Kesi ya Mirathi ya Dkt. Likwelile: Vicky Kamata ashindwa, mahakama yasema ndoa yao haikuwa halali

Kesi ya Mirathi ya Dkt. Likwelile: Vicky Kamata ashindwa, mahakama yasema ndoa yao haikuwa halali

Km ipi hio kujamaana au kujamiiana au kufanya mapenzi au kuongiliana kimwili au kungonoka au kubanduana ndio stara? Tusiende mbali kwani wewe hujawahi kugongwa?
kama hujui lugha ya staha ni nini katika umri wako huo basi mimi siwezi kuwa mwalimu wako wa kukufundisha. Pole
 
Ndoa ya serikali Kwa Hali ya kawaida ni ndoa ya mke mmoja mune mmoja. Lakini inaruhusu kuongeza mke, Kama wakati wa kufunga mume uliweka wazi kuwa itakuwa potential monogomous. Yaani ni ndoa ya mke mmoja ambayo huko mbeleni inategemewa kuongeza mke!
Ulitaka kusema potential polygamous?
 
Back
Top Bottom