Kesi ya Mbowe: Mbowe na viongozi wa CHADEMA msiposikiliza ushauri wa Godbless Lema anaeshauri muondoe mawakili mahakamani, mtakuja kujiulaumu sana

Hizo mahakama zingekuwa huru huu utoto ulioongea hapa ungekuwa na maana. Tunataka mawakili wajitoe ili mumfunge vizuri kwa huo ushahidi wa kipuuzi unaoendelea hapo mahakamani, na jaji kujigeuza sehemu ya ushahidi wa jamuhuri. Hatuna uzoba wa hivyo kwenye jambo la wazi hivyo.
Wacha ujinga wako Tindo . Mdude aliposhinda Mahakama zilikuwa huru, Sabaya alipohukumiwa miaka 30, Mahakama ziko huru.

Nyinyi mnajuwa uovu wa Mbowe ndiyo maana suruwali zinawabana.
 
Ya Sabaya mlikuwa mnafurika mahakamani kwa kuhamasishana sasa ni zamu yenu pia kualikana kisutu.
 
Siku chache zilizopita, nilileta mada hapa niki-suggest Mbowe aacha kujitetea mbele ya hizi mahakama zetu kutokana na mwenendo mzima wa hii kesi. Leo hii kupitia You tube, nimemsikia Godbless Lema akimshauri Mbowe aondoe mawakili na akae kimya mahakamani ili wafanye kile wanachokita. Lema pia kaongea na katibu mkuu wa chama na anapanga kuongea na makamu mwenyekiti wa chama kuhusu jambo hili. Isitoshe, Lema kakumbusha uamuzi wa mke wake kutoa mawakili wakati ule wa kesi ya yake alipokuwa ananyimwa dhamana.

Katika kufafanua, Lema kataja mapungufu kadhaa yanayoonekana katika hii kesi na mfano mmojawapo ni Jaji kutumia mawazo yake(opinion) kufanya maamuzi badala ya kutumia vifungu vya sheria katika kuamua mapingamizi. Mbali na kutaja mapungufu yanayojitokeza, Lema anahoji kama katika hatua hizi za mwanzo taratibu zinakikuwa, tunatarajia kweli hukumu itakuwa fair?(swali la msingi sana hili).

Binafsi naungana na Lema kuwa kuna umuhimu wa kuondoa mawakili na Mbowe akae kimya mahakamani tuwaache wafanye wanalotaka kufanya. Hapa tunarudia kosa lilelile la kuwa wagumu kufanya maamuzi kama tulivyofanya kwenye kususia chaguzi zinazoendeshwa na hii tume ya uchaguzi isiokuwa huru. Na hapa niwaambie tu, wakifanikiwa kumfunga Mbowe halafu tukalalamika kuwa taratibu zilikiukwa, majibu yao(MATAGA) yatakuwa mawili: (1) kwanini hamkujitoa (2)Mkakate rufaa kama hamridhiki na maamuzi ya mahakama.

Kuhusu hili la kusubiri kwenda Mahakama ya Rufaa kupinga kitachoamuliwa, naungana pia na Lema kupinga hoja hii kwani hata hao Majaji wa Mahakama ya Rufaa upatikanaji wao ni ule ule wa kuteuliwa na Raisi,hivyo bado lolote linaweza kutokea. Kwahiyo, nashauri viongozi wa CHADEMA na wana familia ya Mbowe watafakari upya kama ni sahihi kuendelea kuweka mawakili mahakamani au Mbowe akae kimya na awaache waamue wanavyoona inafaa.
View attachment 2001948
Nadhani ni msimamo mzuri nakubaliana na hoja ya Mh Lema
 
Lema ana elimu ipi katika taaluma ya sheria ?
 
Katika Hali ya uongozi wa kionevu wa Serikali ya CCM, kuanzia JPM na sasa SSH. Baba Mungu YAHWEH, yapime maneno aliyoyatoa Stuxnet. Kama ni ya Kweli naomba msamaha kwa ajili ya Tanzania. Lakini Kama ni ya Uongo wakati Taifa linaishi kwenye uonevu mkubwa Kiasi hiki! Eeeee Mungu YAHWEH... Amua Leo hii Juu Stuxnet tumechoka na maonevu ndani Tanzania.
Ndyali ni aina ya ndizi huko Mbeya. Kwa hiyo Yahweh asikie dua la ndizi
 
4. Kama unaamini Mbowe hana nguvu, kwanini alivyoenda Mwanza kwaajili ya kudai Katiba Mpya ndio serikali ikamkamata, kwani kabla ya kukamatwa kwake hawakujua kama alikuwepo Kilimanjaro na Dsm? sijui umekurupuka toka wapi kuja kujaza server ya watu kwa huu upupu wako wakutunga.
Yaani denooJ unakipangia chombo cha Dola muda na namna ya kumkamata Mbowe. Mimi najaza upupu kwenye server ila Mbowe anajaza kinyesi kwenye ndoo. Shenzi kabisa alishadharau sana Serikali. Ngoja tuonyeshane makali
 
Huo ushahidi ulionao wewe peke yako ambao hata Kingai na Mahita hawana.

Utopolo.
Tutaelewana tu! Subirini, mtu wenu hachomoki this time. Ameyavagaa mavi kwa kujifanya anajuwa kuchamba
 
Yaani denooJ unakipangia chombo cha Dola muda na namna ya kumkamata Mbowe. Mimi najaza upupu kwenye server ila Mbowe anajaza kinyesi kwenye ndoo. Shenzi kabisa alishadharau sana Serikali. Ngoja tuonyeshane makali
Musiba alikuwa kama wewe. Kumbe alikuwa hana maana yoyote bila magufuli.
 
