WAKILI WA UTETEZI JOHN MALYA ANAMALIZIA SASA.
Mallya Mwambie Mheshimiwa Jaji Sasa Namna kama hiyo inaweza kujitokeza
: Shahidi Endapo Parameters Zimefutwa tunashirikiana na watu wa Ballistic
: Mallya Kwa hiyo tunakubaliana Parameters Zako siyo Kitu Pekee cha kutambua Silaha
: Shahidi Ndiyo
: Mallya Kwa hiyo Ulielezea wakati Unaulizwa
: Shahidi Hapana Sikueleza
: Mallya umewahi Kupata Mazingira ambapo namba imefojiwa kutoka namba 04 kwenda namba 07
: Shahidi Unajua kwa Mazingira yangu
: Mallya Jibu swali Shahidi
: Shahidi Ishu za Kutempa hatujazishuhudia
: Mallya Ulieleza Kwamba Uliletewa Barua tuh siyo Bastola
: Shahidi Ndiyi
: Mallya Kwa hiyo Ujajisumbua Kama namba ulizo letewa zilikuwa tempered
: Shahidi Siyo Jukumu langu
: Mallya Unafanya Kazi Siku Ngapi katika wiki
: Shahidi Maasa 24 kwa Siku Saba
Mallya. ni hayo tuh Mh. Jaji.
WAKILI WA UTETEZI FREDRICK KIHWELO AKIMUHOJI SHAHIDI WA SERIKALI.
SEHEMU YA 1.
Fredrick Ni kweli tarehe 25 ulipokea Barua Kutoka kwa ASP Msangi
: Shahidi Ndiyo nilipokea
: Fredrick Mpo wa ngapi Kwenye hicho Kitengo
: Shahidi Tupo 20
: Fredrick Barua ya ASP Msangi Ilikuwa inakutaka Ufanye nini
: Shahidi Kutoa Majibu ya Umiliki
: Fredrick Wewe Ulitoa Taarifa ya Umiliki au Uchunguzi
: Shahidi Nilifanya Uchunguzi nikatoa Taarifa ya Umiliki
: Fredrick Barua Yako ya a ajibu ni ya Uchunguzi au Umiliki
: Shahidi Umiliki
: Fredrick Ni sahihi kwamba Mnafanyia Uchunguzi Siku hiyo hiyo Mnapopokea Barua
: Shahidi Ndiyo
: Wewe Ulipokea Barua Siku gani 25 /11/2020
: Fredrick Ukatoa Majibu lini
: Shahidi 15 March 2021
: Fredrick Ni Muda gani umepita
: Shahidi Miezi 05
: Fredrick Je Katika Majukumu yako ulitaja Jukumu lako la Kutaja Umiliki
: Shahidi Hapana
: Fredrick Ni kweli Kuna Njia Mbili za Kumiliki Silaha..?
: Shahidi swali sijaelewa
: Fredrick Katika Maelezo Yako ulisema Mtu anaweza Kumiliki Silaha Kwa Njia ya Kuingiza ndani ya Nchi, Kununua Ndani ya Nchi na Kama amerithi, Sasa Nakuuliza Je kuna namna Mbili tuh za Kumiliki Silaha
: Shahidi Si kweli
WAKILI WA UTETEZI PETER KIBATALA AKIMUHOJI SHAHIDI WA SERIKALI
Kibatala Kielelezo Cha Mashitaka namba 10 umetaja Barua ya Tarehe 25 Nov Mwaka 2020 aje ni sahihi Kwamba Barua hii Ndiyo Chanzo Chote cha wewe Kuandika Barua
: Shahidi Sahihi
: Kibatala Ni sahihi Kwamba bila Barua hiyo wewe Usingeandika hiyo Barua
: Shahidi Ndiyo sahihi Kabisa
: Kibatala Siyo Kawaida yako kuandika tuh barua
: Shahidi itakuwa
Kinyume na KaI
: Kibatala Je hiyo Barua iliyokufanya Uandike Barua Umekuja nayo
: Shahidi Si kuja nayo
: Kibatala akwa Ufahamu wako wewe ni Muhimu au Siyo Muhimu
: Shahidi kwa Upande wangu sikuona Umuhimu wa Kuja nayo
: Kibatala na Kwa hiyo Barua ndimo ambapo tungepata Details za Hiyo Bunduki ambayo wewe Ulipswa Uifanyie Uchunguzi
: Shahidi Sahihi Kabisa
: Kibatala na Ndiyo humo tungeona Namba CZ 100,Callibre 9mm hatuwezi Kuona Popote zaidi ya hiyo Barua
: Shahidi Sahihi kabisa
: Kibatala Ujazunhumza kabisa Kuhusu CZ 100 9MM za Ulikuwa unachunguza kwenye hiyo Barua Uliyoandikiwa
: Shahidi Sahihi Kabisa
: Kibatala na Ni sahihi Kabisa Ujazunhumza Kuhusu CZ 100, Callibre 09mm
: Shahidi Sahihi Zikuzungumzia
: Kibatala Na Kuhusu Electronic Data Base Ulizungumza Kuhusu Mmiliki wa Risasi
: Shahidi Kwenye electronic Data Base inaonyesha kuwa Idadi ya Lisasi za a kutumia wakati wa Uhai wa Leseni
: Kibatala Je Katika huo Mfumo Usajili wa Bunduki na Risasi ni Kitu kimoja au tofauti
: Shahidi Ni Kitu Kimoja
: Kibatala Kwa hiyo Ni kisha Sajiliwa Bunduki naona na Risasi zizlizopo..?
