Inawezekana ikawa ni zaidi ya "kuharibiwa ugali" pekee.Hata kama ni wewe ungehangaika mkuu, ameaminiwa na wakubwa zake alafu anaona ugali wake unaharibiwa mbele yake na mbele ya wakubwa zake
Kuna maswala kadhaa muhimu yanaingiliana katika kesi hii.
Nisome kwa uangalifu sana. Sibahatishi.