KESI YA MAUAJI: Utetezi wa Elizabeth Michael (Lulu) ndani ya mahakama kuu

KESI YA MAUAJI: Utetezi wa Elizabeth Michael (Lulu) ndani ya mahakama kuu

Ama kweli, nature naver lies! Si mfuatiliaji wa haya mambo lakini hapa pamenifurahisha japo ni mambo ya msiba.
Hayajanyooka soma vzr,hajasema nani alimpigia simu,,,,kwann alimuacha marehemu peke yake ? ,,,alikimbilia bafuni then akaskia kishindo (muda huo huo alijua jamaa alianguka sehemu A na kuelekea B alijuaje ?) ,,upelelezi unasema palikua na alama nyeusi ukutani,je hakuziona huyo lulu ? ,alipokua huko coco aliambiw na watu kanumb kafa,akuliza yupo hosp gani akamuone ? Af anatuambia tena hakujua kama mchizi aliukata pndi alipofika central bali alidhani jamaa alikamatwa

MKUU,UNAHITAJI KUSOMA VIZURI HABARI HII ILI KU CONNECT DOTS NAKUSHAURI USOME VIZUR ZAIDI YA MARA 5 UTAELEWA ,,AFU KWA MAELEZO HAYA HUYU DEMU AKISHINDA KESI BASI MAHAKAMA NI JIPU
 
Usitengemee atafungwa hiyo miaka yako 5 unayo sema, hata kama sheria itasema hivyo....
Mkuu mimi sitegemei wala siombei mtu afungwe hata kidogo. Nilichokifanya nikuelewesha juu ya mashtaka ya kuuwa. Sina roho mbaya kiasi hicho cha kufurahia mtu kufungwa.

Sent from my itel it1508 using JamiiForums mobile app
 
Kumbuka dogo kwa kipind kile alikua na 17yrs old, baada ya Sert kwenda kumfata Dr, it means lulu akabak alone ndan ya nyumba, akaona endapo kanumba angeamka angempiga, akaona bora asepe.

Jaribu kuwaza wew kipind una 17yrs old ulikua na akiri gan japo sifaham umri wako wa sasa?

Lulu is innocent
Miezi michache kabla ya lile tukio Lulu alifanya sherehe ya kuzaliwa kutimiza miaka 18, so baada ya tukio Lulu karudi miaka 17.
Aliendesha gari kutoka kwa kanumba hadi coco beach, leseni yake itatuambia mwaka huo April alikuwa na miaka mingapi
 
Ila jamani mahakamani ni sehemu nyingine tofauti. Bora hata iwe shule ujue ukishindwa mitihani utapambana mpaka kieleweke. Sasa hiyo unajua tu ukishindwa ni mvua zakutosha unaona kabisa starehe utapishana nazo, uhuru wakufanya yako ndo basi tena..... lazima uchanganyikiwe. Ila mshahara wa dhambi jamani[emoji40] [emoji40]
Siyo starehe tu, magereza ya Tanzania magonjwa kibao,ukiwekwa huko kutoka salama bahati nasibu.
 
Gari aliendesha mwenyewe, kuwa na leseni au kutokua nayo sio shtaka linalomkabili
Lakini leseni yake pia inaweza ikawa kithibitisho cha kutuambia by that time Lulu alikuwa na miaka mingapi
 
Hapo wanaka ku establish the premise that, alipataje leseni wakati alidai kipindi kile alikuwa under 18!?
dah huko unaweza kujifunga aiseee tena kwa kitu kodogo daaaaah!
 
alisema alikuwa hajatimiza miaka 18 wakati huo! lazima aulizwe aliendeshaje gari bila leseni! na kama alikuwa na leseni aliipataje wakati alikuwa hajatimiza 18.......

jamaa alikuwa anamla mbichi .....
 
Jaji asisahau kumuuliza papuchi yake ina hali gani mpaka sasa. Mana sio kwa ma track hayo yaliyompitia.
 
Sio kweli mim lulu naweza kua nimemzidi miaka miwili au mmoja tu
sijui age yako ndo tatzo lulu amemaliza mwaka mmoja na dogo wangu ndo maana nakwambia hvo ndo maana nimekadiria humo

coz angekua amezaliwa juu ya 94 means 2012 angeweza kumiliki lesseni
 
Marehemu ana kesi ya kujibu. Ni Kosa Kosa kutembea na underage. Ifutwe tu hii kesi
 
amekosa watu wa kumshauri sijui,nilitegemea muda wote huo kakaa nje alikua keshajiset,matokeo yake anaongea ujinga kama huo mahakamani..nakumbuka dingi yangu mdogo alikuaga hakimu,ilikua kila jioni watu wenye kesi zao wanamtembelea nyumbani kwake,anakua anawafundisha namna ya kujitetea mahakamani,sasa huyu alikalia kula bata tu na wakati anajua ana mtiti mbele yake
naomba kuuliza kaka
mtu mwenye kesi anaweza kwenda nyumbani kwa hakimu anaeisikiliza io kesi?? je kisheria inaruhusiwa???
 
Back
Top Bottom