Kesi ya Lissu: Ushauri wa Bure kwa Rais Samia, achana na hii kesi Haina maslahi yoyote kwako, CCM, wala nchi!

Sheria ifuate mkondo wake sio yatukute sisi waiba kuku hata hawa wabunge wanao na waliopokea mishahara mikubwa (keki ya Taifa).mkisikia keki ya Taifa ni mshara wa mbunge,
Nasubiri hii kauli kuwakilishwa bungeni ya kukinukisha au kukiwacha , tunaenda kukiwacha ili tuchukuwe Nchi yaani amelidharau hata jeshi letu.
 
Muachie Lissu fungulia wafungwa wote wa kisiasa fanya Reforms kwenye mfumo wa uchaguzi Reforms kwenye jeshi la Polisi uchunguzi wa kina kuhusu Wasiojulikana uanze mara moja tujue waliopotezwa wamezikwa wapi.
 
Akiachana nayo kwa sasa atakuwa mpuuzi. Ataiendeleza hadi kwanza kiwewe alichokionesha jana mahakamani kimtoke

Mitandao kimataifa inasoma hivi:



Kwa Kasi ya ngiri, Kwa faida ya nani ndugu?
 

Una maana duniani kunaposomeka hivi:



Hakukufikirishi ndugu?

Kwa faida ipi sasa?
 
Waende kumtetea Gachagua kwa anayopitia huko KE. Hali yake ni mbaya

Gachagua hayuko konga. Wanawatetea wakiwamo kina Besigye walio ukonga, chini ya ma emperor:

 
Ni vyema ikafanyika tathmini ya faida na hasara za hii kesi kwa nchi. Sidhani kama Rais Samia au CCM inahitaji vitu vya namna hii kushinda uchaguzi. Nchi inalipa gharama kubwa ya taswila kimataifa kwa jambo ambalo halina tija.
Sure.
 
Achana nao Kwani mitandao inamnyima kuweka mkono kinywani? Tatizo humjui Samia, hana pressure kama JPM


hiyo siyo mitandao ndugu. Hiyo ndiyo dunia:



Hiyo ndiyo public opinion ambayo hakuna mwenye busara anaweza kuibeza.

Tanzania siyo kisiwa bila kusahau hata ICC inatuhusu.

Wako wapi kina Mdude, Soka au kina Kibao?

Mema yapi mnamtakia nyie mama Samia?

Kwani huwa mnachelewa kumruka mtu, futi mia mbili?
 
Unamshauri Chura KIZIWI ambaye ameamua kuwafanya watu wenye akili ndogo kama kina Waziri, na cronies wao au chawa kama STEVE na ENOCH kuwa ndio washauri wake ..kipi cha maana unategemea kwake ?? Amekua disgrace na aibu kwa mtoto wa kike duniani ……..
 
Una utoto mwingi
 
Hacha mamlaka zifanye kazi yake
Mamlaka zipi? Huyu kwa kipindi chake kifupi amebambikwa watu kesi za uhaini tatu. Hivi kweli kupinga mkataba wa bandari ilikuwa sawa kuwapa kesi ya uhaini Wakili Mwabukusi,Mdude na Dr. Slaa!! Huwezi kuona huyu mama kazungukwa Na kundi la washauri wajinga kuwahi kutokea.
Ukute pengine siyo raia wa nchi hii kama alivyoonya General Mkunda.
Kuzuia Ex CJ Mutunga na wenzie kina Karua kumempa faida gani zaidi ya kuvuna aibu.
Samia alikwenda Kenya baada ya kuwa Rais,tuliona viongozi wanawake walivyompokea.
Wengi waliongea kama mwanamke smart anayejiamini.
Alionekana kama kioo cha kuleta matumaini kuwa wanawake wanaziweza nafasi za juu kama urais.
Leo ndiye Rais mwanamke anayeshlikilia rekodi ya ukandamizaji,utekaji na uuaji wa wapinzani wake.
Tunajua wapo viongozi wabaya East Africa, lakini huwezi kulinganisha na huyu.
Kina Kagame ni mafia lakini humsikii akikumbatia majizi na mafisadi kama huyu wetu.
Yeye hutesa zaidi wanaomkosoa Na kuanika ufisadi wake na qa kundi lake.
 
Duh! mbona wewo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…