Kesi ya Tundu Lissu kuendelea kesho Mahakama ya Kisutu, maelfu watarajiwa kuhudhuria

Acheni kunajisi mahakama zetu kwa kuendelea ushoga! Hizo ni kesi zonamhusu TL, wengine mjazane mna kesi hapo! Mbona mnakosa adabu na maadili! Au hamjiamini!? Yaani Siro sitegemei atuangushe watz tunaotaka maendeleo ya kuvuka 4,000/= kipato Cha chini!
Unafikiri anataka kwenda mahakama ya uhalifu kama wewe...
 
Umesikia wapi anatafuta huruma ,sisi wapenda haki lazima tuende na haikatazwi kwenye sheria zetu kuwa kuhudhuria kesi ya mtu mahakamani ni kosa ,ww baki kwako hulazimishwi kuhudhuria pimbi ww
Tuliza mihemko ndg! TL asitafute huruma wa wananchi! Na Wala asiwaingize raia kwenye Mambo binafsi! Apambane na Hali yake .mnyewe!
 

Acha wajidanganye kuwa ya wajumbe na bashite siyo ya wananchi dhidi yao.

Ama kweli sikio la kufa likisikia dawa tegemea nyani kuamia ngedere shambani.
 
Acheni kunajisi mahakama zetu kwa kuendelea ushoga! Hizo ni kesi zonamhusu TL, wengine mjazane mna kesi hapo! Mbona mnakosa adabu na maadili! Au hamjiamini!? Yaani Siro sitegemei atuangushe watz tunaotaka maendeleo ya kuvuka 4,000/= kipato Cha chini!

Alipo tupo!
 
mkuu haya bwana tupo na siku azigandi mkuu , kama ndo ushauri huu mnampa mwenyekiti ccm na mgombea mtarajiwa mwafaa
, mtapigwa kipigo kitakatifu nyie relax muone , chadema hawezi kosa pesa ya kampeni hata kwa michango ya wanachama wao ladda nikukumbushe takwimu ya mwisho walikua na wana chama m 6 vipi kila mwana chama akichanga elfu tatu apo una zungumza bil ngapi ? hujaweka wapenda democracy na wasio na vyama , na kumbuka iyo idadi walitangaza mda kidogo wenda wameisha double.
pili chadema walianza mfumo wa mtu kwa mtu nyumba kwa nyuma so kama ni kijijin walisha maliza kazi nalo hujui? iyo sayansi ya siasa angalia usije kua unaitumia vibaya na kufanya chama dola kulala usingizi .
Nimalize tu mkuu chadema ipo sana na inatafuna chini kwa chini sasa nitakua nakukumbusha kadri october inavyo songea
 

Asante nitafurahia sana kama utanikumbusha kadri siku zinavyo enda. Siasa si vita na najua ukweli tutaufahamu tuu.
 
Asante nitafurahia sana kama utanikumbusha kadri siku zinavyo enda. Siasa si vita na najua ukweli tutaufahamu tuu.
ok mkuu ebu nishauri mwana sayansi ya siasa uliebobea mwaka huu kura nimpe nani mkuu,maana nimeona niliyetaka kumpa kura akilaum wananchi kumpa kiongozi kura na ndo maana stendi iyo sehem haijajengwa , vipi alikua sahii mkuu na nimpe kura mwaka huu ushauri mtahalam wa sayansi ya siasa. NOTE tangu 2010 nimpigaji mzuri wa kura but sijawai kujiunga na chama chochote mkuu ila kwenye kupiga kura huwa naangalia sera na mgomea binafsi so waweza kuta diwani nikampa upinzani ubunge nikampa chama tawala na uraisi nikampa upinzani hivyo hivyo ndo upigaji wa kura zangu mfano elf 2015 nilimpa magu but 2010 nilimpa slaa upande wa rais so mwaka huu wasemje mkuu
 

Kwanza napenda nikufahamishe, siasa ni uchumi. Sababu wanasiasa ndio tuliowapa mamlaka ya kugawa resources.
1) Jee unaetaka kumpa kura anafahamu shida na mahitaji yako, na isiwe choo tuu, sababu maisha yako haya anzii na kuishia kwenye choo.
2) Mbali ya kuzifahamu , jee anaweza kuzitatua ?
3) Jee ana weza pia kutatua shida zitakazo jitokeza kutokana na kutatua shida zako. Ukitatua shida huza shida nyingine au zaidi, na huo ndio mfumo mzima wa maisha.

MIFANO;

1) Ukijenga shule za msingi, unatakiwa uwe tayari kuongeza shule za secondari

2) Utatakiwa pia kuongeza vyuo.

3) Unatatakiwa uongeze nafasi za kazi au opportunities za kupata kipato baada ya kupata elimu.

4) Watu watafanya kazi kwa muda mrefu lakini watazeeka, kuanzia hapo unatakiwa utafute njia za kujikimu baada ya kufanya kazi na kuzeeka.

5) Uwatafutie njia ya kupata tiba hata kama hawato kuwa na uwezo wa kulipa huduma za afya.

6) Na kama sehemu za makaburi ya kuzikia baada ya watu wakizeeka na kufa ni za taabu, inabidi ziongezwe kwa kuwa anaezaliwa hufa.

7) You vote for one who supports and who eventualy covers a full circle of your life.

