Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 7,148
- 13,108
hatima yake Ndugai yakamkuta ya kumkuta. Dunia tambara bovuNdugai alimuondoa lissu bungeni eti kwa sababu ya utolo kipindi wote wanajua kuwa anaumwa wakti hule and at the same time walijadili bungeni kuhusu kupigwa risasi kwa lissu, nchi imepitiq ujinga mwingi hii.
SafiiMkuu relax nimeshakuelewa
Tutakuja hivo hivo, kwani unafikiri tutaenda wapi?Atakapokuwa anapigwa kitanzi mje hivo hivo
Inaonekana we ndo mjinga zaidi kuliko wote hapa JF,RAIS DK SAMIA SULUHU HASSAN
Makamu wake ni Ndejembi
CCM mwenyekiti DK SAMIA SULUHU HASSAN
Makamu mwenyekiti ni Wasira
CHADEMA ya 2025 MUME na SHEMEJI yake wanakusanya tone tone kutoka kwa Wananchi mikoa
mbali mbali ‼️
Mwenyekiti changieni chama pesa mpeni SHEMEJI Heche 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Inaonekana we ndo mjinga zaidi kuliko wote hapa JF,
Tiririka na uzi page moja baada ya nyingine kuna jamaa mwingine tofauti na mleta mada ameweka mtiririko wote.Mkuu muendelezo sehemu ya 294 iliwekwa? Kama iliwekwa naomba nisaidie link
John Mrema hamna alichouliza amepuyanga tu, huyo Ajuaye amejikuta akitamani kubadilisha jina, kumbe hawana maswali mpaka waokotezeTutakuja hivo hivo, kwani unafikiri tutaenda wapi?
Umenichekesha ulivyokuwa excited eti unasubiri cross examination ya John Mrema haya kuna cha maana amefanya?
Mawakili wao waliowategemea wamepigwa za uso wanatafutana sasa kilichobaki ni kutumia manguvu maana sheria imewashinda mpaka sasaHuu uzi wameuharibu tena sana. Kwani lazma mmnyonge? Hiyo mahakama n ya mamaenu? Samia yuko kule lakin mnakuja ujinga ati yeye ndo kila kitu..
Jaribu kusoma uz wa mtu na uweke kaemoji utambae na sio kuleta ubabe ni kama njia za kwenda mbingun inapita kwenu. Ntawarogaaa nyie watu.
linyani hilo halioni kundu lakeMbona sisi hatuhoji nchi kuongozwa na mama mtoto na mkwe wake
lissu day lazma nipgane na kila niliye mblock jf. Hata kama miaka kumi lazma tuzirushe tena za maana hadi wakome.Mawakili wao waliowategemea wamepigwa za uso wanatafutana sasa kilichobaki ni kutumia manguvu maana sheria imewashinda mpaka sasa
In the headlines:
AminaNilianza na maombi natoka humu na maombi mpaka watakapoanza tena..
Mungu uliye juu mbinguni nakuja mikononi mwako nikisema ni asante kwa ulizi wako baba, tazama si waja wako tuko mbele zako baba, mpe lissu nguvu za kukata minyororo yote ni katika jina la yesu... AMEN..
Kesho kuna jipya
Fake, BBC ya Mtoni Mtongani.In the headlines:
Katuga destroys Lissu's defence in cross examination JP
Lissu aomba kukaa baada kuzidishiwa dozi ya maswali. BBC Swahili
Lissu's freedom in peril as prosecuters unveil serious faults in his defence. TOI