Kesi ya Mbowe: Mbowe na viongozi wa CHADEMA msiposikiliza ushauri wa Godbless Lema anaeshauri muondoe mawakili mahakamani, mtakuja kujiulaumu sana

Kesi ya Mbowe: Mbowe na viongozi wa CHADEMA msiposikiliza ushauri wa Godbless Lema anaeshauri muondoe mawakili mahakamani, mtakuja kujiulaumu sana

Kitu ambacho Mbowe anatakiwa kukaa nacho mbali kwa sasa na akitoka salama ni ushauri wa Lema na Lissu.

Si ajabu ni ushauri wao ndio uliomfikisha huko alipo na wenyewe washasepa.

Ni watu hao hao walimshauri pia CDM isusie viti maalum bila ya ridhaa ya hakina mama, matokeo yake wakavichukua kwa mlango wa nyuma na kupelekea mgawanyiko.

Kuondoka kwa hakina Halima Mdee kumeacha pengo kubwa sana CDM. Mbowe mahakama ndio itaamua mwisho wa siku. Pamoja na hayo Halima Mdee alikuwa mzuri sana kwenye kutoa pressure serikalini na mhamasishaji yaani hii kesi ya Mbowe angeigeuza ya ukandamizaji wa demokrasia kwa namna yake ya kuleta vurugu huko mahakamani.

Mfano polisi kuwapangisha mstari kuingia ndani ya mahakama au treatment zingine CDM wanazopewa wakienda mahakamani angetumia fursa hiyo kutengeneza mazingira ya uonevu wa polisi na ku associate na kesi yenyewe huku kesha kura virungu kadhaa na nundu za kuonyesha.

Mama juzi alikuwa Glasgow zile picha na wababe wa dunia sio photo shop maana yake huko kwa mabeberu awajali kesi ya Mbowe; sasa akiacha kupigana mwenyewe si anakwenda jela kirahisi bila ya kupambania uhuru wake.
ujatueleza ni kwanamna ipi utawashwa mbowe akifungwa!.
 
Just look a delusional and frustrated individual spewing rubbish from both sides of the mouth.

If you gat nothing meaningful to say, don't open your mouth and spew trash from both sides.
If you beat an imbicile by substance, his last weapon will be insults. Free your mind from the box where you are caged
 
Nimefiria sana na kuona kwamba "Tuache kesi iendelee" ili wamfunge lakini sote tutakuwa tumefahamu ukweli kuhusu udhalimu wa huu utawala.

Ila ninachofahamu kwa uhakika ni kwamba hata wakimfunga hatakaa jela kwa muda mrefu, kutakuwa na shinikizo la kufa mtu toka kwa jumuiya ya kimataifa hadi itabidi wamuachilie haraka sana.

Serikali hii ni chovu haiwezi kustahimili shinikizo toka kwa Marekani na washirika wake ambao wote walishafahamu kwamba utawala wa maushungi ni muendelezo tu wa utawala wa kidhalimu wa dikteta John Pombe Joseph Magufuli. Hilo halina ubishi.
 
If you beat an imbicile by substance, his last weapon will be insults. Free your mind from the box where you are caged

Get out and stop embarrassing yourself with your gibberish better shut up and learn.

I'm not fighting you but you better Keep doing your work of propaganda against Chadema and Rights you eye go clear when you we finally leave you will realize that you are left with the demons you created.
 
Hivi ni kweli makelele ya maumivu yameaanza mapema hivi huko ufipa, waambieni watulie kwani leo hii kuanza kusema kumbe hata majaji wanateuliwa na Rais, sasa kama mtajua kuwa viongozi wote wa upinzani walitokana na teuzi za Nyerere si mtahama nchi sasa. Hii ni TZ akili nayoiona mimi labda mrudishe mpira kwa kipa kwanza.
 
Serikali siyo wajinga kumfungulia Mbowe kesi ya ugaidi. Mbowe mwenyewe anajuwa namna alivyolikoroga.

Muulizeni kati ya Desemba 2020 na March 2021 mpaka tunamzika DIKTETA Magufuli alikuwa wapi? Muulizeni ni kitu gani aliomba kwenye ubalozi wa Denmark na alijibiwa nini?

Nendeni na ubalozi wa Canada mkaone status ya papers zake kwa alichokiomba. Mmasingizia alikuwa kwenye biashara zake Dubai, ana biashara gani Dubai?

Kwa nini Serikali ihangaike kumtengeneza Mbowe mashtaka ya kubumba? Ni nguvu gani aliyonayo?

