Kesi ya Uhaini: Tundu Lissu kuendelea na maswali ya dodoso Mahakamani Agosti 27, 2026

Kesi ya Uhaini: Tundu Lissu kuendelea na maswali ya dodoso Mahakamani Agosti 27, 2026

RAIS DK SAMIA SULUHU HASSAN

Makamu wake ni Ndejembi

CCM mwenyekiti DK SAMIA SULUHU HASSAN
Makamu mwenyekiti ni Wasira

CHADEMA ya 2025 MUME na SHEMEJI yake wanakusanya tone tone kutoka kwa Wananchi mikoa
mbali mbali ‼️

Mwenyekiti changieni chama pesa mpeni SHEMEJI Heche 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Inaonekana we ndo mjinga zaidi kuliko wote hapa JF,
 
Mkuu muendelezo sehemu ya 294 iliwekwa? Kama iliwekwa naomba nisaidie link
 
Aisee huyo Mrema na Ajuaye wangetolewa tu hata maswali hawakuwa nayo, Katuga ajitahidi kunywa dawa na maji mengi na apate muda wa kupumzika amepigwa virungu vya kutosha
 
Tutakuja hivo hivo, kwani unafikiri tutaenda wapi?

Umenichekesha ulivyokuwa excited eti unasubiri cross examination ya John Mrema haya kuna cha maana amefanya?
John Mrema hamna alichouliza amepuyanga tu, huyo Ajuaye amejikuta akitamani kubadilisha jina, kumbe hawana maswali mpaka waokoteze
 
Huu uzi wameuharibu tena sana. Kwani lazma mmnyonge? Hiyo mahakama n ya mamaenu? Samia yuko kule lakin mnakuja ujinga ati yeye ndo kila kitu..
Jaribu kusoma uz wa mtu na uweke kaemoji utambae na sio kuleta ubabe ni kama njia za kwenda mbingun inapita kwenu. Ntawarogaaa nyie watu.
 
Mawakili wao waliowategemea wamepigwa za uso wanatafutana sasa kilichobaki ni kutumia manguvu maana sheria imewashinda mpaka sasa
 
Mawakili wao waliowategemea wamepigwa za uso wanatafutana sasa kilichobaki ni kutumia manguvu maana sheria imewashinda mpaka sasa
lissu day lazma nipgane na kila niliye mblock jf. Hata kama miaka kumi lazma tuzirushe tena za maana hadi wakome.
 
Nilianza na maombi natoka humu na maombi mpaka watakapoanza tena..
Mungu uliye juu mbinguni nakuja mikononi mwako nikisema ni asante kwa ulizi wako baba, tazama si waja wako tuko mbele zako baba, mpe lissu nguvu za kukata minyororo yote ni katika jina la yesu... AMEN..

Kesho kuna jipya
 
Amina
 
Uzi wa kesi ukianza tuhabarishane, tanguliza shukrani
 
In the headlines:
Katuga destroys Lissu's defence in cross examination JP

Lissu aomba kukaa baada kuzidishiwa dozi ya maswali. BBC Swahili

Lissu's freedom in peril as prosecuters unveil serious faults in his defence. TOI
Fake, BBC ya Mtoni Mtongani.
 
Back
Top Bottom