Kesi ya Lissu: Ushauri wa Bure kwa Rais Samia, achana na hii kesi Haina maslahi yoyote kwako, CCM, wala nchi!

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
34,775
Reaction score
46,063
Kwako rais Samia:

Aibu hii ya nini? Lissu ni kama Yesu mbele za Pilato. Hana hatia.

Wanaopaswa kukushauri kuachana na kesi hii wanasubiri uangukiwe na jumba bovu.

Utakuwa mgeni wa nani kwa mwendo huu?



Achana na kesi hili la kubumba. Wawajibishe wote wasiokutakia mema.



Acha haki itamalaki. Cheo kitu gani? Si hicho hutoka kwa Mungu na watu?

Si uache Mungu akupe au watu? Ya nini yote haya mbele ya macho ya dunia?

Msema kweli, mpenzi wa Mungu.

Ni hayo tu, Mheshimiwa ikikupendeza.
 
Hacha mamlaka zifanye kazi yake

Uligundua ni ushauri wa bure? Au ninyi ni katika wale wenye kusubiria jumba bovu limwangukie?

Hivi nani anafaidika na kesi hii? Au hata ilikuwa na umuhimu gani kwa nani?

Ninakazia:

 
Nice maono yanatimia
 
Shame on a arrogant elite
 
"Wenzangu wote mmewapa miaka kumi kumi,halafu mimi mnataka kunipa mitano tu" by stonetangawizi
 
Akiachana nayo kwa sasa atakuwa mpuuzi. Ataiendeleza hadi kwanza kiwewe alichokionesha jana mahakamani kimtoke
 
Waliomshauri kumkamata Lissu wanaweza kua watu wajinga kuliko hii kesi ina maslahi gani kwa nchi? Au kwa mwananchi mmoja mmoja Lisuu wangemuacha apige porojo zake kwenye kampeni ya NO reforms no Election mbona JK aliweza kumwacha Lissu utawala wake Lissu alimsema Jk lakini mzee wa watu aliendelea na Mambo yake. CCM chama Changu kwa nini mlituletea mtu ambae hakubaliki? Kwa maslai ya nani ? Bora mara Mia angechukua January Makamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…