Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 7,148
- 13,108
nahofu nisijemchanganya akakosa utulivu wa kutema facts za hii kesi ya mchongo.Nenda mahakamani,kesho utamkuta akupe jibu!
Sikufahamu kuwa unazo akili za kichizi namna hii!WE BWEGE HUMU NDANI TULIKUBALIANA ANAYEANZISHA UZI WA MAHAKAMANI KESI YA TUNDU LISSU NI MANYANZA TU
Asante mkuu ManyanzaTUNDU LISSU ANAMHOJI SHAIDI WAKE BRENDA RUPIA MAHAKAMANI
SEHEMU YA 3.
Jaji Ndunguru:Sasa mtakumbuka kwa mujibu wa shauri hili leo ilikuwa ni siku ya mwisho kwa session hii
Umeongozwa muda wa siku 14
Lengo ni ndani ya muda uliobaki wa siku 14 shauri liishe.
Tupunguze mambo ambayo hayapo katika shauri.
Tuwe focus na shauri ambalo lipo Mahakamani
Tushirikiane kuhakikisha shauri linaisha ndani ya siku 14
Lissu: Mimi l can cornfrim Kwamba nje ya hawa ukiacha huyu anabakia shahidi mmoja
Nina weza Kumalizana naye wiki hii na Kuna pending ruling ya kwenu kuhusu wale Mashahidi wengine.
Jaji Ndunguru Shahidi haujamaliza kutoa ushahidi wako.
Tunahairisha Shauri hadi kesho saa 3 Asubuhi
MAJAJI WANATOKA
Watu Wanamshangilia Brenda Kizimbani (Brenda Brenda Brenda Brenda)
TUKUTANE KESHO ASUBUHI.
Kwa maoni yangu brenda yuko vizuri sana uenda zaidi ya Gorungwanahofu nisijemchanganya akakosa utulivu wa kutema facts za hii kesi ya mchongo.
nakumbuka siku ile kule kizimkazi yule mama alivyosema kuhusu uwepo wa simba aliyekuwa amefungwa akaitwa Lissu. Kumbe alikusudia haya siku nyingi.
Hata kama yuko Eda,,, lazima awe updated ajue biashara yake inaendaje ๐.Unapata wapi nguvu za kushika Simatifoni wakati kuna Msiba ๐คฃ
bado hujamgonga IGNORE?Unapata wapi nguvu za kushika Simatifoni wakati kuna Msiba ๐คฃ
Golugwa wamemchanganya tu kwenye mambo ambayo kimsingi hayana uzito kwenye kesi. Mahakama inatembea na kesi iliyoko mahakamani kwa maana ya hati ya mashtaka. Facts za tarehe 3/4/2025 alizisema vizuri.Kwa maoni yangu brenda yuko vizuri sana uenda zaidi ya Gorungwa
Leo mahakamani watu wamewakaa ๐ฅView attachment 3665180
Shahidi namba 4 John Heche
๐๐๐Ajuaye ameshachoka anataka zigo liishe.. aende zake vacation kabla gawio halijaisha na zege bado liko saiti ๐
Wewe ni mwana falsafa.Umejaa Udini,huku ya dini huyafuati!
Vuta subira,amalize ushahidinahofu nisijemchanganya akakosa utulivu wa kutema facts za hii kesi ya mchongo.
nakumbuka siku ile kule kizimkazi yule mama alivyosema kuhusu uwepo wa simba aliyekuwa amefungwa akaitwa Lissu. Kumbe alikusudia haya siku nyingi.
Anataka ya kundi, wakati dini halitaki hayo ya kuhukumu,maana Kila mtu atahukumiwa Kwa Nafsi yake ,sio kundi!Wewe ni mwana falsafa.
Kwamba amejaa ubaguzi wa kidini, lakini yanayohubiriwa na dini hayafuati.
๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐, Roho inakwambia why hasiwe mkeo........nje ya mada: hivi Brenda ameolewa?
Jamaa anazingua sanaWaufukweni
TUNAOMBA USIFUNGUE UZI WA LIVE KAMA HAUPO MAHAKAMANI.
Mmesahau kuwa mamayenu amefiwa au mmemtelekeza maombolezo.Nimeshangaa sana kugundua kuwa Golugwa sio mhasibu ila anafanya kazi za kihasibu. Aisee hiki chama janjajanja sana. Ukimtoa Lissu wengine wote elimu zao ni za mashaka.
Tatizo linaanzia hapa, na watu wa aina yako ndio mnaosababisha yote haya.Iki chama Mashahidi wote wa Jehova
Mana Wate Wakristo Chama cha Wakristo kama sitakoseaโ๏ธ