Kesi ya Mbowe Novemba 4, 2021: Mrakibu Mwandamizi wa Jeshi la Polisi, Sebastian Madembwe atoa ushahidi. Kesi yaahirishwa hadi Novemba 5, 2021

Sasa wewe mbowe ni mwanamke? Mbona unadhalilisha mama yako dada zako shangazi zako? Na kibaya zaidi unamzalilisha rais wa nchi maana nae ni mwanamke? Nahisi utakua umelaaniwa sio bure
Ameedit Katunu ya watu ilialipwe 7000/-
 

Mawakili wa utetezi, mawakili wasomi. Mmeitendea vema professional yunu. I salute you
 
Depo ulianza June,1998 nami niliingia Depo hiyo tukamaliza February 2,1999. Pia ikaingia depo nyingine May,1999 ikamaliza December, 1999
Na wewe ni wale anaowataka Simbachawene (waliofeli). Au kipindi hicho si ndio cha umefeli kote hata upolisi umeshindwa.
 
Habari ndio hiyo manka
Tafuta hela ya halali.Yaani Hadi katuuni unaiba unaedit upate Hela hapo Lumumba.Ni hivi hapo CCM hakuna mwenye akili ya usanii wa katuni mpka muibe ya CHADEMA halafu manedit
 
Tafuta hela ya halali.Yaani Hadi katuuni unaiba unaedit upate Hela hapo Lumumba.Ni hivi hapo CCM hakuna mwenye akili ya usanii wa katuni mpka muibe ya CHADEMA halafu manedit
Taratibu manka, [emoji23][emoji1787]
 
SWALI LA MSINGI; Kwanini mashahidi wa kwanza mpaka huyu wa leo... lazima akiulizwa jambo ambalo linapingana na ushahidi wake wa awali wa maandishi, lazima aseme kulikuwa na typing error? Iwe jina,iwe tarehe,iwe namba...ina maana wao wote kabla ya kukabidhi ushahidi wao huwa hawakiki?

Hii inaonyesha wazi ushahidi wao wote ni wa uongo, ndo maana ushahidi wao wa maandishi na wa mdogo wanapohojiwa huwa ni tofauti kwasababu ni ushahidi wa kutunga
 
Kesi uchwara hii mashahidi skripti zimewashinda. Lengo ni kupotezea watu muda tu.
 
Leo shahidi wa sita naye kapita na mazaga zaga yake kama yale yale, ya wale wa awali.

Shahidi huyu anadai alipata barua ikimtaka kukagua silaha kama ilikuwa imesajiliwa nchini 25/11/2020. Akaijibu barua hiyo 15/3/2021, miezi 5 baadaye.

Maajabu yapate vipi kukoma?

Tumeona hukumu zikitolewa katika hatua mbali mbali za shauri hili.

Tumeona Hati ya Mashtaka ikibadilishwa ndani ya shauri. Tumeona na mengi mengine.

Siyo siri kuwa pana ukakasi wa kutosha unaoligubika shauri hili.

Your browser is not able to display this video.


Ukweli ni pumzi ya wapenda haki.

Maisha ya wenye haki yako mashakani kutokana na idadi ya waongo kuongezeka kila kukicha.

Hata hivyo yote kheri kwani ukweli utaendelea kuwa ukweli.
 
Wamfunge tu mbona ushahidi wa jamhuru umeenyooka hivyo. Kuliko hata ule wa Sabaya wa kuunga unga naa gundi. Kama hii kesi ni ya uwongo niamini kesi ya namna gani. Technologia aidanganyi bhana.

Mnasumbua tu mahakana.
Akifungwa utapata faida gani, maana wewe hauna tofauti na Sabaya, roho nyeusi kama ya shetani mwenyewe.
 
Kuna mwanga Mkubwa mbele, believe me.
 
Objectively speaking, shahidi wa leo lengo lake ni kuonesha kuwa silaha waliyokamatwa nayo watuhumiwa haikuwa halali.

Ninavyoona watuhumiwa watakutwa na kesi ya kujibu, kama watafungwa au la itategemea na ushahidi wa upande wa utetezi.
 
Tanzania raha Sana

Shahidi: Niliandika maelezo ya kuichunguza bastola kupitia barua iliyoletwa, ila bastola sikuiona
 
Huyu shahidi namfahamu for over 10 years now. Ni mtu moja mstaarabu sana. Tena ni mcha Mungu hakika. Nimesoma ushahidi wake, yeye ameeleza alichotakiwa kufanya na alichofanya. Unaweza kuona dhamira yake kwenye maelezo yake. Mambo mengine hayamhusu. Very professional.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…