CCM wataikimbia hii kesi soon maana Ufukuzi huu ni wa kiwango cha juu kabisa, tena Aman Sam Golugwa katika mashaidi wote huyu pekee kakandamiza sanamh hii kesi inachimbua mambo mengi ambayo hayakuwai kupata uwanja wa kuongelewa na kufikia jamii kwa wingi sijui mwisho wake itakuwaje nawaza sipati jibu kiukweli
Golugwa nakuelewa sana yaniTUNDU LISSU ANAMHOJI SHAIDI WAKE AMAN GOLUGWA MAHAKAMANI
SEHEMU YA 5.
Lissu: Wakati hayo ya maandalizi na mawasiliano yanafanyika, mimi nilikuwa wapi?
Amani Sam Golugwa: Waheshimiwa Majaji, Mwenyekiti Tundu Antipas Lissu na Makamu Mwenyekiti Bara John Wegesa Heche walikuwa katika mikutano iliyokuwa inaendelea Kanda ya Nyasa.
Lissu: Unaposema Kanda ya Nyasa unamaanisha nini?
Amani Sam Golugwa: Unajumuisha Mkoa wa Mbeya, Iringa, Njombe na Songea.
Lissu: Waeleze Waheshimiwa Majaji, Makamu, mimi nilishiriki kwa namna yoyote ile katika maandalizi na kutuma mialiko?
Jaji Ndunguru: Ungemwambia aeleze ushiriki wako, ukisema kama ni una-suggest majibu.
Lissu: Nisameheni kama imenikaa sana.
Shahidi, waeleze Waheshimiwa Majaji ushiriki wangu katika maandalizi.
Amani Sam Golugwa: Waheshimiwa Majaji, hakushiriki katika maandalizi ya mkutano huo.
Lissu: Waeleze Waheshimiwa Majaji ushiriki wangu katika kuwaalika waandishi wa habari.
Amani Sam Golugwa: Waheshimiwa Majaji, Tundu Antipas Lissu hakushiriki kuwaalika waandishi wa habari wala wajumbe.
Lissu: Sasa inadaiwa katika mashitaka yangu kwamba mimi, Tundu Antipas Lissu, ndiyo niliye waalika katika mkutano.
Wewe unasemaje?
Amani Sam Golugwa: Hayo madai yatakuwa ya uongo na upotoshaji.
Siyo ya kweli.
Tundu Lissu hakuhusika.
Lissu: Waeleze Waheshimiwa Majaji, uwepo wa waandishi wa habari katika mkutano huu.
Amani Sam Golugwa: Waheshimiwa Majaji, katika mkutano huu walikuwepo waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali:
Wa televisheni,
wa magazeti,
wa online television,
pamoja na redio.
WEKA EMOJI KAMA UNASOMA
SHARE ZAIDI UJUMBE UFIKE MBALI
Udini pro maxSema wewe ndo waanza kuyasikia leo. Hakuna jipya hapo.
Wakati CUF wanalia na tume ya uchaguzi mlikuwa wapi mpk leo wanna ni mapya haya!
Fanya tathmini ya nguvu inayotumika kwenye chaguzi kila baada ya uchaguzi mmoja kwenda mwingine. Zingatia mabadiliko ya kizazi na nguvu ya ushawishi ya chama tawala. Jumlisha yanayoendelea, je nanianasaidika na nani anazidi kuzama. Mabadiliko ni process si nukta.Sema wewe ndo waanza kuyasikia leo. Hakuna jipya hapo.
Wakati CUF wanalia na tume ya uchaguzi mlikuwa wapi mpk leo wanna ni mapya haya!
Mwangalie punda anapokufa huanza na mateke makali ambayo huweza kumuumiza hata mpita njia au chochote karibu yake. Kibaya zaidi wao wanajiona wako imara zaidi, wakati wanazidi kujiweka mbali na wananchi kwa wanayoyafanya. na mbaya zaidi kukosa watu wenye ushawishi mkuu.Sema wewe ndo waanza kuyasikia leo. Hakuna jipya hapo.
Wakati CUF wanalia na tume ya uchaguzi mlikuwa wapi mpk leo wanna ni mapya haya!
CCM wataikimbia hii kesi soon maana Ufukuzi huu ni wa kiwango cha juu kabisa, tena Aman Sam Golugwa katika mashaidi wote huyu pekee kakandamiza sana
Na yote haya yanaingia katika maandishi kama kumbukumbu ya mwenendo wa kesi na kubaki kama rejea kwa miaka kibao ijayo watu kujifunza na kuwa mojawapo ya vitendea kazi kwa vyuo vikuu duniani kote vya ngazi ya degree na shule za sheria.
