Kesi ya Mirathi ya Dkt. Likwelile: Vicky Kamata ashindwa, mahakama yasema ndoa yao haikuwa halali

Anataka kudhulumu mali za watu aache mara moja
 
Ndoa ya kikristo haina wake wawili na huyo mzee anasemekana ana mkewe ...Ina maana ypo ndani ya ndoa yey huyo Vicky ni danga hata kama wamezaa hapa ndio tatizo.
 

Nahisi umeandika uongo.

Ndoa ya vicky sio halali sababu marehemu alikuwa na ndoa ya mke mmoja ambayo haijavunjika

Vicky kamata na likwelile ndoa yao haikuwa ya kanisani.. ilifungwa ndoa ya kiserikali kwa kufata taratibu za kiserikali

Uzi wa ndoa yao uliletwa humu siku ambayo wanafunga ndoa yao. Haikuwa ndoa ya kanisa lolote

 
Kama Hamis Mobet naye wote inspiration wa wanawake bongo

Ova
Ndugu yangu mrangi heshima sana. Hamisa ni wale zamani tulikuwa tunaita wanawake wa Magot. Wale wanawake waliokuwa wanajiuza kwa wazungu Magot kule posta, Dar. Kilichabadilika ni kuwa siku hizi wanakubalika kwenye jamii na wanasifiwa kama watu maarufu. Wapo wengi kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…