Kesi ya Uhaini: Amani Golugwa, amemaliza kutoa ushahidi kesi ya Lissu

TUNDU LISSU ANAMHOJI SHAIDI WAKE BRENDA RUPIA MAHAKAMANI

SEHEMU YA 1.

MAHAKAMA IMEREJEA

1. Majaji wa Mahakama Kuu wameingia.
2. Lissu ameshakaa tayari.
3. Mawakili wa Serikali wapo tayari.
4. Watu wote wameshaingia Mahakamani.

Jaji Ndunguru: Tuendelee upande wa mashitaka.

Wakili wa Serikali Mkuu, Ajuaye Zegeli: Waheshimiwa Majaji, kwa upande wetu anapungua Nassoro Katuga.

Tupo tayari kuendelea na shahidi wa nne kwa upande wa utetezi.

Jaji Ndunguru: Mshtakiwa.

Lissu: Waheshimiwa Majaji, na mimi nipo tayari kuendelea.

Jaji Ndunguru: Shahidi?

Lissu: Shahidi wangu wa nne anaitwa Brenda Jonas Rupia.

Jaji Ndunguru: Shahidi, unaitwa nani?

Brenda: Naitwa Brenda Jonas Rupia.

Jaji Ndunguru: Jina la mwisho ni L au R?

Brenda: R.

Lissu: Brenda as John Rupia au Jonas Rupia?

Jaji Ndunguru: Umri wako?

Brenda: Miaka 34. Tarehe 10 nitakuwa na miaka 35.

Jaji Ndunguru: Unaishi wapi?

Brenda: Naishi Basihaya, Kata ya Bunju.

Jaji Ndunguru: Unafanya kazi gani?

Brenda: Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi CHADEMA.

Jaji Ndunguru: Dini yako?

Brenda: Mkristo.

Jaji Ndunguru: Utaapa?

Brenda: Mimi Brenda Jonas Rupia ninaapa mbele ya Mahakama hii tukufu kwamba ushahidi nitakaoutoa utakuwa wa kweli, ukweli mtupu; Mungu nisaidie.

Jaji Ndunguru: Unamuongoza au ataendelea mwenyewe?

Lissu: Nikimuachilia mwenyewe ataogelea, halafu meza kuu hiyo inamngojea.

Jaji Ndunguru: Kwani kuna shida gani? (Jaji anacheka.) Utamuongoza shahidi wako.

Lissu: Nitakuuliza maswali, lakini wakati wa kujibu utawaangalia Majaji.

Na vilevile utaongea taratibu, Majaji wanaandika.

Nisikilize mimi na ujibu maswali kwa ku-relax.

Brenda: Sawa.

Lissu: Unasema unaishi Basihaya, Kata ya Bunju, ndiyo wapi?

Brenda: Basihaya, Kata ya Bunju, Mkoa wa Kinondoni, Dar es Salaam.

Lissu: Mkoa?

Brenda: Kwa kichama Kinondoni, Mkoa wa Dar es Salaam.

Lissu: Kiserikali hatupo katika chama.

Brenda: Mkoa wa Dar es Salaam.

Lissu: Umesema wewe ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi, umeifanya tangu lini?

Brenda: 12 March 2025 nilipoteuliwa na Kamati Kuu ya chama.

Lissu: Waeleze Waheshimiwa Majaji kabla ya 12 March 2025, katika chama, ulikuwa nani?

Brenda: Kabla ya tarehe hiyo nilikuwa Katibu wa BAWACHA Mkoa wa Kichama Kinondoni.

Lissu: Unafikiri Majaji wanaweza kujua BAWACHA ni kitu gani?

Brenda: Waheshimiwa Majaji, BAWACHA ni kifupi cha Baraza la Wanawake CHADEMA.

Lissu: Waeleze Waheshimiwa Majaji hiyo nafasi ya Katibu wa BAWACHA Mkoa wa Kichama Kinondoni.

Brenda: Waheshimiwa Majaji, nilichaguliwa mwaka mmoja kabla ya kuteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi, 2024.

Lissu: Waeleze Waheshimiwa Majaji nafasi nyingine yoyote uliyowahi kuwa nayo.

Brenda: Waheshimiwa Majaji, nimewahi kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kata ya Mwananyamala, Jimbo la Kinondoni.