Mfano TRA Umiliki wa Gari Unaonyesha na Kiasi cha Mafuta Kilichomo
: Shahidi Hapana
: Kibatala Kwa hiyo Mfano niondoe
: Shahidi Ndiyo
: Kibatala Je Risasi zinasajiliwa..?
: Shahidi Hazisajiliwi
: Kibatala Na Ujazungumza kuhusu Risasi
: Shahidi Sijazungumza
: Kibatala na wala Kwenye Barua p10 Ujazungumza kuhusu Risasi
: Shahidi Ni sahihi Kabisa
: Kibatala Kuna swali umeulizwa kuhusu Umiliki Possession, Je Mtu aki import Bunduki inakwenda Wapi
: Shahidi Lisenced Warehouse
: Kibatala Wewe Katika System Yako Muda huo Inasomeka nini
: Shahidi Muda huo inakuwa haijaingizwa Kwenye Mfumo
: Kibatala Ulisema Chochote a kuwa Inae zekana Bastola Ile I weza Kuwa a Imetoka Lisenced Warehouse
: Shahidi Sikusema Chochote
: Kibatala Ulisema hiyo Possibility kwenye hiyo Barua yako
: Shahidi Sikuseme
: Kibatala Ulitaka Jaji akusemehe Kwa Makosa ya Kumbukumbu namba, Je ni sahihi Kwamba ili tukusamehe ni lazima marekebisho yako tuangalie Kwenye Barua (mama) ambayo yenyewe ndiyo inamwaka sahihi
: Shahidi Sahihi Kabisa
: Kibatala Na Barua hiyo ujaitoa Mahakamani
: Shahidi Ni sahihi Kabisa
Kibatala Kwa hiyo sasa Msamaha wako Unaelea Henry Ani kwa sababu hatuna Control
: Shahidi Ni sahihi kabisa
: Kibatala hii Barua Yako inaonekana Ulikuwa unaipeleka ASP H. MSANGI, Je Kuna Mtu anaitwa Inspector Swila, Je Ulimtaja
: Shahidi Sikumtaja
: Kibatala Kwa hiyo akisema Inspector Swila Kuwa yeye Ndiyo aliyeandika hiyo Barua atakuwa anasema ni Uongo
: Shahidi Mimi nilipewa na ASP H. MSANGI
Kibatala ASP H. MSANGI Hukumuadress kwa Bahati Mbaya, Ni Kwa sababu Yeye ndiye alikuandikia Barua Mama, akija Inspector Swila kasema Ulimpelekea Majibu ya Uchunguzi atakuwa Muongo
: Shahidi Mimi Najua ASP H. Msangi
: Kibatala Wakati Unaandika Barua Ofisi yako ilikuwa Chini ya
Mkurugenzi ya Makosa ya Jinai
: Shahidi Ndiyo
: Kibatala Ni sahihi wewe na Msangi Mlikuwa Mpo wote Chini ya Mkurugenzi wa Makosa Ya Jinai
: Shahidi Ndiyo
: Kibatala Kama Serial Namba ikichezewa Ikafutwa Je hilo no Jukumu la nani
: Shahidi Jukumu la Ballistic
: Kibatala Umesema ulipokea Barua Ukagonga Barua na Utaratibu Wa Kupokea Barua lazima Pawe na Kitabu Kama Ili Sajiliwa Kuingia Ofiini kwenu
: Shahidi Ikihitajia nitaileta
: Kibatala Lakini Hapa ujaitoa
: Shahidi Hapa Sijaitoa
: Kibatala Ulitoa Maelezo Kwa Jaji kwanini Hiyo Register hukuleta Kama Sababu ni Nzito au Kubwa
: Shahidi Sababu Sikutoa
: Kibatala ulisema kwamba Result ni Negative
: Shahidi Ndiyo
: Kibatala Je ulifafanua Kwa Jaji Kwanini Hukuleta hiyo Negatove Results
: Shahidi Sikufafanua
: Kibatala Unafahamu Kwamba Ushahidi Wako Lazima Upitie Sehemu kadhaa, Mahakama lazima Ipime Ushahidi wako
: Shahidi Hiyo nafahamu
: Kibatala Mwambie Sasa Mheshimiwa Jaji Kama Ulifafanua kwanini ulishindwa a kuleta Extract ya Negative Result
: Shahidi Sikufafanua
: Kibatala Nilisikia Kwamba Kuna Typing Error Kwenye P10
: Shahidi Ndiyo
: Kibatala Sasa Mahakama Itajuaje Kama Hakuna tena Makosa ya Kibinadamu humu..?
: Shahidi Ni Jukumu la Mahakama Sasa Kupima
: Kibatala Kuna Sheria Yoyote au Kanuni yoyote ambayo inasema usilete Barua Mama, Report iwe Inajitegemea
: Shahidi Hakuna
: Kibatala Ni wewe tuh Uliamua
: Kibatala Swali langu la Mwisho
: Unakubaliana na Mimi Kuwa akuna Kosa Linajitegemea Kumiliki Silaha Bila Kibali
: Shahidi Ndiyo
: Shahidi Inaitwa Sheria ya Umiliki na Udhibiti wa silaha Kifungu cha 20
: Kibatala Mheshimiwa Jaji sina Mengine
KIBATALA ANAISHIA HAPA SASA ANARUDI WAKILI WA SERIKALI