Kesi ya Uhaini: Tundu Lissu amefanya majumuisho ya mwisho Mahakamani 23/9/2026

Coca mod yupi kasema atasolve?
Mbona uzi umeungwa tena huku? ๐Ÿ˜น
 
Hawa Mods wasitake kutufanya kama tupo kwenye utawala wa CCM, watuheshimu aisee, sisi ndio tunaoleta kazi na wao wanapata kazi
Tawile ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Kwenye huu uzi wasituguse kabisaa, watuachee na uzi wetu. Hatutakii upuuzi wao hapa.
Uduguuu ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Ila mods sometimes nao ni sehemu ya vichekesho vya JF..

Nimekumbuka kipindi kile selfika tukiweka pics wanafuta..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Sio ustaarabu. Mods wanafanya mambo ya kijinga
Vp vingine vidogo vidogo kama hivi pigeni kimya tu. After all inawasaidia watu kuendelea na majukumu mengine badala ya kushindia hizo updates
 
Wewe mwenye kazi unafanya Nini hapa?. Chawa wa CCM Huwa mnajiona mpo mbali kumbe ujinga tu. Updates hazijaanza Leo. Zimeanza toka mwaka Jana.
Ndo mana Magufuli alipiga marufuku mambo ya Bunge Live
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