mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Amejichanganya sana mkuuMbona alimaliza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amejichanganya sana mkuuMbona alimaliza
Jaji akiwa fair ni kweki hakuna uthibitisho
Taja sura na aya hiyo kwenye Quran inayosema hayo; kuwa watakatifu hawatakufa. Maana Quran imebainisha kuwa kila nafsi itaonja umauti (itakufa).sijawahi kudhulumu , watakatifu hawatakufa bali wataishi milele - Qoran
Utakuwa umetoka kunywa mataputapu wewe! Wale wapuuzi wenzako wanaulizwa maswali wanajikanyaga tu, halafu unasema mawakili wasomi kama akina Kibatala wako shallow mno!!Kibatala na timu yake wako shallow mno ndiyo maana wanahangaika na trivial na irrelevant matters za kufurahisha genge badala ya kupangua issues
kujua scripts kwa mtu wa kawaida huwa ni ngumu mno, unahitaji kumfundisha karibia wiki mbili ama tatu kukariri. na kumbuka hizi scripts lazima zi marge mwishoni ili Mahakama sasa ijiridhishe pasi na shaka kwamba Mh. Mbowe na wezake ni magaidi.Muuza mbege alikuwa shahidi muhimu wa kumaliza mchezo ila amezingua
ngoja tusubiri maoni ya mahakamaAmejichanganya sana mkuu
Power kaaya,na huyo tigoTIGO UMEMUWEKA WAPI?
Kibatala so farUtakuwa umetoka kunywa mataputapu wewe! Wale wapuuzi wenzako wanaulizwa maswali wanajikanyaga tu, halafu unasema mawakili wasomi kama akina Kibatala wako shallow mno!!
Hao wa Serikali wanaokubali kusimamia kesi za kubambikia watu ndiyo wako juu siyo!! Too low!
Dada Esther in da house!!!?[QUOTE
FROM RAU MADUKANI WITH LOVE[emoji1732].
Binafsi naona kama mawakil wa jamhuri ndio wamekua wakiwabwaga mawakili wa utetezi.hata pingamiz lao la jana kuhusu shahid wa jana kuwa batil pia lilionekana halina mashiko na hii ukiachilia mbali kesi ndogo walioshindwa vibaya sana.Japo wanajitahid kuuliza maswal ila naona kama wanacheza na jukwaa badala ya kutafuta point..
Sasa hapo ukitoa hayo maon yangu binafsi, mawakil wa utetez wamebwagwa au walishindaTofautisha maoni binafsi na matakwa ya kisheria.
Matakwa ya kisheria ni jambo la kiufundi.
Maoni binafsi? Hata mambo ya nyungu na matango pori, yalikuwa ni maoni binafsi. Kwani ungali ukiyasikia bado?
P O L ETofautisha maoni binafsi na matakwa ya kisheria.
Matakwa ya kisheria ni jambo la kiufundi.
Maoni binafsi? Hata mambo ya nyungu na matango pori, yalikuwa ni maoni binafsi. Kwani ungali ukiyasikia bado?
Kwenye kesi hii ukiangalia sana kwa makini utaona kuwa upande wa mashitaka unasikilizwa zaidi kuliko upande wa utetezi.Kibatala so far
1. kasindwa kwenye kesi ndogo
2. kaweka pingamizi kwa shahidi namba 5- kapigwa
Sasa hapo ukitoa hayo maon yangu binafsi, mawakil wa utetez wamebwagwa au walishinda
1.pingamidi juu ya ushahid wa Madenge/madembwe?
2. Hukum ya kesi ndogo juu ya namna ushahid ulivyopatikana!??
Maoni yangu binafsi yanapindua vip fact za maamuz ambayo sote tumeona what happened?
Leo ni mutoto ya aigipiiii🏃.Dada Esther in da house!!!?