Na baada ya hapo nimechaguliwa kuwa Katibu wa BAWACHA Jimbo la Kinondoni.

Lissu: Tarehe?

Brenda: Sikumbuki vizuri, lakini ni kuanzia 2015.

Lissu: Sasa shahidi, nje ya chama, hizi nafasi za kichama ulizo nazo na ambazo umekuwa nazo, waeleze Waheshimiwa Majaji professionally wewe ni nani kitaaluma?

Brenda: Kitaaluma nimesomea Bachelor's of Science in Accounting.

Lissu: Chuo gani?

Brenda: University of Gloucestershire.

Lissu: Inatamkwa Shaa au Shaya?

Brenda: Putito Potaro, just like that.

Lissu: Umesomea mwaka gani?

Brenda: 2010 hadi 2013.

Lissu: Ukipata tuzo gani?

Brenda: Nimepata Certificate of Degree in Science and Accounting.

Lissu: Waeleze Waheshimiwa Majaji utaalamu wako mwingine kama unao.

Brenda: Hapana, hakuna.

Lissu: Waeleze Waheshimiwa Majaji uzoefu wako wa kazi za kitaaluma nje ya kazi za kisiasa.

Brenda: Mwaka mmoja baada ya kuhitimu chuo nilifanya kazi ya accounting kwa mwaka mmoja.

Baada ya hapo nilianza kufanya biashara.

Lissu: Kazi gani na wapi?

Brenda: Nilipomaliza kazi, nilifanya kazi kwa mwaka mmoja katika kampuni ya TAZ'S CARS kama Accountant wao.

Na baada ya mwaka mmoja nikaacha kazi, nikaanza kufanya kazi Kariakoo.

Lissu: Nataka uwaeleze Majaji kwa fullest details wajue.

Brenda: Mara baada ya kumaliza chuo 2013, nikakaa miezi michache, nikaanza kufanya kazi hadi 2014.

Nikaanza kufanya kazi Kariakoo ya kuuza human hair na baadaye electronics.

WEKA EMOJI KAMA UNASOMA

SHARE ZAIDI UJUMBE UFIKE MBALI
IMG_4580.jpeg

Brenda as Rupia. Huyu ndo Cute with Brain. Sio yule spika mstaafu.
 
TUNDU LISSU ANAMHOJI SHAIDI WAKE BRENDA RUPIA MAHAKAMANI

SEHEMU YA 2.

Lissu: Ukisema uliuza urembo, unamaanisha nini?

Brenda: Nilikuwa nauza vifaa vya mrembo kama...

Lissu: Naomba uzungumzie kuhusiana na hii kesi.

Waeleze Waheshimiwa Majaji ufahamu wako wa Mkutano wa tarehe 03 April mwaka jana.

Brenda: Waheshimiwa Majaji, ufahamu wangu wa Mkutano wa tarehe 03 April mwaka jana ni kwamba chama kilialika watia nia Makao Makuu ya chama Mikocheni, kuja kuzungumzia kuhusiana na msimamo wa “No Reform, No Election.”

Lissu: Waeleze Waheshimiwa Majaji hao watia nia ni watu gani?

Brenda: Watia nia ni wale waliokuwa na dhamira ya kugombea chaguzi za Serikali za mwaka 2025.

Lissu: Waeleze Waheshimiwa Majaji hiyo ambayo umesema kuja kuzungumzia msimamo wa chama wa “No Reform, No Election.”

Brenda: Ni msimamo wa chama ambao ulilenga “Hakuna mabadiliko, hakuna uchaguzi.”

Lissu: Mabadiliko gani?

Brenda: Mabadiliko ya sheria za uchaguzi.

Lissu: Waeleze Waheshimiwa Majaji nani aliyeamuru au aliyeamua huo mkutano ufanyike?

Brenda: Waheshimiwa Majaji, aliyeamua huo mkutano ufanyike ni Katibu Mkuu na Sekretarieti.

Lissu: Unafikiri kila mtu aliyepo hapa anafahamu Katibu Mkuu wa chama chako?

Brenda: Waheshimiwa Majaji, Katibu Mkuu wa chama anaitwa John Mnyika.

Lissu: Unaposema Sekretarieti unamaanisha nini?

Brenda: Ni chombo cha utekelezaji cha chama ambacho kinafanya kazi kila siku.

