Lissu: “Kwa nini mimi nimekwambia Katiba imesema nini kuhusu harakatiLeo Katuga amegonga mwamba. Akakae tu.
Ni balaa..mbona uhaini hauguswi kabisa?TUNDU LISSU ANAULIZWA MASWALI YA DODOSO MAHAKAMANI
Nassoro Katuga: “Kwa kuwa umeiambia Mahakama hii hivi vielelezo vitumike sehemu yoyote, kuanzia D1 hadi D16, kwamba kwenye nyaraka hizi chukueni hiki, muache hiki?”
Lissu: “Hiyo ni kazi ya submission.”
Nassoro Katuga: “Wakati unawaambia Majaji vielelezo vitumike, ukiwaambia watumie vielelezo hivi sehemu hii na sehemu hii isitumike?”
Lissu: “Nitawaambia wakati wa Final Submission.”
Nassoro Katuga: “Waheshimiwa Majaji, naomba ajibu swali langu.”
Jaji Ndunguru: “Shahidi?”
Lissu: “Nitawaambia Mahakama wakati wa Final Submission.”
Nassoro Katuga: “Waheshimiwa Majaji, naomba nisipoteze wenzangu muda.”
Jaji Ndunguru: “Hapana, tulikuwa tunajadili swali la mwisho. Tunaomba lirudiwe.”
Nassoro Katuga: “Sawa. Shahidi, katika utetezi wako hapa Mahakamani uliwaambia Waheshimiwa Majaji kwamba maudhui haya chukueni na haya yaacheni?”
Lissu: “Hiyo sikuwaambia.”
Nassoro Katuga: “Kwa hiyo, kama hujawaambia Waheshimiwa Majaji, watakuwa na haki ya kutumia maudhui yote?”
Lissu: “Hilo sasa ni suala la Majaji.”
Nassoro Katuga: “Waheshimiwa Majaji, naomba kwa ridhaa yenu nimkaribishe Wakili Mkuu wa Serikali, Job Mrema.”
Job Mrema anasogea.
Job Mrema: “Waheshimiwa Majaji, nina maswali machache na shahidi.”
Job Mrema: “Shahidi, naomba kukuuliza swali la kwanza. Ulieleza Mahakama hii wewe ni mwanaharakati, kweli au si kweli?”
Lissu: “Ni kweli.”
Job Mrema: “Waeleze Majaji huo uanaharakati umeuanza lini?”
Lissu: “Nimeanza harakati siku nyingi sana, tangu nikiwa sekondari na baadaye Jeshini.”
Job Mrema: “Hebu waeleze Majaji, uanaharakati ni nini?”
Lissu: “Neno harakati ni mtu anayefanya au kupigania jambo au mambo fulani.”
Job Mrema: “Kama nimekuelewa, wakati umeanza kutoa ushahidi wako umejipambanua wewe ni Wakili. Hebu waambie Waheshimiwa Majaji, huu uanaharakati uliokuwa unaufanya unatambulika kwa sheria za nchi?”
Lissu: “Katiba yetu, Ibara ya 22 mpaka 29, imetoa uwanja mpana wa mwananchi kama mimi kupigania au kuona yanayohitaji kupiganiwa.”
Job Mrema: “Waheshimiwa Majaji, naomba Shahidi apewe hiyo Katiba, awaonyeshe Majaji ni Ibara ya ngapi.”
Lissu: “Kwa nini mimi nimekwambia Katiba imesema nini kuhusu harakati?”
Job Mrema: “Nilikuuliza ni sheria zipi za nchi.”
Lissu: “Nimesema.”
Job Mrema: “Waambie sasa Waheshimiwa Majaji, Ibara ya ngapi inakupa ruhusa ya kufanya harakati?”
Lissu: “Katiba haipo hivyo. Katiba inatoa uhuru unaotuwezesha kufanya harakati kuanzia Ibara ya 12 hadi 29. Katiba ikisema upo huru, una uwezo kwenda kupigania uhuru wa watu magerezani, hiyo ni harakati.”
Job Mrema: “Utakubaliana na mimi kwamba, specifically, hakuna neno ‘harakati’ katika Katiba?”
Lissu: “Specifically, hakuna.”
Job Mrema: “Hizo harakati unazofanya zina mipaka kisheria?”
Lissu: “Ndiyo, zina mipaka kisheria.”
