Kesi ya Mbowe: Aliyekuwa Waziri wa Ulinzi, Dkt. Hussein Mwinyi atajwa kumtumia pesa Mtuhumiwa

Barikiwa sana Mpwa
 
Kesi tamu sana hii
 
jiwe na mbowe ,walikuwa ma best Sana,jiwe hakutaka kumsulubu mbowe,alikausha ,isingekuwa hivyo Basi hii kesi ingeanza kpindi Cha jiwe. Hapa ni Bibi ndo master mind,na sabab mnaijua! Sema MAchadema akili zenu fupi,yaani mpaka Sasa hamjui mnapambana na Nani!!, Na kwa sababu gani!! Daah ! Kwa akili hizi mbowe anahaki ya kuendelea kuwa mwenyekiti !!
 
Tulia, tulia, tulia kidooooogo ndio kwanza ni January hii
 
Leo limetokea tukio la kustajabisha, wakati wa cross examination, mawakili wa utetezi wameibua swala nyeti kidogo.

Kwamba kwenye miamala ya mtuhumiwa Khalifan Bwire, Kuna miamala ambayo ilikuwa inatoka kwa waziri wa ulinzi kipindi kile ambaye kwa Sasa ni Raisi wa Zanzibar ndugu Hussein Mwinyi

Sasa hii kesi ni kubwa mtu akikutwa na hatia atafungwa maisha, ili haki itendeke lazima Hussein Mwinyi naye apande kizimbani kujibu izo tuhuma.

Raisi SSH, alituambia live via BBC, kuwa Kuna watuhumiwa kwenye kesi ya Mbowe, washaukumiwa, lazima naye apande kizimbani kudhibitisha madai yake.

Hii kesi ni unforgettable case in our country.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…