Mi huwa najiuliza....Kwa hivyo unaamini Lissu alitaka kupindua serikali ya Samiah, ila Magufuli kuhusika na kumpiga risasi Lissu unakataa. We kweli mnafiki sana.
Sure, kuna vitu huyu bwana amepitia nilikua sivijui kabisa , his fight is true noble out of selfish reasons… watu kama hawa si wa Kushindana nao.Kuna wakati unaona ilikuwa vyema majaji wakaona ana kesi ya kujibu. Mungu ana njia nyingi za kumfanya mtu ang'ae. Tungesikia wapi hizi nondoo
Hao hawana wanayoiita ilimu, ni mazuzu balaa😬Ila Lissu anakera sana kwamba BAKWATA ni CCM , HA HA
Kuna mjinga mmoja humu alirukia hitimisho kabla hajelewa msingi wa ushahidi wa awali, hawa machawa wa jf ni wajinga kama sirikali yao.Duh huyu baba alianza kutetea haki kabla wengi wetu hatujazaliwa.
Viva TAL.
Bro una kichwa kigumu sana. Asante
Aisee 😂😂😂Nyie ndo wale mlikuwa mnaandika maelezo mengi kwenye mitihani, matokeo yakitoka mmefail mnaanza kusema mmefelishwa. Soma elewa kabla ya kujibu
Ndio mkuu.Kuna mjinga mmoja humu alirukia hitimisho kabla hajelewa msingi wa ushahidi wa awali, hawa machawa wa jf ni wajinga kama sirikali yao.
Bora wewe umenielewa kidogo. Atumie jina la hayati kujenga hoja na siyo kama kumkejeli na kusema uongo. Kesi huwa ni ushahidi, ila huo ushahidi unapimwa kupitia Logic, ukiwa unajenga hoja ukatumia uongo au mfano ambao unawalakini unaanza kuwapa mashaka wanaokusikiliza hususan kwa hao watu wa sheria.Kwanini unadhani watu hawajakuelewa? Kila mtu amekuelewa lakini hawajakubaliana na wewe, kwamba Lissu asimtumie hayati kama kejeli bali atumtumie ku-draw attention for sympathy? No mkuu, kama alivyoyasema ya akina mkapa hivyo hivyo ameyasema ya hayati kwa namna ile ile, no exceptions kwa waovu.
Btw, hayati sio Magufuli pekeyake hata mkapa ni hayati.
Kwahiyo umeeleweka vizuri tu.
Asante kwa mawazo yako bestie, ndio democracy.Bora wewe umenielewa kidogo. Atumie jina la hayati kujenga hoja na siyo kama kumkejeli na kusema uongo. Kesi huwa ni ushahidi, ila huo ushahidi unapimwa kupitia Logic, ukiwa unajenga hoja ukatumia uongo au mfano ambao unawalakini unaanza kuwapa mashaka wanaokusikiliza hususan kwa hao watu wa sheria.
Pili kuna watu wanamkubali mshitakiwa na vilevile wanamkubali hayati, sasa wakiona mshitakiwa anajenga hoja kwa kumkejeli hayati haitowapendeza. Ni mawazo yangu tu lakini japo yanaweza yasiwe na maana yoyote.
Hata mabwege wanaomuita Kibaraka, hawajui maana ya neno lenyewe.Siku zote toa historia yako mwenyewe tena kwa ushahidi usisubiri ufe watu waje wa editi kukuponda au kukusifia
Sijaona mahala amekejeli.Bora wewe umenielewa kidogo. Atumie jina la hayati kujenga hoja na siyo kama kumkejeli na kusema uongo. Kesi huwa ni ushahidi, ila huo ushahidi unapimwa kupitia Logic, ukiwa unajenga hoja ukatumia uongo au mfano ambao unawalakini unaanza kuwapa mashaka wanaokusikiliza hususan kwa hao watu wa sheria.
Pili kuna watu wanamkubali mshitakiwa na vilevile wanamkubali hayati, sasa wakiona mshitakiwa anajenga hoja kwa kumkejeli hayati haitowapendeza. Ni mawazo yangu tu lakini japo yanaweza yasiwe na maana yoyote.
Hawana hata hofu wala hatia.Utetetezi wa Leo imewafanya wajihisi hatia
Unabishana na mwehu, atakutia hasira tu, halafu yeye anajikekesharelax gentleman,
ukweli ndivyo ulivyo,
una kera mbaya sana, itabidi uzoee tu
ok.🐒Unabishana na mwehu, atakutia hasira tu, halafu yeye anajikekesha
Huna ndugu humu, hasa wapenda haki.Gentleman,
mimi sihitaji kuvutana na mdau yeyeote wa JF kwenye jambo lolote lile la kisiasa au vinginevyo. Members wote wa JF ni kaka, dada, mama, baba, mashangazi, wajomba, ndugu jamaa na marafiki zangu wa mama moja Tanzania.
Gentleman,
hakuna sababu hata moja baina yangu, wewe au mdau mwingine yeyote yule wa JF ya kuhasimiana au kuogopana kwasababu tu ya utofauti wa maoni, mirengo, dini au kabila. To me that's very nonsense.
tutofautiene kadiri inavyowezekana, but at the end tubaki kama ndugu na watoto wa mama Tanzania.
so my friend,
just relax and lets move forward together regardless our differences in opinion on the ongoing case.
i'm sorry for everything,
and plz forgive me gentleman wherever i have wronged or hurts you with my comments