Job Mrema: “Utakubaliana na mimi kuwa unapotafuta haki upande mmoja, hutakiwi kuathiri haki za watu wengine?”
Lissu: “Hiyo ni sawasawa.”
Job Mrema: “Unakubali kwamba ni sahihi maneno ya hati ya mashitaka?”
Lissu: “Ni sahihi.”
Job Mrema: “Utakubaliana na mimi kwamba waliosikia yale maneno walitafsiri kadiri yalivyo?”
Lissu: “Hawakutafsiri kadiri yalivyo.”
Job Mrema: “Waambie Waheshimiwa Majaji, pale utakubaliana na mimi kwamba, kwa mujibu wa sheria zetu za nchi, hakuna mahali zinaporuhusu kuharibu mali za watu au kuchoma kama walivyofanya Oktoba 29?”
WEKA EMOJI KAMA UNASOMA
SHARE ZAIDI UJUMBE UFIKE MBALI
ila job anavyomuuliza Lisu mambo ya October kwani yeye ndo aliwaambia watu wachome vitu? kwanza si kashasema alikua gerezani hiyo siku auTUNDU LISSU ANAULIZWA MASWALI YA DODOSO MAHAKAMANI

Ameuliza kama Sheria zinaruhusu kuharibu Mali za watu.mh mbona sijaelewa apo mwishoni alichosema Mh mrema
Sasa Lissu ya October 29 yeye yanamuhusu nini wakati alikuwa jela muda wote!?hawa vipi nao!!!!!TUNDU LISSU ANAULIZWA MASWALI YA DODOSO MAHAKAMANI

Sijui hata wanachokifanya. Maswali yake yaleNi balaa..mbona uhaini hauguswi kabisa?
Hayo maswali ilitakiwa waulizwe wale waliokamatwa wakati wa maandamano,sasa kibaya zaidi waliwaachia wote!Ameuliza kama Sheria zinaruhusu kujaribu Mali za watu.
mh ngoja tuone atachojibu maana naona kama anajaribu kumvuruga vuruga ajichanganye kisheriaAmeuliza kama Sheria zinaruhusu kujaribu Mali za watu.
Wanaulazimisha ionekane alihusika wakati mahakama ilishakataa huo ushahidi.Sasa Lissu ya October 29 yeye yanamuhusu nini wakati alikuwa jela muda wote!?hawa vipi nao!!!!!
Hawa nao ni useless kabisa!!Wanaulazimisha ionekane alihusika wakati mahakama ilishakataa huo ushahidi.
Kweli kabisa. Wao walimkamata miezi mitano kabla ya tukio halafu wanataka ionekane yeye ndio alipanga.Hayo maswali ilitakiwa waulizwe wale waliokamatwa wakati wa maandamano,sasa kibaya zaidi waliwaachia wote!
Moto uwakeTUNDU LISSU ANAULIZWA MASWALI YA DODOSO MAHAKAMANI
Nassoro Katuga: “Kwa kuwa umeiambia Mahakama hii hivi vielelezo vitumike sehemu yoyote, kuanzia D1 hadi D16, kwamba kwenye nyaraka hizi chukueni hiki, muache hiki?”
Lissu: “Hiyo ni kazi ya submission.”
Nassoro Katuga: “Wakati unawaambia Majaji vielelezo vitumike, ukiwaambia watumie vielelezo hivi sehemu hii na sehemu hii isitumike?”
Lissu: “Nitawaambia wakati wa Final Submission.”
Nassoro Katuga: “Waheshimiwa Majaji, naomba ajibu swali langu.”
Jaji Ndunguru: “Shahidi?”
Lissu: “Nitawaambia Mahakama wakati wa Final Submission.”
Nassoro Katuga: “Waheshimiwa Majaji, naomba nisipoteze wenzangu muda.”
Jaji Ndunguru: “Hapana, tulikuwa tunajadili swali la mwisho. Tunaomba lirudiwe.”
Nassoro Katuga: “Sawa. Shahidi, katika utetezi wako hapa Mahakamani uliwaambia Waheshimiwa Majaji kwamba maudhui haya chukueni na haya yaacheni?”
Lissu: “Hiyo sikuwaambia.”
Nassoro Katuga: “Kwa hiyo, kama hujawaambia Waheshimiwa Majaji, watakuwa na haki ya kutumia maudhui yote?”
Lissu: “Hilo sasa ni suala la Majaji.”
