K Kalamu Platinum Member Joined Nov 26, 2006 Posts 22,898 Reaction score 33,309 Sep 4, 2026 #141 Sozo_ said: Hata kama ni wewe ungehangaika mkuu, ameaminiwa na wakubwa zake alafu anaona ugali wake unaharibiwa mbele yake na mbele ya wakubwa zake Click to expand... Inawezekana ikawa ni zaidi ya "kuharibiwa ugali" pekee. Kuna maswala kadhaa muhimu yanaingiliana katika kesi hii. Nisome kwa uangalifu sana. Sibahatishi.
Sozo_ said: Hata kama ni wewe ungehangaika mkuu, ameaminiwa na wakubwa zake alafu anaona ugali wake unaharibiwa mbele yake na mbele ya wakubwa zake Click to expand... Inawezekana ikawa ni zaidi ya "kuharibiwa ugali" pekee. Kuna maswala kadhaa muhimu yanaingiliana katika kesi hii. Nisome kwa uangalifu sana. Sibahatishi.
Sozo_ JF-Expert Member Joined Jun 12, 2022 Posts 3,248 Reaction score 6,146 Sep 4, 2026 #142 Kalamu said: Inawezekana ikawa ni zaidi ya "kuharibiwa ugali" pekee. Kuna maswala kadhaa muhimu yanaingiliana katika kesi hii. Nisome kwa uangalifu sana. Sibahatishi. Click to expand... Aiseee
Kalamu said: Inawezekana ikawa ni zaidi ya "kuharibiwa ugali" pekee. Kuna maswala kadhaa muhimu yanaingiliana katika kesi hii. Nisome kwa uangalifu sana. Sibahatishi. Click to expand... Aiseee
K Kalamu Platinum Member Joined Nov 26, 2006 Posts 22,898 Reaction score 33,309 Sep 4, 2026 #143 econonist said: Katuga ana hangaika sana Click to expand... Ni lazima ahangaike kwa sababu kawekewa matumaini makubwa na waliomweka hapo ambao si lazima iwe Jamhuri pekee.
econonist said: Katuga ana hangaika sana Click to expand... Ni lazima ahangaike kwa sababu kawekewa matumaini makubwa na waliomweka hapo ambao si lazima iwe Jamhuri pekee.