Kesi ya Uhaini dhidi ya Lissu: Brenda amaliza kutoa ushahidi Mahakamani Septemba 9, 2026

Tunatofautiana kwenye mambo mengi ila kwa hapa nauunga mkono hoja
 
Ila kumbuka Mahakama zetu haziko huru kwa kiasi flani... Hata wahusika wa Mahakama wanajua hivyo

Shida Katiba hata ikibadilika Kuna vitu hawata badili ili kuwepo na sehemu Serikali kupumua kwa maovu yake
Kweli kabisa
 
🔥 🔥 🔥
 
Na kafanya kazi nzuri kabisa juu ya hilo.
Kazi ya Lissu haijawahi kujificha hata siku moja.
Na kumbuka, kazungumzia ya huko Tarime pekee na hajagusia mengine ya kutetea waTanzania sehemu zingine.

Wengi wanaompinga Lissu ni kwa sababu ya mtindo wake wa 'in your face'; hana ujinga ujinga wa kuficha mambo kinafiki; tabia ambayo imewalemaza sana waTanzania wengi; hasa "waswahiliswahili".
 
Aiseeee well done Tata.

Safi imepangwa vizuri ikapangika.
Imepangilika vizuri sana.
Na kumbuka, hayo yanahusu maswala ya uchaguzi pekee. Kuna wanaCHADEMA wengi sana walioumizwa na kuuawa, kama akina Mzee Kibao, akina Mdude. Watu kwenda mahakamani kusikiliza kesi tu, wanakutana na vipigo na kwenda kutupwa porini!

Halafu bado kuna watu hawaelewi kabisa maonevu yote haya yanahusu nini?
 
Kesi yao hiko hivi; kwa mujibu wa mashtaka (penal code).

Treason/Uhaini (39.2.d)

Soma sheria husika kwenye hiko kipengele (kinasema); article inasema hivi (the intimidation of the executives). Kwa lugha yetu kutishia “kikao cha baraza la mawaziri, kuzuia kufanyika kwa shughuli za bunge na mahakama za Tanzania.

Kwa kutumia kifungu hiko (39.2.d) yaani mawakili wa Lissu na mawakili wa serikali (wote mataahira) if you ask me kwa haya majibizano nayo.

As yet all this has nothing to do necessary with evidence requirement of the case.

Like serious, how stupid are Tanzanians; let alone mashtaka ya Lissu.

No wonder yule mwanasheria magumashi alishinda kesi kadhaa kabla ya kubainika.

It’s just stupid, ukisoma na kufuatilia hii kesi on what the prosecutor or the defendant are arguing about.

Realistically, the whole thing ni uthenge mtupu.

Kesi hiko wapi?
 
Shida yetu ni mfumo wa elimu ambao autufunzi kuwa subjective kwenye kuandika analytical matters on topic.

Analytics hapa ni legal exchanges pertaining; penal (39.2.d), does that makes Lissu; Guilty or Not.

That is to say 90% ya michango kwenye hizi mada uwa ni ujinga mtupu not helpful kwa Lissu.

Japo kesi yenyewe ni ujinga mtupu (ujinga ni ujinga tu), someone has to tell you,
 
Wanasheria wa Tanzania ni shida supposedly mashitaka ya Lissu ya uhaini has something to na kuzuia uchaguzi.

What the *** has this ‘39(2) (d), got to do with that.

How is that even a case,

Ndio maana wengine tukisoma hizi mada tunapuuzia.

Hapo tena tulikuwa hatujui hata msingi wa kesi,

But then where is the ‘39(2) (d) on this article. Ndio maana ukisoma hii kesi ulikuwa unasikiliza upuuzi wa ushabiki wa Simba na Yanga.
 
Hata ukiandika humu kwa kuuliza where is the ‘Mens rea’ and ‘Actus reus’ ya uhaini wa kesi ya Lissu; upati majibu,

Ukisoma muhtasari wa kesi ujinga mtupu.

Ukifuatilia ushahidi (nonsense).

Mashtaka yenyewe salaleh (akili ya kawaida tu, mshtakiwa hana uwezo wa kutekeleza).