Nassoro Katuga: “Waheshimiwa Majaji, naomba kwa ridhaa yenu nimkaribishe Wakili Mkuu wa Serikali, Job Mrema.”
Job Mrema anasogea.
Job Mrema: “Waheshimiwa Majaji, nina maswali machache na shahidi.”
Job Mrema: “Shahidi, naomba kukuuliza swali la kwanza. Ulieleza Mahakama hii wewe ni mwanaharakati, kweli au si kweli?”
Lissu: “Ni kweli.”
Job Mrema: “Waeleze Majaji huo uanaharakati umeuanza lini?”
Lissu: “Nimeanza harakati siku nyingi sana, tangu nikiwa sekondari na baadaye Jeshini.”
Job Mrema: “Hebu waeleze Majaji, uanaharakati ni nini?”
Lissu: “Neno harakati ni mtu anayefanya au kupigania jambo au mambo fulani.”
Job Mrema: “Kama nimekuelewa, wakati umeanza kutoa ushahidi wako umejipambanua wewe ni Wakili. Hebu waambie Waheshimiwa Majaji, huu uanaharakati uliokuwa unaufanya unatambulika kwa sheria za nchi?”
Lissu: “Katiba yetu, Ibara ya 22 mpaka 29, imetoa uwanja mpana wa mwananchi kama mimi kupigania au kuona yanayohitaji kupiganiwa.”
Job Mrema: “Waheshimiwa Majaji, naomba Shahidi apewe hiyo Katiba, awaonyeshe Majaji ni Ibara ya ngapi.”
Lissu: “Kwa nini mimi nimekwambia Katiba imesema nini kuhusu harakati?”
Job Mrema: “Nilikuuliza ni sheria zipi za nchi.”
Lissu: “Nimesema.”
Job Mrema: “Waambie sasa Waheshimiwa Majaji, Ibara ya ngapi inakupa ruhusa ya kufanya harakati?”
Lissu: “Katiba haipo hivyo. Katiba inatoa uhuru unaotuwezesha kufanya harakati kuanzia Ibara ya 12 hadi 29. Katiba ikisema upo huru, una uwezo kwenda kupigania uhuru wa watu magerezani, hiyo ni harakati.”
Job Mrema: “Utakubaliana na mimi kwamba, specifically, hakuna neno ‘harakati’ katika Katiba?”
Lissu: “Specifically, hakuna.”
Job Mrema: “Hizo harakati unazofanya zina mipaka kisheria?”
Lissu: “Ndiyo, zina mipaka kisheria.”
Job Mrema: “Utakubaliana na mimi kuwa unapotafuta haki upande mmoja, hutakiwi kuathiri haki za watu wengine?”
Lissu: “Hiyo ni sawasawa.”
Job Mrema: “Unakubali kwamba ni sahihi maneno ya hati ya mashitaka?”
Lissu: “Ni sahihi.”
Job Mrema: “Utakubaliana na mimi kwamba waliosikia yale maneno walitafsiri kadiri yalivyo?”
Lissu: “Hawakutafsiri kadiri yalivyo.”
Job Mrema: “Waambie Waheshimiwa Majaji, pale utakubaliana na mimi kwamba, kwa mujibu wa sheria zetu za nchi, hakuna mahali zinaporuhusu kuharibu mali za watu au kuchoma kama walivyofanya Oktoba 29?”
WEKA EMOJI KAMA UNASOMA
SHARE ZAIDI UJUMBE UFIKE MBALI
sa kama mahakama imekataa mbona ndugu majaji wamemute tu hawawazuii hao mawakiliWanaulazimisha ionekane alihusika wakati mahakama ilishakataa huo ushahidi.
Jamaa wamekata moto...Katuga kapiga mbio weeeeh mwisho hakuna uhaini umeonyeshwa, mambo haya buana, hofu tu ya watawala🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽Sijui hata wanachokifanya. Maswali yake yale
Aisee! Upuuzi mtupu!!Kweli kabisa. Wao walimkamata miezi mitano kabla ya tukio halafu wanataka ionekane yeye ndio alipanga.
Hapo jibu ni hapana.mh ngoja tuone atachojibu maana naona kama anajaribu kumvuruga vuruga ajichanganye kisheria
Akina Niffer wapo mtaani.Hawa nao ni useless kabisa!!
Waliohusika na maandamano waliwakamata then wakawaachia huru,kina Niffer sijui na wengineo!