Nikuulize swali.

Wewe umo kwenye orodha ya mashahidi upande wa mashtaka?

Utaitwa lini mahakamani kutoa ushahidi wako, maana inaelekea ushahidi ulionao wewe ungekuwa ndio utolewe mwanzoni kabisa mwa kesi hii, lakini hadi sasa haya unayoyaeleza bado hayajawasilishwa mahakamani.

Inakuwaje akina Kingai na wenzake waachiwe kuweka mashtaka yanayoonekana dhahiri kwamba ni ya kutunga tu, halafu wakuache wewe na ushahidi mzito namna hii ambao ungemaliza kesi haraka na kuiacha serikali ikiwa na heshima yake mbele ya wananchi inaowaongoza?
Ni kwamba Mwenyekiti wenu ni mchafu. Mmtetea mtu ambaye hamumjui
 
Siku chache zilizopita, nilileta mada hapa niki-suggest Mbowe aacha kujitetea mbele ya hizi mahakama zetu kutokana na mwenendo mzima wa hii kesi. Leo hii kupitia You tube, nimemsikia Godbless Lema akimshauri Mbowe aondoe mawakili na akae kimya mahakamani ili wafanye kile wanachokita. Lema pia kaongea na katibu mkuu wa chama na anapanga kuongea na makamu mwenyekiti wa chama kuhusu jambo hili. Isitoshe, Lema kakumbusha uamuzi wa mke wake kutoa mawakili wakati ule wa kesi ya yake alipokuwa ananyimwa dhamana.

Katika kufafanua, Lema kataja mapungufu kadhaa yanayoonekana katika hii kesi na mfano mmojawapo ni Jaji kutumia mawazo yake(opinion) kufanya maamuzi badala ya kutumia vifungu vya sheria katika kuamua mapingamizi. Mbali na kutaja mapungufu yanayojitokeza, Lema anahoji kama katika hatua hizi za mwanzo taratibu zinakikuwa, tunatarajia kweli hukumu itakuwa fair?(swali la msingi sana hili).

Binafsi naungana na Lema kuwa kuna umuhimu wa kuondoa mawakili na Mbowe akae kimya mahakamani tuwaache wafanye wanalotaka kufanya. Hapa tunarudia kosa lilelile la kuwa wagumu kufanya maamuzi kama tulivyofanya kwenye kususia chaguzi zinazoendeshwa na hii tume ya uchaguzi isiokuwa huru. Na hapa niwaambie tu, wakifanikiwa kumfunga Mbowe halafu tukalalamika kuwa taratibu zilikiukwa, majibu yao(MATAGA) yatakuwa mawili: (1) kwanini hamkujitoa (2)Mkakate rufaa kama hamridhiki na maamuzi ya mahakama.

Kuhusu hili la kusubiri kwenda Mahakama ya Rufaa kupinga kitachoamuliwa, naungana pia na Lema kupinga hoja hii kwani hata hao Majaji wa Mahakama ya Rufaa upatikanaji wao ni ule ule wa kuteuliwa na Raisi,hivyo bado lolote linaweza kutokea. Kwahiyo, nashauri viongozi wa CHADEMA na wana familia ya Mbowe watafakari upya kama ni sahihi kuendelea kuweka mawakili mahakamani au Mbowe akae kimya na awaache waamue wanavyoona inafaa.
View attachment 2001948
Mshaurini mzee Mbowe akiri makosa, huenda Mahakama ikamsamehe. jela sio pazuri.
 
Ni kwamba Mwenyekiti wenu ni mchafu. Mmtetea mtu ambaye hamumjui
Nyie mnayemfahamu ndio leteni ushaidi usio na chenga wa huo uchafu mliokalilishwa. Sio kubweka bweka kama mbwa koko
 
Kwanini tunalea ujinga hadi lini wa tanzania tutapata akili.
 
Wakijitoa sasa hivi MATAGA watasema mawakili wa mboe wameona wamezidiwa na hivyo kuamua kujitoa,kwa hali ilivyo bora wapambane kupAngua ushaidi mpaka mwisho ili wote tuone vioja vinavyoendelea huko mahakamani
Nadhani tungoje angalau mashahidi wa jamuhuri watoe ushadi angalau wafike robo tatu,baada ya hapo maamuzi ya kuwaondoa mawakili lifanyike
 
Niwe mkweli tangu mwanzo wa hii kesi na baadae kidogo nikaunganisha alama nikagundua hukumu imeshaandaliwa maana haiwezekani jaji aruhusu kile kinachoitwa kukiri kwa watuhumiwa kuwa yale maelezo waliyolazimishwa kutoa kituoni yaendelee kutumika kama ushahidi ikiwa upande wa utetezi ulimuomba jaji ayatupilie mbali maana hawakusaini kwa ridhaa yao walisaini kwa kuteswa, nami nilifikiri hivyo mapema kuwa Mh Mbowe aondoe mawakili ili jaji amfurahishe ziro na bibi mwanga.
watu wangejua umuhimu wa ile hukumu ya case ndogo basi wange kubaliana na lema
 
Hata wao wakimuhukumu sisi tunaofutilia kesi kila leo na wananchi kwa ujumla tunaona vile haki ikipindishwa.
 
Back
Top Bottom