Proving (39:2,d) ambayo inasema kutishia kuzuia “kikao cha baraza la mawaziri, kuzuia kufanyika kwa shughuli za bunge na mahakama za Tanzania.

That’s not a mean feat on burden of proof.

Kwa mashtaka hayo serikali inatakiwa ithibitishe Lissu alikuwa na njama zisizo na shaka na mwenye uwezo wa kuzuia kikao/vikao vya baraza la mawaziri kufanyika; Lissu ana uwezo/au mipango iliyothibitika ya kuzuia vikao vya bunge au Lissu ana uwezo wa kuzuia shughuli za mahakama kutekelezeka nchi nzima (salalee).

Hiyo ndio kesi ya Lissu, lazima uwe taahira kuamini kama serikali inakesi. Sio maneno yangu ni penal code walitotumia.

Tumechoka huu ujinga, mnawapa nguvu kwa kuchangia ujinga.

Kuna ugumu gani wa kila mtu kusoma sheria wanayo tutishia nayo au wanayo mtesea Lissu; penal code (39:2,d). Maelezo zaidi ni kuzuia kikao cha baraza la mawaziri, kuzuia kufanyika kwa shughuli za bunge na mahakama za Tanzania.

Maswala ambayo watoto wa mtaani hawawezi fanya kwa wakati mmoja, leave all that has nothing to do with interfering with the election.

Mnaelewa basi hata namna ya kupambana;……
 
Kitu ambacho sielewi ni sababu zipi Lissu kakutwa na kesi ya kujibu ikiwa video waliosubmit ya ushahidi kwa upande wa Serikali imekataliwa na mahakama
 
Kitu ambacho sielewi ni sababu zipi Lissu kakutwa na kesi ya kujibu ikiwa video waliosubmit ya ushahidi kwa upande wa Serikali imekataliwa na mahakama
Ushahidi wa video sio hitimisho kiongozi kwenye kesi ya jinai.

Kwenye jinai ushahidi wa video either emphasis una ‘Mens Rea’ au ‘Actus Reus’ followed by supporting evidence.

Hili tuongelee hiyo video; ilikuwa inahusu nini na inalenga nini ‘Mens Rea’ au ‘Actus Reus’.

Inabidi uthibitishe mambo yote hayo kwenye criminal. As yet ukisikiliza hii kesi ya Lissu ni upuuzi mtupu upande wa mashtaka
 
WASOMAJI WA KESI INAYOENDELEA * ANGALIZO
 
1. Hzo mahakama zikitoa maamzi yenye tija na tecdema huwa mnakenua meno na hamsemi kuwa ni mbaya, zikitoa maamz tofauti mnakuja na ujuha na wehu wenu hapa wa kupanua vidole badala ya akili

2. Inawezekana reforms ni moja lakini njia ya kuitekeleza ndo zikatofautiana
-tecdema hamuwez ku override the state/country

3. Ni kweli muda wa mh samia unakaribia kumalizika maana bado miaka 4 kumaliza mhula wake
-msijipe umhimu sana mkajiona kama naibu MUNGU wakati hamna chochote.

"FURAHA NI KUBWA KAMA LISU KUNYONGWA
 
Kiuhalisia watu wote walitakiwa kuwa sawa mbele ya Sheria, Binadamu wote walitakiwa kuwa sawa but kuna waliojimikisha ubinadamu juu ya wengine.The world is not fair.
 
3. Ni kweli muda wa mh samia unakaribia kumalizika maana bado miaka 4 kumaliza mhula wake
-msijipe umhimu sana mkajiona kama naibu MUNGU wakati hamna chochote
Atakuwa na bahati sana akipata mwaka.
Tatizo la watu kama wewe ni kuangalia maswala ya nchi katika macho ya kivyama au kidini. Hii akili ndiyo inayoleta matatizo mengi sasa hivi.

Kwa nini maswala yahusu CHADEMA au CCM na yasiwe ya taifa letu kwa pamoja?
Mnataka muambiwe vipi ndipo muelewe?
Hamuwezi kuelewa kwa vile mnafaidika na huo upande wa CCM, ambayo kiuhakika haipo tena kama chama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…