Kwako rais Samia:
Aibu hii ya nini? Lissu ni kama Yesu mbele za Pilato. Hana hatia.
Wanaopaswa kukushauri kuachana na kesi hii wanasubiri uangukiwe na jumba bovu.
Utakuwa mgeni wa nani kwa mwendo huu?
Achana na kesi hili la kubumba. Wawajibishe wote wasiokutakia mema.
Acha haki itamalaki. Cheo kitu gani? Si hicho hutoka kwa Mungu na watu?
Si uache Mungu akupe au watu? Ya nini yote haya mbele ya macho ya dunia?
Msema kweli, mpenzi wa Mungu.
Ni hayo tu, Mheshimiwa ikikupendeza.