Mfano : Tanzllii
Other African Legal Information Institutions
AfricanLIIopens in new tab
GhaLIIopens in new tab
Kenya Lawopens in new tab
LawLibrary ZAopens in new tab
LesothoLIIopens in new tab
LiberLIIopens in new tab
MalawiLIIopens in new tab
MauritiusLIIopens in new tab
NamibLIIopens in new tab
NigeriaLIIopens in new tab
OpenbyLaws ZAopens in new tab
RwandaLIIopens in new tab
SeyLIIopens in new tab
SieraLIIopens in new tab
eSwatiniLIIopens in new tab
TanzLIIopens in new tab
UgandaLIIopens in new tab
ZambiaLIIopens in new tab
ZanzibarLIIopens in new tab
ZimLII
View: https://m.youtube.com/watch?v=m54qqXDkCfk&t=7s
hii ina athari kubwa sana mbeleni tuendelee kujifunza taratibu kama layman kwenye mambo ya sheria zinavyo enenenda duniani.Na yote haya yanaingia katika maandishi kama kumbukumbu ya mwenendo wa kesi na kubaki kama rejea kwa miaka kibao ijayo watu kujifunza na kuwa mojawapo ya vitendea kazi kwa vyuo vikuu duniani kote vya ngazi ya degree na shule za sheria.
Mfano : Tanzllii
Other African Legal Information Institutions
AfricanLIIopens in new tab
GhaLIIopens in new tab
Kenya Lawopens in new tab
LawLibrary ZAopens in new tab
LesothoLIIopens in new tab
LiberLIIopens in new tab
MalawiLIIopens in new tab
MauritiusLIIopens in new tab
NamibLIIopens in new tab
NigeriaLIIopens in new tab
OpenbyLaws ZAopens in new tab
RwandaLIIopens in new tab
SeyLIIopens in new tab
SieraLIIopens in new tab
eSwatiniLIIopens in new tab
TanzLIIopens in new tab
UgandaLIIopens in new tab
ZambiaLIIopens in new tab
ZanzibarLIIopens in new tab
ZimLII
View: https://m.youtube.com/watch?v=m54qqXDkCfk&t=7s
Binafsi nimempongeza alipoweza kutaja kwa ufasaha ripoti zote za taasisi za Kimataifa kuhusu ule uchaguzi wa Oktoba 29, 2025..Ila Chadema Wana watu tena wenye akili, ujuzi na maarifa, wako upstairs kichwanii.
Golugwa anatema cheche utasema anasoma, kumbe anatoa kichwaniii, Aloooooh.
Safi sana Golugwa, tuonesheni uchafu na ukiritimba was Serikali ba Dola ya nchii hiii.
Msifiche chochote, fukueni kila eneo iwe wazi kwa umma, alaaaaah.
Na report IPO kwapani!mh hii kesi inachimbua mambo mengi ambayo hayakuwai kupata uwanja wa kuongelewa na kufikia jamii kwa wingi sijui mwisho wake itakuwaje nawaza sipati jibu kiukweli
Sahihi mkuu, hawa akina katuga wanapohamisha magoli kuanza kuongelea nonsensible issues kama tone tone, Lissu ana transpose kutoka kwenye uhaini kwenda kui nail serikali kuhusu uchaguzi na october 29 mambo ambayo sidhan kama kuna mtu alitarajia yataongelewa mahakamani, kwakifupi ni kama anaonyesha alternative ya katazo la matokeo ya uchaguzi kupingwa mahakamni ila ninkama sort of anaonyesha kwa miaingi ya kisheria namna uchaguzi na october 29 vilivyokiuka sheria. Na ikumbukwe hii inaingia moja kwa moja kwenye rekodi za mahakama. He ia is very very brilliant person Lissumh hii kesi inachimbua mambo mengi ambayo hayakuwai kupata uwanja wa kuongelewa na kufikia jamii kwa wingi sijui mwisho wake itakuwaje nawaza sipati jibu kiukweli
Tatizo strategist wa CCM ni wassira mwenye miaka zaidi ya 80, his cognitive function has started to declineWao ndo wameuchagua aina ya mchezo, uwanja wa mechi na kufungua mageti, acha waicheze ngoma. Hii inafanya hata watu waliokuwa wanashangaa kwa nini Mh. Tundu Lisu ang'ang'anie kuishinikiza serikali ifanye mabadiliko ya kisheria juu ya uchaguzi wawe na uelewa wa msingi mkuu. Hapa hata ambaye alibaki na kiimani kidogo nao kanaondoka, ukijuklisha na yanayoendelea, itawawia vigumu huko mbeleni kupata kura halali kwenye boksi la kura. Wanajining'iniza kwa kitanzi chao wenyewe.
Wameyataka wenyewemh hii kesi inachimbua mambo mengi ambayo hayakuwai kupata uwanja wa kuongelewa na kufikia jamii kwa wingi sijui mwisho wake itakuwaje nawaza sipati jibu kiukweli
Ahahahah..kweli bwana huyu jamaa kakandamiza mnoooo tofauti na tulivyomtarajia wengi. Sema hii ni kwasababu ya strategy ya Lissu. Anajua huyu nimuelekeze upande ganiCCM wataikimbia hii kesi soon maana Ufukuzi huu ni wa kiwango cha juu kabisa, tena Aman Sam Golugwa katika mashaidi wote huyu pekee kakandamiza sana
Binafsi nimempongeza alipoweza kutaja kwa ufasaha ripoti zote za taasisi za Kimataifa kuhusu ule uchaguzi wa Oktoba 29, 2025..
Tatizo strategist wa CCM ni wassira mwenye miaka zaidi ya 80, his cognitive function has started to decline