PreGE2025 Kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu yaahirishwa hadi Juni 16

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Unasikitisha sana, hata kukomalia jambo kama hili.
Unasemaje kuhusu mikutano yao huko mikoani; haikupi fikra zozote kuhusu hali ilivyo?

Labda nikuulize tu kuhusu zile chopa za CHAUMA zimefikia wapi?
Mimi nimezungumzia viewers katika channels , wewe unazungumzia mahudhurio ya kwenye mikutano! Kama unadhani kesi kama hii kuwa na viewers 15,000 ungesema. Ndio maana watu kama wewe mliona kuwa Heche amemuumbua Mrema aliposema analipwa mamilioni kila wiki na X kutokana na kurasa yenu ya X.
Unakuwa na ubishi wa vijiweni. Chopa ya Chaumma hapa napo inahusika vipi? Au unafurahia kwa sababu mlishirikiana na CCM kuinyima kibali cha kutua Mwanza?

Amandla...
 
Kama kesi yenyewe inaendeshwa na huyo Mbena Kiswaga vakunjombre basi hapo tumepigwa.....
 
Endelea kuloga ndugu, Utakufa wewe na utamwacha Rais Samia akitawala hadi 2030
 
Unajitoa ufahamu bure kwa sababu za kijinga tu!
Sasa tueleze wewe maoni yako kwa nini "kesi kama hii", kama unavyoiita inapata 'viewers' hao wachache?
Kwamba waTanzania hawana 'interest' na kesi hiyo kwa vile inamhusu Tundu Lissu?

Unajuwa hilo tangazo la kesi kuonyeshwa mtandaoni limetolewa lini, na taarifa zake zimesambaa kiasi gani huko mikoani?

Nimeweka hayo ya choppa, kwa sababu nilitegemea wewe ungekuwa na ufahamu zaidi juu ya hilo kuliko hii kesi inayomhusu Tundu Lissu; lakini inaonyesha huna jibu juu yake.
CHADEMA imekwisha kwenda na Tundu Lissu. Watu wanaokuhusu tayari wamehamia CHAUMA ili siasa zao zifanikiwe. Wewe huko CHADEMA umesahau kitu gani hadi uendelee kuwa na uchungu nayo kiasi hiki?
 
Unaniulizaje kuhusu statistics mlizoweka wenyewe? Nyinyi ndio mnatakiwa mfanye analysis ya kwa nini ni kiduchu hivyo na namna mnavyoweza kuziongeza. Kama kesi ya Mwenyekiti inapata viewers kiasi hicho basi kuna haja ya kubadilisha tactics.

Hayo mambo yakusambaaza taarifa za kesi zinanihusu nini? Mlitegemea nani azisambaze na ahakikishe kuwa wanachama wenu wanashiriki kikamilifu. Ni aibu kwa chama kinachosema kina mamilioni ya wanachama kinashindwa ku muster viewers hata 100,000. Hasa ukizingatia mnavyotamba kwenye social media!

Mimi mambo ya hicho unachoita choppa kinanihusu nini? Mimi pia nimesoma hiyo ahadi humu humu. Ila ulipaswa kujua kuwa imezuiwa maana ni public knowledge. Wenzako walifurahia sana kitendo kile. Lakini inaelekea wewe haukuridhika maana ni mpenzi wa conspiracy theories zenye malengo ya kuchafuana.

Unfortunately kila mtanzania ana haki ya kukosoa na kuhoji chama chochote cha siasa na viongozi. Sio wote ni wanachama wa cult yenu ambayo mnaona kumkosoa kiongozi wenu ni dhambi.

Nimesema unanipotezea wakati. Jibishana na watu wengine, mimi sina muda huo. Ndio maana sitajibu tena chochote utakacho weka humu kuhusu suala hili.

Amandla...
 
Unaniulizaje kuhusu statistics mlizoweka wenyewe? Nyinyi ndio mnatakiwa mfanye analysis ya kwa nini ni kiduchu hivyo na namna mnavyoweza kuziongeza. Kama kesi ya Mwenyekiti inapata viewers kiasi hicho basi kuna haja ya kubadilisha tactics.
Kwa sababu umezijibu. Ina maana umeelewa usahihi wake.
Nilisha kueleza mara kadhaa, huwa sisomi magazeti humu; hasa yakiwa ni takataka tupu kama unazozijaza humu. JF.
 
Kwa sababu umezijibu. Ina maana umeelewa usahihi wake.
Nilisha kueleza mara kadhaa, huwa sisomi magazeti humu; hasa yakiwa ni takataka tupu kama unazozijaza humu. JF.
Hausomi lakini hauishi kuzijibu! Unafik ni ugonjwa mbaya sana. I could not resist that. Na kingine ni kuwa you just don't realize how stupid you sound kujibishana na mtu anayejiita Fundi Utumbo. Lakini, well, you can't help it kwa sababu " stupid is as stupid does". Kwaheri. Na sasa hivi I really mean it. Sitakujibu tena.

Amandla...
 
Hizi statistics wala msingeziweka hadharani.
Katika nchi yenye raia zaidi ya milioni 60, mlipaswa kuwa na viewers sio chini ya 100,000 katika channel moja. Hao ukijumlisha wote hawafiki hata 50000.