Lissu: Waeleze Waheshimiwa Majaji, hii Sekretarieti, hiki chombo kinawajumuisha akina nani?

Brenda: Waheshimiwa Majaji, wajumbe wa Sekretarieti ni:

Katibu Mkuu wa chama, John Mnyika.

Manaibu wake wa Zanzibar na Bara.

Wakurugenzi wa chama.

Lissu: Hao manaibu wawili hawana majina?

Brenda: Naibu Bara anaitwa Aman Golugwa na Naibu Zanzibar Ali Ibrahim Juma.

Wakurugenzi wa chama, wataalamu wa chama.

Lissu: Tuanze na Wakurugenzi.

Brenda: Wakurugenzi wa chama, ikijumlisha na:

Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi, Brenda Rupia.

Mkurugenzi wa Mambo ya Nje, John Kitoka.

Mkurugenzi wa Fedha, Tito Kitarika.

Mkurugenzi wa Organization na Uchaguzi, John Pambalu.

Mtaalamu wa Rasilimali, Leonard Magere.

Makatibu wa Mabaraza.

Kwa Baraza la Wazee ni Mheshimiwa Hellen Kayanza.

Baraza la Wanawake ni Pamela Maasay.

Baraza la Vijana ni Dua Lyamzito.

Lissu: Lyamzito au Mjamzito?

Brenda: Lyamzito.

Lissu: Watajie spelling.

Brenda: L.Y.A.M.Z.I.T.O.

Lissu: Wamekamilika?

Brenda: Mkurugenzi wa Sheria.

Lissu: Anaitwa...?

Brenda: Gaston Garubindi.

Lissu: Nakuutahadharisha, sauti yako inaanza kupungua.

Lissu: Huo Mkutano wa Sekretarieti ulifanyika tarehe ngapi?

Brenda: Siwezi kukumbuka tarehe ya kikao, kwa sababu vikao vinakaa kila siku.

Lissu: Waeleze Waheshimiwa Majaji, pamoja na kwamba hukumbuki tarehe, kikao hicho kiliamua nini kifanyike?

Brenda: Kikao hicho kiliamua tutoe taarifa kwa watia nia na umma ufahamu kwamba CHADEMA tutakuwa na Mkutano na watia nia.

Lissu: Baada ya kuamua watia nia wafahamishwe na umma ufahamishwe, kitu gani kilitokea?

Brenda: Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi aliandika barua tarehe 27 March kuwa watia nia wafike tarehe 03 April 2025 Makao Makuu ya Chama, kuzungumzia “No Reform, No Election.”

Lissu: Baada ya hapo kipi kilifuata?

Brenda: Niliandika hiyo barua, nikaiweka kwenye social media zetu za chama (pages zetu za chama).

Na Kurugenzi yangu ya Uenezi iliwataarifu Vyombo vya Habari kuhusiana na Mkutano huo na nikavialika pia Vyombo vya Habari.

Lissu: Rudia hicho ulichofanya.

Brenda: Niliandika barua, nikaiweka katika pages zetu za chama.

Na baada ya hapo niliandika barua kwa Vyombo vya Habari kuwataarifu uwepo wa huo Mkutano.

Lissu: Sasa Shahidi, mimi nimeshitakiwa kwa uhaini tangu April 10 ya 2025 kwa tuhuma inayosema hivi:

Kwamba mimi ndiyo niliyeandaa huo Mkutano wa tarehe 03 April.

Na kwamba mimi ndiyo niliyealika waandishi wa habari.

Waeleze Waheshimiwa Majaji, wewe unasemaje?

Brenda: Waheshimiwa Majaji, siyo kweli.

Siyo yeye aliyeandaa huo Mkutano.

Na siyo yeye aliyealika waandishi wa habari.

Lissu: Waeleze Waheshimiwa Majaji, kwenye mwaliko wa waandishi wa habari, iwapo palikuwa na maelekezo waje na nini.

Brenda: Waheshimiwa Majaji, tunapowaalika waandishi wa habari hatuwapi maelekezo waandishi wa habari.

Lissu: Haya, jibu swali langu.

Brenda: Tulipowaalika waandishi wa habari tuliwaandika waje wafanye coverage.

Lissu: Umeelewa swali langu?

