Weka kwanza kifungu kinachokupa uhalali wako wa kuingia na simu ndipo uadhiriwe peupe
Endapo mwalimu shuleni angekuwa akimuuliza swali mwanafunzi na mwanafunzi nae amuulize mwalimu sijui ingekuwaje, wewe umeuliza swli, jibu swali. iko wapi sheria inayokataza kuingia na simu mahakamani ?

Jana tu watu walikuwa wnaingia na simu, baada ya jamuhuri kuumbuliwa na kuzuiwa kumtumia shaidi wa uongo imekasirika na kuelekeza vidampa wao wazuie watu kuingia na simu, kama wanayoyafanya ni ya haki nini kinachowatia hofu?
 
WE HAPA JF NDO KAZINI KWAKO SIO MFUUU
 
Hii kesi kama ikiachwa iendelee inakwenda kumwaibisha mtu.. hii kesi ni ya kuachana nayo haraka ili tusonge mbele kama taifa. Tunatakiwa kuanza mapema kumalizia mchakato wa katiba mpya kabla ya 2023 iwe tayari ili tuanze kujiandaa kwa 2025.
Mimi siyo hakimu lakini kwa jinsi hii kesi ilivyo namwona Mbowe akila mvua ya kutosha.

Hii kesi imebeba maslahi mapana ya Serikali iliyopo madarakani. Kushinda kwa Mbowe au kufutwa kwa hii kesi is likely impossible.
 
Asante sana tunafatilia kesi hii ya kihistoria chini ya utawala dhalimu uliopo.
 
Watanzania tufike mahali tuamue na kukataa ushenzi huu!
 
Wanazuia wasiwasiliane na UAMSHO......na El Qaeda.....na magaidi wenzao Tarime..
 
Kesi zote za kigaidi huko dunia ya kwanza huwa zinafanyikia mafichoni. Kwahiyo hakuna cha kushangaza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…