Amandla...
Pia elewe Watanzania wangapi wana ''afford'' live streaming! Kwa takwimu hizo hizo baada ya wiki 1 utaona eneo linalorekodi kama You Tube inaweza kupita 100K unaosema.

JokaKuu
 
..uvCcm hata hawajui taarifa hizo.
Ukiwaambia PM wa Kwanza alikuwa Nyerere watakucheka sana! UVCCM ni tofauti na TANU youth League
ya akina Jenerali Ulimwengu.
..nina hakika hata Mama Abduli hana uelewa wa wapi taifa letu limetoka kijamii, kiuchumi, kisiasa, na kikatiba, ukimlinganisha na wapinzani kama Lissu, Othman Masoud, Prof.Lipumba, Freeman Mbowe, Ismael Jussa, na wengine.
Sijui hata 1/5 kama ipo!!!
 
Pia elewe Watanzania wangapi wana ''afford'' live streaming! Kwa takwimu hizo hizo baada ya wiki 1 utaona eneo linalorekodi kama You Tube inaweza kupita 100K unaosema.

JokaKuu
According to the latest report by Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA), as of December 2024, there were 25.4 million smartphone users, equivalent to 35.9 per cent, up from 33.8 per cent as recorded in September last year. Hii ni ya 2025.

Katika watu 25.4 million ni watu 50,000 tu ndio walio bother ku tune in. Ukweli ni kuwa watanzania would rather tune in to Mange au derby kuliko anything political. Those statistics were ridiculous and should not have been brought up. Hata wakifika 500,000 itakuwa bado ridiculous, especially considering your claim that you have millions of members in Tanzania. They should be a wake up call lakini kama kawaida yenu, kila kitu ni kosa la wengine na sio lenu. Sasa hivi watu wenu wanatakiwa kuwa wanapitia hizo figures na kuangalia namna gani ya kuzipandisha. Lakini no, mko hapa mnatafuta sababu tuu za kuonekana kuwa nyie ni victims of a grand conspiracy. You are your own worst enemy. Na mkimaliza kuwalaumu Chaumma na kuona hamna kinachobadilika mtageukiana wenyewe kutafuta so-alled wasaliti!

Amandla...
 
Matumizi mabaya ya Kodi zetu.

Ulinzi wote kumlinda mtu mmoja anaumuhimu Gani?

Hizo fedha za posho za hao walinzi Hadi kesi itakapoisha ingetosha kujenga chumba Cha darasaa
 
Tofautisha kuwa na smartphone na kutumia smatphone. Uki itumia kwa wiki katika mwezi unapoweka bundle unahesabika una smartphone. Kwani ni mara ngapi unasikia ''nilizima data''Namba hazitoshi bila analysis. Pili, kuna wenye smartphone 2 au 3, kusema watu milioni 25 unahitaji kujiridhisha.
Katika watu 25.4 million ni watu 50,000 tu ndio walio bother ku tune in. Ukweli ni kuwa watanzania would rather tune in to Mange au derby kuliko anything political.
Kwahiyo unamlaumu nani kwa hali hiyo!
Hata wakifika 500,000 itakuwa bado ridiculous, especially considering your claim that you have millions of members in Tanzania.
CCM wana milioni 13 kwa mujibu wa mwenyekiti , wangapi wali tune kufuatilia Mkutano Mkuu ?
Hoja yangu si kulinganisha Chama na Chama, nataka uelewe ''political landscape' ya Tanzania
They should be a wake up call. Sasa hivi watu wenu wanatakiwa kuwa wanapitia hizo figures na kuangalia namna gani ya kuzipandisha.. You are your own worst enemy.
Amandla...
Unashindwa kuelewa ''political landscape'' ya Tanzania. Huwezi kulazimisha watu ku stream! ni suala la uchumi. Si uliwahi kumsikia Mh Lema akisema '' Anaomba Mungu vilabu vya Simba na Yanga vife kwasababu vimefanya watu wasijatambue'' . Unachosema mbona kinajulikana, Watanzania wata angalia ugomvi wa kuku kuchi , siasa wanakuambia si yao. Unategemea milioni 60 upate kama 30M! fikiria tena

Umeshindwa kuelewa tofauti ya '' Quantitative observation vs Qualitative observation''.
Namba unazoweka na hoja zako ni ''quantitatively''. Ukiangalia '' Qualitatively'' kesi ya Tundu Lissu inafuatiliwa na Watu makini ndani na nje ya Nchi ikiwemo vyombo vya habari vya Kimataifa.

Kesi ya TAL inaitwa ''Landmark case'' kwasababu inaweza ku set precedent katika uendeshaji wa siasa za Nchi. Inaweza kufanyia marejeo na kesi zingine katika ukanda wa Afrika mashariki.
FYI kuna kesi moja alihukumu Jaji Lugakingira kwasasa inafanyiwa Marejeo US na Ulaya.

Tatizo ninalo liona kwako ni kuongozwa na ''emotion na prejudice'' kwamba humpendi TAL automatic hupendi chama chake na kesi yake , hili linakuitia upofu wa kuto ona facts zilizo wazi.

JokaKuu Kalamu
 
Hakika tunaongozwa na matako! Haya maigizo ya nini? Yaani maaskari utafikri kweli wamemkamata Osama bin Laden!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…