Kesi ya Mbowe: Kibatala na Mallya wameiondolea Mahakama uwezo wa kumfunga Mbowe hata ikishinikizwa

Kazi sanaa aisee kama nawe ndo mwanasheria.
Anajiita prosecutor wa zamani. Kwa kujiita hivyo ni dhahiri ni wale Polisi waliokuwa waendesha mashtaka kabla kazi hiyo kupelekwa Kwa DPP.

Anaendelea kudhani walivyokuwa wanabambikia kesi watu huku yeye Polisi mwenzao akishirikishwa na kutoa ushauri wabadilishe maelezo ya mshtakiwa na waweke saini ya Mshtakiwa Kwa dole gumba wakitumia kichaa cha uume wa Polisi mwenzao inaendelea mpaka Sasa.
 
Kwa hyo wew ndio mwanasheria mzuri?Upuuzi mtupu
 
Unaamini Mwenyekiti Hana hatia halafu unakaa JF kimya badala ya kwenda kuongeza nguvu mahakamani? Mbona WAKILI toka Bukoba kajiongeza mwenyewe? Au unataka kulipwa, sema uko wapi tukufuate.

Usichojua ni kwamba hukumu yoyote nchi hii inaweza kutolewa Kwa haki au Kwa dhuluma Kwa sababu Mahakama ziko mifumoni mwa Dola. UTAWALA wa Magufuli japo ulikuwa mbovu lakini umetusaidia Sana kujua kwamba hukumu nyingi hasa zinazohusu wanasiasa zinashinikizwa na wanasiasa watawala.

Kwa hiyo watu hapa wamejiandaa kisaikolojia hata Mwenyekiti akifungwa imeshaonekana hapa ukweli ni upi.
 

Ni kwamba unadhani hatuna uelewa wa mambo ama nini? Tunaona kabisa ushahidi wa jamuhuri ni wa kubumba kisha utoonyeshe kuna kubwa tusilolielewa?

Labda kama kwa sasa mahakama inatoa hukumu kwa kutumia mbinu za kushangaza na sio ushahidi.

Hata kama Mbowe na wenzake watafungwa, sio kwa ushahidi wa jamuhuri kuwa ni magaidi, bali kwa maelekezo ya nje ya mahakama, yanayoongozwa na siasa za kishenzi.
 
Kibatala ndo' best criminal lawyer in Tz.
 
Prosecutor gani mweupe hivyo kichwani kama mvi za Lowasa!
 
Hayo hapo juu yanaathiri nini ushahidi wa prosecution hasa ikizingatiwa shahidi hajui kiingereza, ameulizwa kwa kiswahili, maelezo yaliandikwa kwa kiswahili, na wapo mashahidi wengine
Bora hata usingejisifia kuwa uliwahi kuwa prosequtor, maana nyie ndio baadhi ya watu mnayofanya kazi kwa kiwango duni sana.

Kinachowabeba ni kwakuwa hiyo mahakama haina ushindani, na wala hakuna vigezo vilivyo wazi vya kupima ubora/uwezo wenu. Lakini ikitokea kukawa na ushindani wa kweli, nyie maprosecutor uchwara wote mtapigwa chini.

Kuna mlundikano mkubwa wa kesi huko mahakamani, na sababu kubwa inaletwa na nyie maprosecutor uchwara, mko kubambikizia kesi zaidi kuliko weledi, mkikutana na mahakimu na majaji waganga njaa basi ni upuuzi mtupu.
 
Umeandika kishabiki sana
 
Muue
 
Usitupangie Cha kufanya, kwamba wewe Ndo unaakili Sana kuliko chama ambacho kinawaamin?

Wewe KESI ngapi umesimamia na kushinda, ACHA Mambo YAKO bwana
 
Upuuzi mwingine huu wa mimburula nyumbu,huyo kibatala na malya wana uwezo gani kuzuia mahakamani isifanye kazi yake.
Wapumbavu tu hao mawakili na wanapiga hela kwa kuchelewesha kesi isiishe.
 
Kwenda huko wewe bushlayer.....kwenye sheria hakuna kitu kinachoitwa truth bali kuna facts.
 
Jana tumesikia polisi akitoa ushahidi wake kwenye kesi ya Mbowe. Tumesikia na siyo mara ya kwanza wakijitetea kwamba maelezo waliyoandika wamejisahau wakakosea yaani "typographical error".
Mkuu inapotokea typographical error huwa wanarejea kwenye maelezo halisi (yaliyoandikwa kwa mkono). Hivyo usitoe ushindi kwa Mbowe kwa sababu kuna typographical error.
 
Mkuu inapotokea typographical error huwa wanarejea kwenye maelezo halisi (yaliyoandikwa kwa mkono). Hivyo usitoe ushindi kwa Mbowe kwa sababu kuna typographical error.
Hayo yalitakiwa yakaguliwe na kureke ishwa kabisa kabla ya kuitwa na kusikilizwa mahakamani.
 
Hii kesi ya kubumba haiihtaji expert wa criminal case, shahidi wa tatu bado hakuna ushahidi hauwezi kumui implicate mtuhumiwa.
 
Dogo Hakuna kesi hapo ni kupoteza muda tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…