Kesi ya Mbowe na Wenzake: Polisi Wazuia watu kuingia kufuatilia, Mawakili wa Utetezi watoka nje. Kesi yarejea na kuahirishwa mpaka 17 Sept
TOZONIA ya hovyo sn,kwanini watu wakataliwe kuingia mahakamani?,wakati kenya huwa wanarusha live luningani kesi zao.Hovyo kabisa, nchi ishaharibika kabisa hii.
 
njoo uwaambie siyo unajambia jambia huko kwa wanaume njoo kama mwanaume kweli we demu tu
Haya mambo aliyaanzaga Mwigulu Nchema kubambikia watu kesi za ugaidi mwisho wa siku akafeli eti Leo ndo kiongozi wa kuleta MAENDELEO Tanzania .Kwa hii hali Nchi haitapata maendeleo maana viongozi Wana laana .Na tukiendea hivi ipo siku patatokea uasi mkubwa Sana na utalighalimu Taifa.
 
mwisho wa mbowe ni huu hamuwezi kushindana na huu ushahidi unamfunga mbowe ni gaidi
Endesheni kesi kwa uwazi ili magaidi wafahamu kwamba hamtaki matendo hayo,mnaficha nini Wananchi mnaowatetea wakihabarishwa/wakihudhuria huku wakibeba&kutumia simu zao?Wewe Liboya ndiyo Siro au Kigae?
 
Ni swala la muda tuu

Ccm ibaki ya wanawake. Kuna muda ukifika bado kuna mwanaume ndani ya ccm basi apimwe akili

Rejea kauli ya rais
Mkuu nakumbukaga comment yako flani humu ulivyofungwa gerezani miaka mingi lakini ukawa mkakamavu ukajifunza kilimo na ufundi. Ukatoka jela. ukawakuta mke wako na watoto hawapo. Please anzisha uzi kuhusu tukio hili. Ilikuwa 2017 mwishoni iyo comment yako.
 
Jamhuri vs Mtuhumiwa = 0:0

hii kesi ifutwe kwa maslahi mapana ya uma
 
Kisheria hairuhusiwi kuingia na simu ikiwa imewashwa ndani ya chumba au eneo kesi inapoendeshwa; acheni kuingiza siasa kwenye masuala ya kisheria. Kuchambua ushahidi kwenye mitandao ni kuilekeza mahakama namna ya kufikia uamuzi kitu ambacho ni kosa
Hakuna sheria ya namna hiyo. Unatumia "uzoefu wa Kingai" kujenga hoja yako lakini si kwa mujibu wa sheria...

Ni utaratibu wa eneo lolote la kiofisi panapoendelea shughuli nyingine kuhitaji utulivu...

Mahakamani ni ofisi ya watu kama ilivyo benki, kwa DC nk. Hauzuiwi kuingia na simu yako ila unashauriwa kuiweka in silent mode ili kutunza utulivu...

Wote tumeingia mahakamani. Hakuna sheria ya kuzuia kabisa...
 
Back
Top Bottom