Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Shetani hajawahi kumshinda Mungu , nakuhakikishia kuna watu watakufa kabla kesi hii haijaisha .Leo shahidi wa sita naye kapita na mazaga zaga yake kama yale yale, ya wale wa awali.
Shahidi huyu anadai alipata barua ikimtaka kukagua silaha kama ilikuwa imesajiliwa nchini 25/11/2020. Akaijibu barua hiyo 15/3/2021, miezi 5 baadaye.
Substitution au amendment ya charge ni kitu cha kawaida s.234 CPA,labda kwasababu wewe ni mgeni mahakamani. hati ya mashitaka huwa inabadilisha na sheria inaruhusu hivyo.Leo shahidi wa sita naye kapita na mazaga zaga yake kama yale yale, ya wale wa awali.
Shahidi huyu anadai alipata barua ikimtaka kukagua silaha kama ilikuwa imesajiliwa nchini 25/11/2020. Akaijibu barua hiyo 15/3/2021, miezi 5 baadaye.
Maajabu yapate vipi kukoma?
Tumeona hukumu zikitolewa katika hatua mbali mbali za shauri hili.
Tumeona Hati ya Mashtaka ikibadilishwa ndani ya shauri. Tumeona na mengi mengine.
Siyo siri kuwa pana ukakasi wa kutosha unaoligubika shauri hili.
View attachment 1998796
Ukweli ni pumzi ya wapenda haki.
Maisha ya wenye haki yako mashakani kutokana na idadi ya waongo kuongezeka kila kukicha.
Hata hivyo yote kheri kwani ukweli utaendelea kuwa ukweli.
Ila Wewe hutokufa na utaishi Milele au?Shetani hajawahi kumshinda Mungu , nakuhakikishia kuna watu watakufa kabla kesi hii haijaisha .
Sijawahi kudhulumu , watakatifu hawatakufa bali wataishi milele - QoranIla Wewe hutokufa na utaishi Milele au?
Je silaha iliingiaje mikononi mwa washtakiwa,je huyu msajili ana uhakika gani kama silaha aliyokuwa anaisearch ndio hii inayozungumziwaObjectively speaking, shahidi wa leo lengo lake ni kuonesha kuwa silaha waliyokamatwa nayo watuhumiwa haikuwa halali.
Ninavyoona watuhumiwa watakutwa na kesi ya kujibu, kama watafungwa au la itategemea na ushahidi wa upande wa utetezi.
Je silaha iliingiaje mikononi mwa washtakiwa,je huyu msajili ana uhakika gani kama silaha aliyokuwa anaisearch ndio hii inayozungumziwa
Eti anafanya kazi masaa 24 kwa siku 7!
Hakuwa na barua ya mwanzo aliyoandikiwa
Details za silaha na nini alitakiwa kuchunguza. Je mahakama itajuaje report aliyotoa
Miezi 5 baade ndiyo ya silaha waliyokamatwa nayo?
Jaji akiwa fair ni kweki hakuna uthibitishoIla sahihi zaidi ni kuwa mahakama itajuaje silaha aliyohakiki ilikuwa ni hii hii inayoongelewa?
Haupo uthibitisho kuwa walikamatwa na silaha.
Lakini kwenye hii kesi Jaji ndio aliagiza ibadilishwe bila Jamhuri kuleta Ombi hilosubstitution au amendment ya charge ni kitu cha kawaida s.234 CPA,labda kwasababu wewe ni mgeni mahakamani. hati ya mashitaka huwa inabadilisha na sheria inaruhusu hivyo.
Shahidi wa sita au wa tanoLeo shahidi wa sita naye kapita na mazaga zaga yake kama yale yale, ya wale wa awali.
Shahidi huyu anadai alipata barua ikimtaka kukagua silaha kama ilikuwa imesajiliwa nchini 25/11/2020. Akaijibu barua hiyo 15/3/2021, miezi 5 baadaye.