8) Usimpigie kura mtu ambae hana institutions za kumaliza shida zako. Vote for some one who can control means of live and wealth creation opportunities. ama kinyume chake unampigia kura mtuu anaekuahidi mambo ya kufikirika.

Sasa kama kufikirika huondoa matatizo yako mpigie. Yeyote unaemchagua kama hana uwezo wa kukuhudumia basi huyo ni muongo.

UKWELI WA KISIASA: USIYE MPIGIA KURA ANAPOKUHUDUMIA ANAFANYA HIVYO ILI KURA YA KIPINDI KINACHOFUATA ANATAKA UMPIGIE.

LAKINI KI UHALISIA HANA HAJA YA KUTOA HUDUMA YAKE KWAKO.
MWANASIASA ANAADHIBIWA KWA KURA TUU, KAMA KURA YAKO SIYO YA LAZIMA KWA YEYE KUKUTAWALA NA YEYE PIA HANA WAJIBU WA LAZIMA WA KUKUHUDUMIA. NA WEWE HUNA NJIA YA KUMUWAJIBISHA KWA KUWA HATA BILA YA KURA YAKO BADO ATAKUTAWALA.

This is a brutal truth of politics of choices ( elections ), zingine zote ni alinacha za kisiasa.
 
Alipo tupo!
Hao jamaa so ndio walipeleka logo Cha Akwilina!? Wanawatanguliza Kama kondoo machinjioni...wakiona hatari wanawaacha na upumbafu wenu! Aga kabisa ili mrembo wako watu wamrithi mfyuuu!
 
Umesikia wapi anatafuta huruma ,sisi wapenda haki lazima tuende na haikatazwi kwenye sheria zetu kuwa kuhudhuria kesi ya mtu mahakamani ni kosa ,ww baki kwako hulazimishwi kuhudhuria pimbi ww
Ageni kwenu kabisa maana hata faida Hamna hapa duniani... maana hata kazi za kuwakwamua Hamna! Ngiri, nguchiro, fisi maji, mbweha ninyi mfffyyyuuuuuuu! Pimbi we na kizazi chako chote!
 
Magufuli ndio nchi ya Tanzania?
Ndio mpango wenu kubadali jina eeh Nchi iitwe Magufuli?

Acheni ujinga
Akili yako finyu itawezaje elewa haya! Siyo kosa lako ni kosa la vina7 vyako!
 
Ulishapaniki tayari. Hivi jina Lissu unaliruhusuje liishi kichwani bila kulipa kodi yoyote halafu likutese hivi???
He! Limenitesaje Tena! Mie nawapa pole familia yake tu!
 
Hao jamaa so ndio walipeleka logo Cha Akwilina!? Wanawatanguliza Kama kondoo machinjioni...wakiona hatari wanawaacha na upumbafu wenu! Aga kabisa ili mrembo wako watu wamrithi mfyuuu!

Niage mara ngapi mburura wewe?

Mbona mnatuharibia nchi wapuuzi nyie.

Kifupi tambueni pana watanzania walikuwapo kuanzia JKNIA kumpokea mtanzania mwenzetu aliyefufuka, Uhuru kumuaga mtanzania mwenzetu aliyekuwa ametutoka na hata wakawepo Lupaso kwa ajili ya mazishi.

Yote kwa dhati kabisa achilia mbali wale walioshindwa kuingia uwanjani kwa sababu zozote zile.

Una nini wewe cha kuwaambia kuhusu uzalendo watanzania hawa?

Watu kama nyie ni mzigo kabisa wala hakuna shaka yoyote kuwa Tanzania hii ingekuwa bora mno watu nyie kama msingekuwa mmezaliwa kama binadamu.

Roho mbaya kuliko ya shetani?!

Hapo ulipo nawe wajihesabu kuwa ni binadamu?

Pathetic!
 
Unahitaji akili ya kawaida tu kuelekea hayo nilioandika! Kama hujaelewa Basi wewe ni mMbulula tu! Pole yako!
Tunapowaambia mpunguze mihemko na kuweweseka nadhani huwa hamuelewi!!! "kuhitaji kuelekea... sokoni au akili?"
Maspidi yanaua... kujipendekeza kukizidi ubongo unapoteza mwelekeo... tumbo linachukua nafasi.
Mwisho wa kunukuu ruksa kuhemkwa na kutoa mapovu 🙂
 

Mijamaa mingine bora ingekuwa ni mi Mr. Hyena, pimbi na hata ngedere Buligi. Angalau nchi ingepata fedha za kigeni.

Hapo lilipo eti ndiyo liko shift ya usiku hivyo. Malipo yake ni kodi zetu.

No wonder we are poor!
 
Mijamaa mingine bora ingekuwa ni mi Mr. Hyena, pimbi na hata ngedere Buligi. Angalau nchi ingepata fedha za kigeni.

Hapo lilipo eti ndiyo liko shift ya usiku hivyo. Malipo yake ni kodi zetu.

No wonder we are poor!
Mkuu hao ndio WANAODAI "SISI" SI "WENZAO!!" NA NDIO WANAODAI WAMELETA "MAENDELEO" NI HAO WANASHANGAA UMADKINI WA NCHI... HUKU WAKILALAMIKA KANA KWAMBA TUMEPATA UHURU MWAKA JANA!! Wacha tarumbeta zipigwe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…