Haya mambo aliyaanzaga Mwigulu Nchema kubambikia watu kesi za ugaidi mwisho wa siku akafeli eti Leo ndo kiongozi wa kuleta MAENDELEO Tanzania .Kwa hii hali Nchi haitapata maendeleo maana viongozi Wana laana .Na tukiendea hivi ipo siku patatokea uasi mkubwa Sana na utalighalimu Taifa.njoo uwaambie siyo unajambia jambia huko kwa wanaume njoo kama mwanaume kweli we demu tu
Endesheni kesi kwa uwazi ili magaidi wafahamu kwamba hamtaki matendo hayo,mnaficha nini Wananchi mnaowatetea wakihabarishwa/wakihudhuria huku wakibeba&kutumia simu zao?Wewe Liboya ndiyo Siro au Kigae?mwisho wa mbowe ni huu hamuwezi kushindana na huu ushahidi unamfunga mbowe ni gaidi
Ni jambo jema!
Mbowe ni Kiongozi mkubwa ulinzi lazima uimarishwe.
Sawa mankaNi jambo jema!
Mbowe ni Kiongozi mkubwa ulinzi lazima uimarishwe.
Mkuu nakumbukaga comment yako flani humu ulivyofungwa gerezani miaka mingi lakini ukawa mkakamavu ukajifunza kilimo na ufundi. Ukatoka jela. ukawakuta mke wako na watoto hawapo. Please anzisha uzi kuhusu tukio hili. Ilikuwa 2017 mwishoni iyo comment yako.Ni swala la muda tuu
Ccm ibaki ya wanawake. Kuna muda ukifika bado kuna mwanaume ndani ya ccm basi apimwe akili
Rejea kauli ya rais
Aibu mnayoipata CCM ni zaidi ya Mtu mzima kujisaidia nje kwenye halaiki ya watu. Mpo mnahangaika kufunika aibu isiyofichika kama pembe la Ng'ombe.Tulieni dawa iwaingie bavicha
Hakuna sheria ya namna hiyo. Unatumia "uzoefu wa Kingai" kujenga hoja yako lakini si kwa mujibu wa sheria...Kisheria hairuhusiwi kuingia na simu ikiwa imewashwa ndani ya chumba au eneo kesi inapoendeshwa; acheni kuingiza siasa kwenye masuala ya kisheria. Kuchambua ushahidi kwenye mitandao ni kuilekeza mahakama namna ya kufikia uamuzi kitu ambacho ni kosa
kazidiwa kaanzisha fujoAu bwana shahidi kazidiwa?
Polisi imeakuwa kazi ya aibu sanaTulieni dawa iwaingie bavicha