TUNDU LISSU ANAMHOJI SHAIDI WAKE BRENDA RUPIA MAHAKAMANI
SEHEMU YA 3.
Jaji Ndunguru:Sasa mtakumbuka kwa mujibu wa shauri hili leo ilikuwa ni siku ya mwisho kwa session hii
Umeongozwa muda wa siku 14
Lengo ni ndani ya muda uliobaki wa siku 14 shauri liishe.
Tupunguze mambo ambayo hayapo katika shauri.
Tuwe focus na shauri ambalo lipo Mahakamani
Tushirikiane kuhakikisha shauri linaisha ndani ya siku 14
Lissu: Mimi l can cornfrim Kwamba nje ya hawa ukiacha huyu anabakia shahidi mmoja
Nina weza Kumalizana naye wiki hii na Kuna pending ruling ya kwenu kuhusu wale Mashahidi wengine.
Jaji Ndunguru Shahidi haujamaliza kutoa ushahidi wako.
Tunahairisha Shauri hadi kesho saa 3 Asubuhi
MAJAJI WANATOKA
Watu Wanamshangilia Brenda Kizimbani (Brenda Brenda Brenda Brenda)
TUKUTANE KESHO ASUBUHI.