Brenda: Liulize kivingine.

Lissu: Palikuwa na maelekezo kutoka kwako waje na nini katika huo Mkutano?

Brenda: Waheshimiwa Majaji, hapakuwa na maelekezo yoyote kutoka kwangu kuhusu kuja na chochote katika Mkutano.

Lissu: Waeleze Waheshimiwa Majaji siku ya Mkutano watu gani walihudhuria huo Mkutano?

Brenda: Waheshimiwa Majaji, siku ya Mkutano walihudhuria:

Watia nia.

Wajumbe wa Sekretarieti.

Pamoja na viongozi wakuu wa chama.

Lissu: Una-assume Majaji wanawafahamu viongozi wakuu wa chama?

Brenda: Viongozi wakuu wa chama ni:

Manaibu Katibu Wakuu wawili:

Aman Golugwa, Naibu Katibu Mkuu Bara.

Ali Ibrahim Juma, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar.

Makamu Mwenyekiti Zanzibar, Said Mzee Saidi.

Makamu Mwenyekiti Bara, John Wegesa Heche.

Mwenyekiti Taifa, Tundu Antipas Lissu.

Lissu: Ndiyo hao?

Brenda: John Mnyika.

Lissu: Watu gani wengine walikuwepo?

Brenda:

Watia nia.

Sekretarieti.

Waandishi wa habari.

Lissu: Kwa unavyokumbuka, palikuwa na watu wangapi katika Mkutano huo?

Brenda: Roughly watu 250.

WEKA EMOJI KAMA UNASOMA

SHARE ZAIDI UJUMBE UFIKE MBALI.
 
Brenda yuko fiti sana
 
Amenyooka vizuri ingawa anaonyesha uoga mwanzo kiukweli kile kizimba huwa hakijawai kuzoeleka hasa kama siyo sehemu yako ya kazi zako kila siku (wakili au mwanasheria) hope mbeleni atapata nguvu na ujasiri.
 
TUNDU LISSU ANAMHOJI SHAIDI WAKE BRENDA RUPIA MAHAKAMANI

SEHEMU YA 3.

Lissu: Waeleze Waheshimiwa Majaji specifically kuhusu waandishi wa habari. Waliokuja vyombo gani?

Brenda: Waheshimiwa Majaji, waliokuja ni:

JAMBO TV
CHANZO TV
MWANZO TV
ITV
MWANANCHI

Na vingine vya Online TV, hivyo ndiyo ninavyovikumbuka.

Lissu: Waeleze Waheshimiwa Majaji, walikujaje?

Brenda: Waheshimiwa Majaji, wengine walikuja na camera zao na mics kwa baadhi, na wengine ni pen and paper.

Lissu: Sasa Shahidi, ushahidi umeletwa hapa Mahakamani unaosema kwamba katika hao waandishi wa habari waliokuja, wapo waliorusha Mkutano huo kwa matangazo ya moja kwa moja.

Brenda: Ni ngumu kusema walirusha moja kwa moja kuwa walikuwa na live stream. Wanaweza kurekodi wakarusha baadaye au wasirushe kabisa.

Lissu: Kuna ushahidi umeletwa Mahakamani hapa kwamba JAMBO TV walirusha huo Mkutano moja kwa moja.

Brenda: Ni ngumu kusema walirusha moja kwa moja au walirekodi.

Lissu: Waeleze Waheshimiwa Majaji your presence na ulichokiona.

Brenda: Waheshimiwa Majaji, mimi nilikuwepo katika huo Mkutano. Kwa mwaliko wangu walikuwepo waandishi wa habari wa Jambo TV.

Lakini ni ngumu kusema walirusha moja kwa moja kwa sababu hatuwapi njia ya kurusha.

Lissu: Kwa kuwa mimi ndiyo Mshtakiwa katika kesi hii, waeleze Waheshimiwa Majaji uliona nini katika Mkutano huo?

Brenda: Mwenyekiti alikuwa mzungumzaji katika Mkutano huo.

Lissu: Nilikuwa mzungumzaji wa aina gani?

Brenda: Mzungumzaji mwalikwa.

Lissu: Mzungumzaji sawa na wengine?

Brenda: Ulikuwa mzungumzaji kama Mwenyekiti.

Lissu: Nani alikuwa mzungumzaji mkuu kwenye Mkutano?

