Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 7,148
- 13,108
hatima yake Ndugai yakamkuta ya kumkuta. Dunia tambara bovuNdugai alimuondoa lissu bungeni eti kwa sababu ya utolo kipindi wote wanajua kuwa anaumwa wakti hule and at the same time walijadili bungeni kuhusu kupigwa risasi kwa lissu, nchi imepitiq ujinga mwingi hii.