Maajabu yapate vipi kukoma?
Tumeona hukumu zikitolewa katika hatua mbali mbali za shauri hili.
Tumeona Hati ya Mashtaka ikibadilishwa ndani ya shauri. Tumeona na mengi mengine.
Siyo siri kuwa pana ukakasi wa kutosha unaoligubika shauri hili.
View attachment 1998796
Ukweli ni pumzi ya wapenda haki.
Maisha ya wenye haki yako mashakani kutokana na idadi ya waongo kuongezeka kila kukicha.
Hata hivyo yote kheri kwani ukweli utaendelea kuwa ukweli.
Umeangalia na uzito wa silaha yenyewe kuhusu matumizi! Kwa kifupi ni silaha ya jikoni na risasi tatu! Za kutendea ugaidi! Yaani ukilipua risasi moja tu vituo viwili vya mafuta vinalipuka.Objectively speaking, shahidi wa leo lengo lake ni kuonesha kuwa silaha waliyokamatwa nayo watuhumiwa haikuwa halali.
Ninavyoona watuhumiwa watakutwa na kesi ya kujibu, kama watafungwa au la itategemea na ushahidi wa upande wa utetezi.
Naam, hiyo sasa itakuwa ni kazi ya mawakili wa upande wa utetezi kuonesha kwamba hakukua na njama zozote za kutenda ugaidiUmeangalia na uzito wa silaha yenyewe kuhusu matumizi! Kwa kifupi ni silaha ya jikoni na risasi tatu! Za kutendea ugaidi! Yaani ukilipua risasi moja tu vituo viwili vya mafuta vinalipuka.
FROM RAU MADUKANI WITH LOVE.
Haikuwa kazi yake- yeye alitakiwa kujibu swali moja tu- imesajiliwa au haijasajiliwa?Je silaha iliingiaje mikononi mwa washtakiwa,je huyu msajili ana uhakika gani kama silaha aliyokuwa anaisearch ndio hii inayozungumziwa
Binafsi naona kama mawakil wa jamhuri ndio wamekua wakiwabwaga mawakili wa utetezi.hata pingamiz lao la jana kuhusu shahid wa jana kuwa batil pia lilionekana halina mashiko na hii ukiachilia mbali kesi ndogo walioshindwa vibaya sana.Japo wanajitahid kuuliza maswal ila naona kama wanacheza na jukwaa badala ya kutafuta point..Mawakili wa Utetezi wamejipanga kusawasawa. Toka mwanzo wanawagalagaza wa upande wa mashitaka .hii Kesi kama hakimu ataifutilia mbali Basi anaweza kuukwaa umaarufu kwa kuwa hodari na shujaa wa nyakati hizi. Akionekana ndy Mbana matumizi ya kodi za wananchi na mtunza heshima za Wasomi!!
Uko sahihi ila i guess atasema haijui wala hajakamatwa nayo biashara imeishaHaikuwa kazi yake- yeye alitakiwa kujibu swali moja tu- imesajiliwa au haijasajiliwa?
Sasa ni kazi ya Kibatala atajapokuwa anauomgoza ADAMOO
1.aje na usajili wa hiyo silaha
2. akane kuwa hajakamatwa na silaha
3. hajawahi kuiona wala haijui
4. au ni ya marehemu
Tuwe wakweli, Jaji mwenyewe alikili kuwa utetezi walikuwa na hoja ila kwenye hukumu alitumia opinion yake siyo kufuata sheria.Binafsi naona kama mawakil wa jamhuri ndio wamekua wakiwabwaga mawakili wa utetezi.hata pingamiz lao la jana kuhusu shahid wa jana kuwa batil pia lilionekana halina mashiko na hii ukiachilia mbali kesi ndogo walioshindwa vibaya sana.Japo wanajitahid kuuliza maswal ila naona kama wanacheza na jukwaa badala ya kutafuta point..