Brenda: Mzungumzaji mkuu katika Mkutano alikuwa Mwenyekiti Taifa, Mheshimiwa Tundu Antipas Lissu.

Lissu: Waeleze Waheshimiwa Majaji kitu kingine ulichoona chochote ambacho Mwenyekiti alikuwa akikifanya katika Mkutano huo.

Brenda: Sikuona kitu kingine chochote ukifanya katika Mkutano huo.

Lissu: Shahidi, mimi nimeshtakiwa kwa sababu nilikuwa narusha matangazo hayo.

Brenda: Waheshimiwa Majaji, itakuwa ni uongo kwa sababu:

Mwenyekiti siyo mfanyakazi wa Jambo TV.

Mwenyekiti hakuwa anarusha Mkutano.

Mwenyekiti hakuwa anajua Jambo TV wanarusha Mkutano.

Lissu: Waeleze...

Ajuaye Zegeli: Waheshimiwa Majaji, naona kama muda tuliokuwa tumejipangia umeisha.

Naomba mwongozo wa Mahakama kama shauri linaweza kuahirishwa kwa muda huu.

Jaji: Mshtakiwa.

Lissu: Naomba nimalizie hili swali.

Jaji Ndunguru: Au hata kama anaweza kumaliza ushahidi wake kwa dakika 30?

Lissu: Siwezi kusema atamaliza, pamoja na ushahidi wake ni mfupi sana.

Jaji Ndunguru: Basi malizia hicho.

Lissu: Nilikuwa nataka kumuuliza Shahidi kama Mwenyekiti alikuwa anawafahamu waandishi uliowaalika.

Brenda: Mwenyekiti hakuwa anawafahamu waandishi wa habari walioalikwa. Ni kazi yangu mimi.

Lissu: Waeleze Waheshimiwa Majaji, kwa ufahamu wako nani anayemiliki content za chombo cha habari kama picha, video na vingine?

Brenda: Waheshimiwa Majaji, anayemiliki content ya habari ni mmiliki wa chombo cha habari.

Lissu: Waeleze Waheshimiwa Majaji specifically kuhusiana na content iliyokuwa generated na Jambo TV.

Ni nani aliyekuwa mmiliki wa content ya Jambo TV?

Brenda: Waheshimiwa Majaji, mmiliki wa content ya Mkutano siku hiyo alikuwa ni mmiliki wa Jambo TV mwenyewe.

Lissu: Waheshimiwa Majaji, kwa vile time imeshapita saa 11, naomba niishie hapa.

Napendekeza kwa leo tuishie hapa.

Sehemu nyingine tutaendelea kesho.

Jaji Ndunguru:

WEKA EMOJI KAMA UNASOMA

SHARE ZAIDI UJUMBE UFIKE.
 
Nimeshangaa sana kugundua kuwa Golugwa sio mhasibu ila anafanya kazi za kihasibu. Aisee hiki chama janjajanja sana. Ukimtoa Lissu wengine wote elimu zao ni za mashaka.
 
TUNDU LISSU ANAMHOJI SHAIDI WAKE BRENDA RUPIA MAHAKAMANI

SEHEMU YA 3.

Jaji Ndunguru:Sasa mtakumbuka kwa mujibu wa shauri hili leo ilikuwa ni siku ya mwisho kwa session hii

Umeongozwa muda wa siku 14

Lengo ni ndani ya muda uliobaki wa siku 14 shauri liishe.

Tupunguze mambo ambayo hayapo katika shauri.

Tuwe focus na shauri ambalo lipo Mahakamani

Tushirikiane kuhakikisha shauri linaisha ndani ya siku 14

Lissu: Mimi l can cornfrim Kwamba nje ya hawa ukiacha huyu anabakia shahidi mmoja

Nina weza Kumalizana naye wiki hii na Kuna pending ruling ya kwenu kuhusu wale Mashahidi wengine.

Jaji Ndunguru Shahidi haujamaliza kutoa ushahidi wako.
Tunahairisha Shauri hadi kesho saa 3 Asubuhi

MAJAJI WANATOKA

Watu Wanamshangilia Brenda Kizimbani (Brenda Brenda Brenda Brenda)

TUKUTANE KESHO ASUBUHI.
 
Back
Top Bottom