majaji, kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2015, aliyekuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi akaondolewa, Bwana Kailima, akaja Kipilimba.
Katikati ya mechi anaondolewa refa, analetwa mwingine, na Kailima ndiyo...
Vilevile, Katibu Mwenezi wa CCM, Bwana Omary Ramadhani Mapuri, sasa ni Kamishna wa Tume ya Uchaguzi.
Hii inaonyesha mfumo huu umehodhiwa na Chama Kimoja.
WEKA EMOJI KAMA UNASOMA
SHARE ZAIDI UJUMBE UFIKE MBALI.
Vaa koti la HEKIMA,vua upumbavu!Kwa hiyo wewe ndo pekee mwenye haki ya kuposti na sie tukufatilie wewe tu!?
Ukiona hupendi yetu tuachie na wewe endelea kuripoti ya Mahakamani
Vaa koti la HEKIMA, vua upumbavu!Acha ujinga. Kama anataka ajadili yeye na wapenzi wake. Awatumie private message. Hapa ni public kila mtu anahaki ya kuchangia. Mnalilia haki huku hamtaki haki za wengine.
Idiots
Yap. Yuko fit sana. Ila CCM ni wakatili sana. Najiuliza hivi hawa watu wakienda kanisani na huko misikitini sijui uwa wanaomba niniHeche Sina ninachomdai Ana Nondo nyingi Sana hii kesi heche kashaimaliza kwakweli Heche anatupa elimu kweli kweli tunajua mengi sio mchezo
Ukiwa peke Yako ni ujinga!Yeye kazi yake kuleta yanayoendelea Mahakamani, Mimi kazi yangu kuleta Tathimini, wewe kazi yako kunitukana.
Kila mtu na kazi yake, Happy now?
Wewe kajamba nani huna hadhi ya ku quote comments zangu.Vaa koti la HEKIMA, vua upumbavu!