Mbowe alitaka kuweka nchi kwenye status of instability immediately baada ya uchaguzi kukamilika. Serikali ilipogundua njama ndipo akalazimika kukimbia.

Nani kasikia masekondari ya shule za Kisslami yanachomwa tena baada ya Mbowe kuwa mikono salama pale Ukonga?

Na kwa kiasi kikubwa amshukuru Samia ambaye ameacha Mahakama itende haki kwani ingekuwa hajawahi kukimbia nchi wakati wa Mwendazake, saa hizi Mbowe angekuwa na msaidizi wake Ben Saanane huko kuzimu.

Nashangaa Wana CDM mnamtukana Rais SSH eti DIKTETA mwanamke wakati ameacha uhuru wa habari na utawala wa sheria uendelee.
Wewe jamaa siku hizi nakuchukiaga sana. Mwanaume hawi hivi. Mwanaume unatakiwa kuwa na msimamo. UNAKERA Aisee. Bora ungenyamazaga na kufunga domo lako.

Nyambafu

brazaj
 
Nimefiria sana na kuona kwamba "Tuache kesi iendelee" ili wamfunge lakini sote tutakuwa tumefahamu ukweli kuhusu udhalimu wa huu utawala.

Ila ninachofahamu kwa uhakika ni kwamba hata wakimfunga hatakaa jela kwa muda mrefu, kutakuwa na shinikizo la kufa mtu toka kwa jumuiya ya kimataifa hadi itabidi wamuachilie haraka sana.

Serikali hii ni chovu haiwezi kustahimili shinikizo toka kwa Marekani na washirika wake ambao wote walishafahamu kwamba utawala wa maushungi ni muendelezo tu wa utawala wa kidhalimu wa dikteta John Pombe Joseph Magufuli. Hilo halina ubishi.
2040 kama tukiwa hai
 
Wewe jamaa siku hizi nakuchukiaga sana. Mwanaume hawi hivi. Mwanaume unatakiwa kuwa na msimamo. UNAKERA Aisee. Bora ungenyamazaga na kufunga domo lako.

Nyambafu

brazaj
Sisi ndiyo wanaume wa kweli hatuishi kwa kukariri kama nyie. Tunaita koleo kwa jina lake na hatuiiti Kijiko kikubwa. Unataka niwe na msimamo wa kumtetea Mbowe na UJINGA wake.? Na hapo ndipo mnapokosea wana CHADEMA kwa kuwa kiuhalisia Chama chenu ni mali ya Mbowe na mkwewe Edwin Mtei, hakuna mwenye ujasiri wa kumshauri wala kumuonya.

Laiti mngenguwa na UHURU wa kumkosoa na kumshauri ilikuwa mumwambie aachane na PAPARA za kiuanaharakati, asome mchezo kwanza wa awamu ya 6, ndipo mjue mnakabiliana vipi na Serikali ya haiba ya Rais Samia

Nakuletea hapa uzi wangu niliandika kumtahadharisha kabla hajakamatwa.

Huna lolote utadhani kabinti kachekechea. Kuwa na msimamo kama mwanaume wewee.

UNAKERA

Nyambafff
 
Hakuna cha kurudi nyuma mpaka tujue wanatufunga au la ila wakimfunga tunajua na penyewe ni CCM wamemfunga na police wao
 
Huna lolote utadhani kabinti kachekechea. Kuwa na msimamo kama mwanaume wewee.

UNAKERA

Nyambafff
Kwa ujinga ulionao Nguseroh , utakereka sana. Ukitaka kuepuka kero hii usisome posts zangu. Pita Fasta kama huzioni
 
Maisha yake yalikuwa hatarini, hata samia maisha yake yakiwa hatarini atakimbia nchi, simple!
Anapomshauri Mbowe aondoe mawakili na akae kimya mahakamani ili Serikali ifanye kile wanachokita. Akihukumiwa kunyogwa maisha ya Mbowe hayatakuwa hatarini?

Na kama alihofia maisha yake baada ya 17/3 mbona hakurudi kuja kusaidiana na wenzake huku nyumbani?
 
Tungeondoa mawakili mapemaa tusingejua hata haya mapapai mabovu ya jana. - dunia nzima imebakia midomo wazi
 
Ukiona watu wameanza kukata tamaa na mfumo was utoaji haki ujue kunakaribia kucha, nieshtushwa na mawazo kama haya
 
Back
Top Bottom