huna hoja umekua na mipasho utasema huyo mama enu anayewaona wanaCCM wote ni wa kike.Kunywa mtori bwashee nyama utazikuta siku ya hukumu!
Tukuulize nawe swali moja, nairobi umeenda lini,je nani ataendelea kutuhabarisha. Hasa kutokea hapo mahakamani.?Naomba kujuzwa kama hii kesi ya mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe inasikilizwa kwa faragha au iko kwenye mahakama ya wazi.
Niko hapa Nairobi ndio maana nashindwa kuelewa.
Mungu ni mwema wakati wote!
Mimi nitamuongeza kikuku na lipstic na wigi la Brazil.weka hiyo hiyo sheria hapa inayokataza watu kuingia na vifaa vya ki-electronic kwenye open court.
ukifanikiwa kuweka hiyo sheria hapa nitakununulia kanga doti 10 na shanga 6.
Na chadema itabaki na wanaume tu. Na muda utafika kama bado kutakuwa na mwanamke ndani ya chadema, basi mwanamke huyo apimwe akili.Ccm ibaki ya wanawake. Kuna muda ukifika bado kuna mwanaume ndani ya ccm basi apimwe akili
Naomba kujuzwa kama hii kesi ya mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe inasikilizwa kwa faragha au iko kwenye mahakama ya wazi.
Niko hapa Nairobi ndio maana nashindwa kuelewa.
Mungu ni mwema wakati wote!
Naona umepakatwa kitu cha moto kinazamishwa, unasikilizia...Tulieni dawa iwaingie bavicha
Rudi shuleKisheria hairuhusiwi kuingia na simu ikiwa imewashwa ndani ya chumba au eneo kesi inapoendeshwa; acheni kuingiza siasa kwenye masuala ya kisheria. Kuchambua ushahidi kwenye mitandao ni kuilekeza mahakama namna ya kufikia uamuzi kitu ambacho ni kosa
Weka hicho kifungu cha sheria weweee mburula, acha kupayuka payuka without any evidence...Kisheria hairuhusiwi kuingia na simu ikiwa imewashwa ndani ya chumba au eneo kesi inapoendeshwa; acheni kuingiza siasa kwenye masuala ya kisheria. Kuchambua ushahidi kwenye mitandao ni kuilekeza mahakama namna ya kufikia uamuzi kitu ambacho ni kosa
tumemtaka aweke kifungu kakimbiaRudi shule
Acha upimbi wewe..Weka kwanza kifungu kinachokupa uhalali wako wa kuingia na simu ndipo uadhiriwe peupe
Hamna kazi za kufanya kazi yenu ni kukaa mahakamani siku nzima kufuatilia kesi ya Mbowe????Freeman Mbowe na wenzake wameletwa tayari. Lakini ulinzi mkali umeimarishwa. Askari wengi. Pia kuna zuio la watu kuingia ndani ya mahakama. Wanasema ni mawakili 20 tu, wanahabari 10 (leo wameruhusiwa), ndugu 5, Viongozi 5, lakini simu marufuku.
Askari magereza wanalalamika kwamba jana tumefanya ujinga sana. Ujinga gani, tunawaukliza, wanasema tulikuwa tunatuma habari nje. Wanamueleza Benson Kigaila, NKM CHADEMA. Tumewaeleza kwamba, anayetakiwa kulalamika ni Jaji sio wao. Mahakama siyo gereza. Wajishikilie vizuri.
Mahakama imechelewa kwa dakika 40, yote hii ni kutokana na Jamhuri kutaka kuhodhi mamlaka ya mahakama, bila kujua kwamba wote hapa tuna interest na kesi hii, wao ni walalamikaji, sisi ni watuhumiwa. Kwanini watuzuie kuingia mahakamani na simu?
Watoto wote wa Freeman Mbowe, (Nicole na Dudley) pia wapo nje ya mahakama, pamoja na ndugu zao wengine.
Kama kawaida yao, makarao waliovalia kiraia, wamekaa kwenye siti karibu zote za mahakama, wamechukua nafasi kama kesi ni yao pekee yao.
Mambo ya ajabu yanafanyika
Lakini kitu cha muhimu hadi sasa ndugu zangu ni kwamba, kwa umoja wetu wote tupo nje ya mahakama kuu Divisheni ya makosa ya uhujumu uchumi na Rushwa, Ubungo-Mawasiliano, tumeshawaelekeza MAWAKILI wetu wasomi kwamba "No ENTRANCE NO CASE"... And it's done, hii ni open court!
C&P Martin
Kisheria hairuhusiwi kuingia na simu ikiwa imewashwa ndani ya chumba au eneo kesi inapoendeshwa; acheni kuingiza siasa kwenye masuala ya kisheria. Kuchambua ushahidi kwenye mitandao ni kuilekeza mahakama namna ya kufikia uamuzi kitu ambacho ni kosa