Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Hayajanyooka soma vzr,hajasema nani alimpigia simu,,,,kwann alimuacha marehemu peke yake ? ,,,alikimbilia bafuni then akaskia kishindo (muda huo huo alijua jamaa alianguka sehemu A na kuelekea B alijuaje ?) ,,upelelezi unasema palikua na alama nyeusi ukutani,je hakuziona huyo lulu ? ,alipokua huko coco aliambiw na watu kanumb kafa,akuliza yupo hosp gani akamuone ? Af anatuambia tena hakujua kama mchizi aliukata pndi alipofika central bali alidhani jamaa alikamatwaAma kweli, nature naver lies! Si mfuatiliaji wa haya mambo lakini hapa pamenifurahisha japo ni mambo ya msiba.
MKUU,UNAHITAJI KUSOMA VIZURI HABARI HII ILI KU CONNECT DOTS NAKUSHAURI USOME VIZUR ZAIDI YA MARA 5 UTAELEWA ,,AFU KWA MAELEZO HAYA HUYU DEMU AKISHINDA KESI BASI MAHAKAMA NI JIPU