Kesi ya Mirathi ya Dkt. Likwelile: Vicky Kamata ashindwa, mahakama yasema ndoa yao haikuwa halali

Wanawake mjifunze, wengi wanaishi kama nyumba ndogo ila hawajui. Wengine wamefunga ndoa ya kikristo, halafu kabla hawajatoa talaka, wameenda kufunga na mtu mwingine bomani. Anaishi na ndoa mbili. Jueni hiyo ndoa ya pili haitambuliki, ni batili. I know several people ambao wamefunga ndoa bomani baada ya kutofautiana na mke au mumewe wa awali, hivyo ndoa zote mbili zinaexist. Na wengine hawajafunga, wanaishi kihawara tu.
 
Si kuna kashifa ya ndoa hewa aliwahi kuigiza(kuingizwa) mkenge!
Jamaa likamchumbia, biarusi katandaza kadi mpaka Bungeni na michango chekwa ikachangwa.
Siku ya harusi jamaa likaingia mitini.
Ana gundu gani lakini huyu binti?
 
Si kuna kashifa ya ndoa hewa aliwahi kuigiza(kuingizwa) mkenge!
Jamaa likamchumbia, biarusi katandaza kadi mpaka Bungeni na michango chekwa ikachangwa.
Siku ya harusi jamaa likaingia mitini.
Ana gundu gani lakini huyu binti?
Kumbe jamaa ndo aliingia mtinii.... Naipata hio habari Tena ndo ingefungiwa mbez bch roman
 
Wapo majaji wa hivyo trust me. Kuna judgement nyingi ni kichefuchefu. Kuhusu hii Sina uhakika.
 


Ni aibu kudai hela kwa style aliyofanya, kama wewe unaweza fanya hivyo basi mtetee, mimi siwezi fanya hivyo, kwa maana hiyo nashabikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…