Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 3,711
- 6,762
Wala sio sababu ya mke Kaka.... Hata watoto kwa watoto ni ttzo nmeliona kwa familia ya mzee wangu... Mpk wao kwa wao wanakataana wewe sio wa uku na nn... Ko najifunza kitu kakaMkeo atagombana na watoto wake? na anaweza kutangulia hata yeye
Pale anadai swimming pool yakeHawa wanawake Kaz ipo mshua.... Yaaan leo anasema baba yenu hanizid assets, hajui ata cash in hand au bank ni assets au kakariri mpk nyumba tuu.... Na kuita nyumba ety vijumba.... Anywe Savannah alale
Tumbo moja wanakataana? hiyo hatari sn mkuuWala sio sababu ya mke Kaka.... Hata watoto kwa watoto ni ttzo nmeliona kwa familia ya mzee wangu... Mpk wao kwa wao wanakataana wewe sio wa uku na nn... Ko najifunza kitu kaka
Hahahaha mpk namskitikia viki alivo mstaarabu [emoji16]Pale anadai swimming pool yake
mali gani wewe wanasiasa wana madeni ya kutisha angewezaje kusumbuka na mali za marehemu, wanawake wana roho ngumu ila pesa bwana hata uwe na nafasi gani kama huna akili pesa haituliiAna mali nyingi tu kajilimbikizia yule..ana ghorofa zuri tu..sema tamaa zimemponza
Atulie kwanzaHahahaha mpk namskitikia viki alivo mstaarabu [emoji16]
na wewe ulikua mshika miguu facken kabisa kakate rufaa mahakamani.Mahakama imekosea sana.
Vicki aliolewa kwa utaratibu wa kisheria na akapewa cheti cha ndoa na wala hapakuwa na pingamizi lolote. Mahakama zetu ziwe zinatqfakari kwa umakini kabla ya kuamua.
Viki alikuwa mke halali wa marehemu na anayo haki ya kumrithi mume wake.
Mirathi inauwa msipokua makini!!Mimi nikifikiriaga kesho ya watoto naona Bora nibakie tu njia kuu na gumegume langu ni kubadili tu step za kudance nae.
Wanadamu hawana huruma na mirathi
Eeeh broh mirathii na Mali hz zimefarakanisha ndugu wengi fatilia km una uwezo waandkie urith.... Km ni biashara kubwa zenye matawi angalia mwanao anaeweza kuwa mwendelezaji na waliobak watakuwa washirka lkn apo pia uandke documents kisheria maake binadamu kweny hela kukataana ni dk tuTumbo moja wanakataana? hiyo hatari sn mkuu
Sasa yeye Vicky mbona alionyesha cheti cha ndoa cha kanisani hapo mahakamani? Na pastor aliyeandikwa kwenye cheti hicho alimkatalia kuwa yeye siyo pastor!Nahisi umeandika uongo.
Ndoa ya vicky sio halali sababu marehemu alikuwa na ndoa ya mke mmoja ambayo haijavunjika
Vicky kamata na likwelile ndoa yao haikuwa ya kanisani.. ilifungwa ndoa ya kimila kwa kufata taratibu zote za kimila.
Uzi wa ndoa yao uliletwa humu siku ambayo wanafunga ndoa yao. Haikuwa ndoa ya kanisa lolote
2025 arud viti maalumu kwa Mara nyngnAtulie kwanza
Unazarau kinoma nakuhakikishia katika watanzania million 65 ni chini ya million 2 ambao angalau kwenye maisha yao wanaweza ipata million 100 wakiwa vijanaMstaafu akipewa milion 100 anaweuka akili wakati pesa hii ni pesa ya kununulia kiwanja tu
Sasa yeye Vicky mbona alionyesha cheti cha ndoa cha kanisani hapo mahakamani? Na pastor aliyeandikwa kwenye cheti hicho alimkatalia kuwa yeye siyo pastor!
Hatari snSasa yeye Vicky mbona alionyesha cheti cha ndoa cha kanisani hapo mahakamani? Na pastor aliyeandikwa kwenye cheti hicho alimkatalia kuwa yeye siyo pastor!
Kufanikiwa ni bahatiUnazarau kinoma nakuhakikishia katika watanzania million 65 ni chini ya million 2 ambao angalau kwenye maisha yao wanaweza ipata million 100 wakiwa vijana
Alafu hujui maisha kufanikiwa sio ujanja au akili kuna watu wanaakili na wajanja na bado wanabangaiza
Acha kutetea ujinga huyo Vick mwenyewe kashindwa hata kuleta vyeti vya ndoa maana Rita waligoma kuandikisha ndoa Kwa Sababu Mzee Alikuwa na ndoa na hata wizara/waziri mwenye dhamana na ishu za ndoa aligoma kutokuitambua hiyo ndoaNahisi umeandika uongo.
Ndoa ya vicky sio halali sababu marehemu alikuwa na ndoa ya mke mmoja ambayo haijavunjika
Vicky kamata na likwelile ndoa yao haikuwa ya kanisani.. ilifungwa ndoa ya kiserikali kwa kufata taratibu za kiserikali
Uzi wa ndoa yao uliletwa humu siku ambayo wanafunga ndoa yao. Haikuwa ndoa ya kanisa lolote
Vicky Kamata afunga Ndoa na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Dk. Likwelile
Vicky Kamata Afunga Ndoa na Dk. Likwelile Dk Servacius Likwelile. Dar es Salaam, Geita-Tanzania. Mbunge wa Viti Maalamu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Vicky Kamata amefunga ndoa na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Dk Servacius Likwelile. Dk Likwelile amefunga ndoa hiyo baada ya...www.jamiiforums.com
wapiga kura wanamtaka?2025 arud viti maalumu kwa Mara nyngn
[emoji23][emoji23]ni mpumbavu huyo alileta tamaa kakosa kila kituKosa kubwa la Vicky ni kuwanyanyasa watoto wa marehemu! Angekula nao vizuri wala yasingemkuta haya. Tatizo ni tamaa ya kutaka kumiliki mali peke yake huku watoto wakiteseka. Hakujifunza kwa K-Lyn?
Kwanini wanawake wanapenda kung'ang'ania mali za wanaume? Amekuwa Rwakatare hatusikii kelele wala nini angekuwa mwanaume vitaAcha kutetea ujinga huyo Vick mwenyewe kashindwa hata kuleta vyeti vya ndoa maana Rita waligoma kuandikisha ndoa Kwa Sababu Mzee Alikuwa na ndoa na hata wizara/waziri mwenye dhamana na ishu za ndoa aligoma kutokuitambua hiyo ndoa
Maelezo yote yapo hapo hapo